#modified #version
*SEHEMU YA JIBU LA SWALI, LISEMALO "UTAWEZAJE KUITHIBISHA BIBLIA KUWA NI YA KWELI?".*
*_Na Mwl Proo_*
0762878363
JAMBO LA KWANZA NAOMBA KUFAFANUA MAMBO
MATATU YA MSINGI KUHUSU BIBLIA;
CANONICITY
THEN
INNERACY AND INFALLIBILITY OF THE BIBLE MWISHO TUTAIJUA BIBLIA KUWA NI KITABU CHA
KWELI,SIO TUU KWA KUTUMIA MAANDIKO YA
NDANI,MAANA SHARTI UWEZE KUMTHIBITISHIA
HATA MBUDHA AU MHINDU ASIYEIAMINI.
KWANZA BIBLIA NI KITABU PEKEE CHENYE SIFA AMBAZO HAKUNA KITABU KINGINE KINAWEZA
KUKIFANANIA
KITABU KILICHOANDIKWA ZAIDI YA MIAKA
1500,CHENYE WAANDISHI 40 TOFAUTI
WALIOANDIKA TOKA MATAIFA/MIJI TOFAUTI PIA.
LAKINI NDICHO KITABU CHENYE SIFA YA KUWA BILA
UTATA (INNERATE) NA WATU WOTE WALIOISHI
KARNE TOFAUTI WALITOA UJUMBE MMOJA BILA
KUSIGISHANA (CANON)
NAPENDA KUFAFANUA MAANA YA NENO CANON
(CANONICITY) MAANA SIFA YA KWANZA
INAYOFANYA TUIONE BIBLIA NI YA KWELI NI
"CANONICITY" NDIO MAANA VITABU 66 VYA
BIBLIA VINATAJWA KAMA CANONICAL BOOKS
NENO CANON KIASILI MAANA YAKE FIMBO NYOFU
(A STRAIGHT ROD) AU TIMAZI YA SEREMALA(A
CARPENTER'S RULE)
SASA KWA SABABU YA MAANDIKO KUWA NA
UNYOFU WA HALI YA JUU,NENO HILO LIKAJA
KUTUMIKA MWAKA 367 A.D KAMA THE CANON OF
SCRIPTURES,MAANA NENO HILO LILIENDELEA
KUPANUKA KIMAANA KTK MAMBO YA SANAA NA
MAADILI
KWA HIYO VITABU VYA BIBLIA VIKATAJWA KUWA NI
CANONICAL KWA VILE VILIVYO THIBITISHWA
KUWA
1.)AUTHENTIC
2.)GENUINE
3.)OF DIVINE AUTHORITY &
4.) INSPIRATION
YAANI MAANA YAKE VINA HAKI ZA KIUANDISHI
KISHERIA ILI KUKUBALIKA(AUTHENTICITY) NI
VYA KIPEKEE YAANI MAALUM(GENUINE)
VINA MAMLAKA YA KIMUNGU (DIVINE
AUTHORITY) NA VINA UVUVIO(INSPIRATION,GOD-
BREATHED,SACRED)
WASOMI WA BIBLIA WANASEMA HAYA YALIYOPO
KWENYE BIBLIA YAPO KWA KARIBU MNO WITH
EXACT EARLY WRITTINGS YAANI MANUSCRIPTS,KWA NINI CANONIZATION ILIFANYIKA.
SABABU KUU YA KUYAFANYA YAWE HIVYO ILI
KULINDA CANONICITY YAKE WAS TO "PRESERVE"
AND "PRECLUDE" NITAYAFAFANUA HAYO,WAKO
WATU MFANO MUSLIMS WANAAMINI TORATI YA
MUSA BUT WANASEMA WAZAYUNI(ISRAELITES)
WALIICHAKACHUA,PIA WANAAMINI ZABURI YA
DAUD LAKINI PIA WANADAI WAZAYUNI NA
WAKRISTO WALIICHAKACHUA HII YA SASA,PIA
WANAAMINI INJEEL(INJILI-FOUR BOOKS)
LAKINI PIA WANASEMA WAKRISTO
WAMEICHAKACHUA,PIA YAPO MAKUNDI MENGI
YA MA-ATHEISTS(WASIOAMINI MUNGU) WENYE
MADAI KUWA BIBLIA YA WAKRISTO
IMECHAKACHULIWA,UKWELI NI KWAMBA IN
CENTURIES THE SCRIPTURES WERE "PRESERVED
FROM CORRUPTION" WAKRISTO KAMWE
WASINGEWEZA KUKUBALI UCHAKACHUAJI WA
MAANDIKO
PIA MAANDIKO, YALIKUWA PRECLUDED(HII NI
KUYAFUNGA YASIONGEZWE) WAKATI WA KUFANYA
CANONIZATION IT WAS NECESSARY TO PRECLUDE SO
AS TO REMOVE THE POSSIBILITY OF ADDITIONS,ILI
WATU WASIENDELEE KUONGEZA NA KUANDIKA
VINGINE....
WATUMISHI WA MUNGU WAKATI WA KUSAKA
VITABU VYENYE SIFA YA KUWA VYA MUNGU
(SACRED TEXTS) VILIVYO SAHIHI (CANON)
HAIKUWA KAZI NDOGO,MFANO MAASKOFU
WALIKUTANA VIKALETWA VITABU 367 WAKAKAA
MWAKA MZIMA KWA UMAKINI MKUU WAKICHUJA
(CANONIZATION) VIKABAKI VITABU 27 TUU
VILIVYOONEKANA KUWA CANONICAL
VINAVYOPATANA NA VYA MANABII BILA
KUSIGISHANA NA MAANDIKO YALIYOHAKIKIWA
YA KALE KTK TANAKH YAANI AGANO LA KALE LA
KIEBRANIA LENYE UTARATIBU NA MPANGILIO WA
VITABU 24 SIO 39.. SASA TUKIO HILI LA MCHUJO
NA MATUKIO MENGINE NITAKAYOYAJADILI
YATATUWEKA MAHALI PAZURI KTK
KUITHIBITISHA BIBLIA
IKUMBUKWE TUTAANGALIA HAYA MAMBO
KIUFUNUO NA KISOMI
[ MUNGU HAKUTAKA WANADAMU WAWE NA
UDHURU SIKU YA HUKUMU (RUMI 1:20) HIVYO
HAKUACHA KWELI IJULIKANE KWA UFUNUO TUU
(EFES 3:3) KWELI INAYOTOKANA NA UFUNUO WA
ROHO INAITWA 'SPECIAL REVELATION' LAKINI
KWELI INAYOTOKANA NA KUYAONA MAMBO
DHAHIRI YA UUMBAJI NAKUMJUA MUNGU KWAYO
UNAITWA 'GENERAL REVELATION' zabur 19:1-4
SASA MUNGU KATIKA KUYATHIBITISHA
MAANDIKO ALITUMIA HATA WATU WA MWILINI
NA WAPAGANI
JAMBO LA KWANZA IKUMBUKWE KUNA VITABU
VINGI VILIKUWA KABLA YA BIBLIA,VYENYE
STORY ZA BIBLIA KWA KINA KULIKO
BIBLIA,MFANO KITABU CHA TAREHE CHA
WAFALME,KITABU CHA YASHAR,ETC ETC VITABU
HIVYO VILIYAONGEA MAMBO HAYA YA BIBLIA
HASA YALE YA KWENYE "BIBLE HISTORICAL
BOOKS"
SASA MUNGU KWA KUTUMIA WATU WALIOMJUA
YEYE,NA WENYE UVUVIO WA ROHO WALIWEZA
KUANDIKA,PIA WAPO AMBAO WALIWEZA FANYA
MCHUJO KWA MAONGOZI YA ROHO,SO YAKAWEKWA
YALE AMBAYO MUNGU ALIYAKUSUDIA.
NB:
SIO KAZI YETU KUITETEA BIBLIA KAMA
WAISLAMU WASIO NA MAARIFA WANAODAI KUWA
QU'RAN ILISHUSHWA,WAISLAMU WALIOSOMA
WANAJUA KUWA HAIKUSHUSHWA,BALI ZAIDI
UNCLE WA MTUME MUDDY ALIMUANDIKIA. SASA
BIBLIA YETU ILIANDIKWA NA WANADAMU (2PET
1:20-21) KWA NINI? MUNGU WETU ANAFANYA
KAZI NA WANADAMU(RUMI 8:28) HIVYO HATUNA
HAJA YA KUKATAA HILO MAANA HALIUPUNGUZI
UTAKATIFU WAKE
SASA NAANZA NA TUKIO LA KWANZA LA MFALME
BELSHAZA,NA BELTISHAZAR(DANIEL) KULITOKEA
NINI?
USIKU MAJIRA KAMA YA SAA TANO USIKU
MFALME BELSHAZA MWANA WA NEBUKADNEZA
MWANA NABOPOLASA ALIKUWA AKIGONGA KILEVI
KWA KUTUMIA VYOMBO VITAKATIFU VYA
NYARA TOKA HEKALU LA YERUSALEM,AKIWA NA
MADEMU(MASURIA WAKE) KIGANJA KIKATOKEA
KIKAANDIKA MENE MENE TEKEL NA
PERES,IKUMBUKWE BIBLIA NI KITABU CHA
KINABII (UFUN 1:3) SASA MUNGU ALIPOSEMA
UFALME WAKO UMENYANG'ANYWA WAMEPEWA
WAAMED NA WAAJEMI(MEDIA AND PERSIA)
HAIOUAMINIKA WALA KUELEWEKA.. SASA MUNGU
MARA ZOTE HULITEKELEZA NENO LAKE
AKILIMALIZA NA KULIKATA(WITH SPEED AND
FINALITY) (RUMI 9:28)
MJI WA BABELI ULIJENGWA NA KUWA FORTIFIED
(WEKEWA BOMA/NGOME) PIA HAIKUWA RAHISI
KUWAVAMIA MAANA KABLA YA KUFIKA BABEL
KUNA MITO KADHAA AMBAYO VIKOSI VYA VITA
HAWAKUWEZA KAMWE KUIVUKA WAKIWA NA
,
SABABU KUBWA SI TU HIYO MITO,LAKINI
WALITUMIA MADARAJA YA KUHAMISHIKA YAANI
MOBILE/MOVABLE BRIDGES,YAANI WAKIVUKA
WAO,WANAONDO VIVUKO NA NDIO MAANA ANATOA
MBINU YA KIVITA JUU YA BABEL KUWA
WASHAMBULIE VIVUKO (YEREMIA 51:32)
SASA PAMOJA NA HALI HIYO YA MJI,USIKU HUO
HUO AMBAO MUNGU ALISHUSHA
HUKUMU,MAJESHI YA DARIO YALIVAMIA
YAKAMUUA NA KUUTWAA BABELI,SASA JAMBO LA
AJABU NI KWAMBA KWENYE UKUTA WA MJI
KULIKUWA NA KIMFEREJI KIDOGO CHA KUTOLEA
MAJI . SASA NENO LILE LA BWANA LILISIMAMA
NA WATU WAKAJUA NENO AKILITOA
BWANA,LAZIMA IWE...
INAENDELEA………
SASA NIWAWEKE KWENYE POSITION HII... MUNGU
HAANGALII SUPPORTIVE ENVIRONMENT ILI ATOE
UNABII,HATA KAMA HAKUNA DALILI,YEYE NENO
LAKE LINADUMU(1PET 1:25,MATH 24:35)
SASA TUFANYE SURVEY FUPI YA MATUKIO
AMBAYO WANAHISTORIA HUSEMA NENO LA MUNGU
KWA KINYWA CHAKE AU MANABII LAZIMA
LITATIMIA!
TUKO PAMOJA?
HATA IKIPITA MIAKA ELFU ,BADO LILLTATIMIA
VILEVILE ALIVYOSEMA (MAOMBOLEZO 2:17)
SASA NISEME KWAMBA MAANDIKO YA MANABII
YALIHIFADHIWA KUANGALIA UKAMILIFU
WAKE,NA YOTE WALIYOYANENA YALITOKEA
UNABII WA YEREMIA NA ISAYA NAMNA MIJI YA
TIRO NA SIDONI ITAKAVYO KUWA
UKIWA,ITAFUNIKIZWA,KUSAZWA MAGANJO,NA
KUWA WAVUVI WATAWEKA MAJABALI YAO
HUKO,NA KILA LILILONENWA LILIKUJA KUTUKIA
VILEVILE BILA KUPUNGUA NENO
IKUMBUKWE NENO IKIWA BWANA AMELINENA
KWA VINYWA VYA MANABII KAMWE HALIANGUKI
CHINI (2FALME 10:10)
SASA WAPENDWA WAPO WATU AMBAO AMBAO
WALITAKA KUYATAFITI MATUKIO YA BIBLIA,
WAKATOKA NA CONCLUSION KUWA BIBLIA NI YA
KWELI ,IT HAS INNERACY AND INFALLIBILITY
AMBAYO HAKUNA AWEZAYE KUIPINGA
MFANO WA KWANZA
WATAALAMU WA NAVIGATION KATIKA
BAHARI,WALIFANYA UTAFITI KATIKA BAHARI
YA MEDITERANIA AT EXACT PLACE WALIPO CROSS
TIMU YA WATU ABOUT MILLION YA WAISRAEL
WALIPOTOKA MISRI,WALIPOTAFITI UMBALI WA
MAILI KADHAA CHINI YA BAHARI,WALIKUTA
MATAIRI YA MAGARI YA VITA YA FARAO
(CHARIOT'S WHEELS) IKUMBUKWE NI MIAKA
KARIBU 2500 TANGU ISRAEL WAVUKE BAHARI
HIYO KATI YA MWAKA (1440-1400), SASA
WALIPOYAONA MATAIRI HAYO WALIYAFANYA
UPEMBUZI YAKINIFU KWA NINI HAYAJAFUNIKWA
NA UDONGO MAANA KUNA GEOGRAPHICAL PROCESS
KAMA EROSION,DEPOSITION,DENUDATION AND
OTHER TECTONIC PROCESS AMBAZO ZISINGEWEZA
KUYAACHA KWENYE SEA FLOOR UNTIL THAT
TIME,LAKINI WAKABAINI MAMBO
KADHAA,KWAMBA YAMETENGENEZWA KWA SHABA
(BRONZE) AMBAYO HAINATI UDONGO,PIA
WALIAMINI LABDA MUNGU AMEAMUA
KUWAONESHA KUWA WANALOLITAFITI KUHUSU
BIBLIA NA TUKIO HILO LA CROSSING OF THE RED
SEA,NI LA KWELI... NA MATAIRI HAYO
YALITHIBITISHWA KUWA NI YA ZAMA ZA FARAO
NA NI ENEO HILO NDIPO ISRAEL WALIVUKA
KATIKA BAHARI KAMA NCHI KAVU.
MIAKA MICHACHE IMEPITA TAASISI MAARUFU YA NASA (The U.S. National Aeronautics and Space Administration) HUKO MAREKANI,WALISET COMPYUTA ZAO KUWEZA KUFANYA PROJECTION,YA POSITION YA DUNIA BAADA YA MIAKA 100 NA VITU VINGINE,LAKINI COMPYUTA HIZO ZILIFANYA KAZI HIYO THEN ZIKATOA ALARM⚠KUONESHA KUNA JAMBO HALIKO SAWA. NDIPO WATAALAM WAKATAFIT NA KUONA KUWA KUNA MAHALA ZINAKWAMA MAANA KUNA MASAA 24(1 COMPLETE DAY) IMEPOTEA KWENYE MZUNGUKO WA DUNIA. WALIUMIZA KICHWA SANA BILA MAJIBU. MMOJA WA ASTRONAUTS AMBAYE ANA CHRISTIAN BACKGROUND,ALIKUMBUKA KUWA KTK BIBLIA KUNA SIKU YOSHUA ALISIMAMISHA JUA(THOUGH SCIENTIFICALLY NI DUNIA NDIYO INAZUNGUKA) *Yoshua 10:12* NDIPO WAKAAMUA KUTUMIA COMPUTERS KUREJEA MAJIRAYA DUNIA KTK ZAMA YOSHUA,NA KWELI WAKAKUTA KUNA MASAA 23 NA DAKIKA 20 YALIPOTEA. WAKAWA WAMEPATA JIBU TOKA KWENYE STORI YA BIBLIA. LAKINI BADO WAKAHOJI KUWA MASAA YALIYOPOTEA NI 24 KWA HIYO BADO KUNA DAKIKA 40 AMBAZO SIO ZA KUPOTEZEA MAANA KTK MIAKA 1000 DAKIKA 40 ZITAKUWA NI MIKA MINGI KTK MZUNGUKO,NDIPO AKAKUMBUKA KISA CHA ISAYA NA HEZEKIA *(ISAYA 38:8)* KUWA JUA LILIRUDISHWA MADARAJA 10 YAANI 10° SASA TEN DEGREES KITAALAMU KILA 1° INA 4MINUTES,NA HIVYO KULETA JUMLA YA DAKIKA 40 KAMILI ZILIZOPOTEA KUKAMILISHA THE MISSING DAY.
NDUGU YANGU NENO LA MUNGU KTK BIBLIA NI
KWELI NA HAKIKA...
Mwl Proo
0762879363
0718922662
alltruth5ministries@gmail.com
No comments:
Post a Comment