*UBATIZO WA MAJI, KIBIBLIA NI UPI?*
_Ufafanuzi na Mwl Proo_
0718922662
0762879363
*UTANGULIZI*
Miongoni mwa mijadala ambayo haiwezi zaa matunda, ni pamoja na huu wa ubatizo wa maji. Maana swala kunyunyiza au kuzamisha litaendelea kuleta utata {INGAWA MIMI NAFAHAMU HILI HALINA UHUSIANO NA KWENDA MBINGUNI, KUNA WAAMINI AMBAO WAMEBATIZWA, WAKO AMBAO HAWAJABATIZWA UBATIZO WA MAJI, AU WALIOBATIZWA TOFAUTI NA VILE INATAZAMISHWA KIMAANDIKO, KWA KUWA WALIPOKEA FUNDISHO LIKIWA NA MAKOSA TAYARI, NA BADO WATAINGIA MBINGUNI). Ila shida iko hapa, hata ukweli ukijulikana hakuna namna bado, na hakutafanyiwa marekebisha juu ya hilo. Namaanisha nini? Ukristo kama dini *_(Ingawa Ukristo haukupaswa kuwa dini, bali maisha ya kumfuata Yesu na kuenenda kama Yeye, that's is Christianity)_*, Sasa nazungumzia hili kuwa Ukristo kwa takribani karne 13 Ukristo ulikuwa umebebwa kwenye dish liitwalo *Catholicism*, na kwa muda huo wote yaliingizwa mengi ambayo ni non-biblical na mengine ni unbiblical in the name of church traditions. Sasa kuanzia zama za matengenezo karne ya 15, wale reformers kama Martin Luther na wengine walitumiwa na Mungu kuanza kulirudisha kanisa kwenye mstari (Hakikisha unasoma somo langu liitwalo *KUINUKA KWA UPROTESTANTI* ). Sasa sio mambo yote yalifanikiwa kuchujwa, hivyo ziko church traditions za Catholic Church nyingi ambazo zilijipenyeza hata katika Protestant Churches, kama ambavyo hata sasa hata kwenye Pentecostal churches pia nako hakukuchuja yote, kulisalia bado mambo kadha wa kadha ambayo nayo ya ni non-biblical. Hivyo leo hii mtu anayejipa kazi kutetea ubatizo kama wa watoto wachanga, anajipa kazi ya kutetea mambo yaliyoidhinishwa na synodic meetings za kikatoliki karne zaidi 14 zilizopita, ndivyo ilivyo kwa ubatizo kama wa kunyunyiza na kadhalika.
*KARIBU SASA UPATE MAARIFA*
KABLA YA YOTE NAPENDA KUTOA MAFAFANUZI KUNA VITU VIWILI, KITU KUTOKUWEPO KWENYE BIBLIA NA KITU KUWA TOFAUTI NA MITAZAMISHO/VIDOKEZO VYA BIBLIA YAANI
(1.) NON-BIBLICAL
(2.)UNBIBLICAL
KWA HIYO KWA SWALI TAJWA HAPO JUU ITABEZI KWENYE NAMBA MOJA ZAIDI KULIKO LA PILI
*ETYMOLOGICALLY
UBATIZO*
NENO LA KIEBRANIA
:-TEVILAH (IMMERSION)
NENO LA KIGIRIKI
:-BAPTIZO/BAPTO (ZAMISHA)
PIA KATIKA VULGATE NENO MERGITO MAANAAKE ZAMISHA..
KTK UGIRIKI YA KALE:
NENO BAPTIZO LILITUMIWA VIWANDANI KWENYE PROCESS YA ''DYEING'' KUWEKA RANGI KWENYE VITAMBAA/NGUO, ILILAZIMU KITAMBAA KIWE FULL IMMERSED IN A FLUID ILI RANGI IWE KOTE, SO WALIKUWA, WANAVIBATIZA VITAMBAA.
MTABIBU WA KIGIRIKI NICANDER(200BC) ALITOFAUTISHA BAPTO NA BAPTIZO, KWA KUTUMIA VEGETABLES. ALIKUWA ANAZICHOVYA AU KUZINUNYIZIA MAJI MBOGAMBOGA (BAPTO), KABLA YA KUZIZAMISHA KWENYE SIKI (VINEGAR) TUKIO LA KWANZA HALIKULETA BADILIKO KWA MBOGA BALI LA PILI, NDIVYO ILIVYO KWA BAPTISM "TOTAL CHANGE".
SASA NENO LA KIBIBLIA BAPTISMA (BAPTISM) SIO TUU KUZAMISHA BALI NI KUWA FULL COVERED BY WATER (SUBMERGED). KWA WALE MLIOSOMA PHYSICAL GEOGRAPHY MNAPATA MAANA VIZURI KWA NENO HILI KUWA ''SUBMERGED''.
ACCORDING TO DON FLEMING (KAMUSI YA BIBLIA pages 372-374), UBATIZO WA WAKRISTO NI SHEREHE ILIYOAGIZWA NA YESU KRISTO, NA KWA NJIA YAKE WAKRISTO WANATOA USHUHUDA WA HADHARA KWAMBA WAMETUBU DHAMBI ZAO, NA KWA IMANI YAO WAMEJITOA KWA YESU AWE MWOKOZI NA BWANA (MT.28:19,MDO.2:38,41,9:18,10:47-48)
(Ufafanuzi by Mwl Proo)
WAPENDWA NATAMANI TUIFAHAMU KWELI YOTE NA SIO KUTETEA MAFUNDISHO YA MADHEHEBU, MIMI KAMA MWANAFUNZI WA BIBLIA SINAGA TIME YA KUTETEA FUNDISHO LA DHEHEBU BALI KWELI YOTE..
NAOMBA TUPITIE MAANDIKO YENYE MANENO YA KIEBRANIA TUUONE UBATIZO UKOJE KABLA YA YESU NA BAADA YA YESU
MATTHEW.3:11
_*|11| I give you a tevilah (immersion) in a mikveh mayim for teshuva, but Hu Habah (He who Comes; T.N. i.e., the Moshiach) after me has more chozek (strength) than me. I am not worthy to remove his sandals. He will give you a tevilah (immersion) with the Ruach Hakodesh and eish (fire). |12| The winnowing fork is in his hands....._*
MATTHEW 28:19
*_|19| Go, therefore, make talmidim for Rebbe, Melech HaMoshiach of all the nations, giving them a tevilah in a mikveh mayim in Hashem, in the Name of HaAv, and HaBen, and HaRuach Hakodesh,_*
KATIKA MAANDIKO YALIYOTANGULIA, UBATIZO WA YOHANA NI TEVILAH (KUZAMISHA KTK MAJI TELE). YESU KATIKA HIYO MATHAYO ANAAGIZA KUWABATIZA WATU KTK MAJI TELE, SABABU ILIYOFANYA YOHANA ABATIZE KATIKA MITO NI MAJI TELE.
SOMA HAPA
YOH 3:23
_*[23] And Yochanan was also giving the tevilah near Shalem at Einayim, because there was plenty of water there for a mikveh, and the Yehudim were coming and submitting to the tevilah.*_
*PHILIP NA YULE TOWASHI UBATIZO NI TEVILAH*
Act 8:36ff
_*|36| And as they were going along the derech, they came upon some mayim and the eunuch says, "Hinei, mayim! What prevents me from being given Moshiach's tevilah of teshuva in the mikveh mayim?" |37| [And Philippos said, “If you have emunah b’chol levavcha, it is mutar. And he answered, saying, Ani ma’amin ki Rebbe Melech HaMoshiach Yehoshua Ben HaElohim hu.]*_
*UBATIZO WA CORNELIO NA JAMAA ZAKE ULIKUWA WA KUZAMISHWA*
Ac 10:47
_|47| "Surely no one can refuse the mikveh mayim for these to be given Moshiach's tevilah of teshuva who have received the Ruach Hakodesh just as we did, can he?" [Ac 2:4; cf Lk 3:16; Ac 11:16]_
NDUGU WAPENDWA NAOMBA TUFAHAMU UBATIZO NI MMOJA TUU, NENO LINALOTUMIWA TEVILAH, IT IS FOR JEWS AND GENTILES, PAULO ALITHIBITISHA (MDO 19:3, EFES 4:5 AMBAYO KIMAANA TUNAIPATA, RUM 6:4, KOL.2:12,1PET 3:21)
KULIKUWA NA MABATIZO MBALIMBALI (EBRA.9:10), NA KIUFUNUO PAULO ALIAZIMA MSEMO WA UBATIZO, KUWA WAISRAELI KUVUSHWA BAHARI YA SHAMU, WALIBATIZWA WAWE WA MUSA, STAILI ZA SPRINKLING OF LIQUIDS ZILIKUWA NI TAMADUNI ZA KIPAGANI ZAIDI, HATA SASA WAMASAI WANANUNYIZA MAZIWA JUU YA MTU KWA MAANA FULANI, INGAWA NI SOME KINDS OF RITUAL WASHINGS, WAYUHUDI WALIKUWA WAKIPAKA AU KUNUNYIZA DAMU, NASI TUMENUNYIZIWA DAMU (1PET.1:2).
ELIMU KUHUSU MUNGU (THIOLOJIA) YOYOTE DUNIANI, INAKIRI KUTOKUWEPO KABISA UBATIZO WA KUNINYIZA MAJI MPAKA KARNE YA NNE, AMBAPO KWA HESHIMA YA COSTANTINO ROMAN EMPEROR ALIYEKUBALI KUWA MKRISTO, WALIAMUA KUMBATIZIA KATIKA PALACE YAKE KWA KUNUNYIZWA...
SWALA HILI LINAENDA SAMBAMBA NA UBATIZO WA WATOTO/WACHANGA ("ANABAPTISM"). KITHIOLOJIA KUANZIA MWAKA 476BK---1453BK UNATAMBULIKA KAMA "DARK PERIOD" AU MEDIEVAL CHURCH, WAKATI HUU KANISA LILIKUWA TAASISI YA SERIKALI, HIVYO NI WAKATI MAFUNDISHO UNBIBLICAL&NONBIBLICAL MENGI YALIINGIA.
KWA NINI UNATAJWA KAMA "DARK PERIOD" NI WAKATI WA GIZA BECAUSE (1.)THE CHURCH BECAME AN ORGANIZATION (2.) INTRODUCTION OF LITURGY (LITURUJIA),
MAMBO KAMA SACRAMENT OF CONFIRMATION (KIPAIMARA), KUABUDU SANAMU KULIIDHINISHWA NA BARAZA LA NIKEA 787BK, INTRODUCTION OF PRAYER BOOK ETC SO KUBATIZA WATOTO IS NON-BIBLICAL
*KUNA UTETEZI WA KUWEPO KWA WATU WALIOBATIZWA NYUMBA NZIMA*
MDO 16:15, 33-34, 1KORINTHO 1:16
NDUGU WA WAPENDWA, HATUISHI KWA HISIA MAHALI AMBAPO UKWELI UPO. HAKUNA USHAHIDI WOWOTE WA KIBIBLIA WALA KITHIOLOJIA KUWA NYUMBANI KWA YULE MKUU WA GEREZA KULIKUWA NA WATOTO/WACHANGA HAUPO, SO HATUPASWI KUKISIA. MFANO LEO HII PETRO/PAULO ANGEKUJA KUTUBATIZA FAMILIA YETU YOTE, USIKISIE KUWA KUNA WATOTO, HAPA HOME KWETU KIJANA MDOGO KABISA YUPO CHUO KIKUU MWAKA WA KWANZA...
SASA SOMENI KWA MAKINI MDO 16:33-34 AKABATIZWA NA WATU WAKE WOTE..."" BY THE WAY PAULO ANAMFUATA/TISHA YESU, ANGEKUTA VICHANGA, ASINGEBATIZA HAO (1KORINTHO 11:1).
*ANGALIZO:*
*SINA MAANA WANAOBATIZA TOFAUTI NA TEVILAH,MUNGU AMEWAKATAA,ILA KUSIWE NA UTETEZI JUU YA HILO WAWE NA UHAKIKA THAT HIYO TYPE YA UBATIZO HATA KAMA SIO UNBIBLICAL (KINYUME NA BIBLIA) BASI NI NON-BIBLICAL(HAUPO KTK MAANDIKO MATAKATIFU), MAANA LAZIMA UFALME UTAKUWA NA TARATIBU ZAKE ZA RITUALS OF INITIATION.*
DOCTOR WANGU WA MASOMO YA BIBLIA AMBAYE NI ANGLICAN PRIEST&CANON, ALISEMA HAJUI SABABU YA KUBATIZA WATOTO WACHANGA, KWA KIGEZO CHA DHAMBI YA ASILI ALISEMA NI UONGO. PIA AKAKIRI KUWA KATIKA KANISA LA ANGLICAN ANALOLICHUNGA YEYE, ANAPOBATIZA WATOTO YEYE NI KAMA ANAWAFANYIA REGISTRATION TUU, WATAMBULIKE KANISANI NA KUPATA HUDUMA NA MISAADA MINGINE YA KANISA. LAKINI HALINA MAANA YOYOTE KIBIBLIA, HUO NI MSIMAMO WA HUYO DOCTOR WA THIOLOJIA, WALA SIO KANISA LA ANGLICAN. KWA HIYO KWA ANAYEPENDEZWA NA KWELI YOTE HIVI NDIVYO ILIVYO, *INGAWA WOKOVU WA ROHO ZETU TUNAUPATA KWA IMANI KATIKA YESU NA SIO UBATIZO.* MAANA THIOLOJIA ILIDOKEZA KAMA WATU WAKIWA KATIKA JANGWA KUU HALINA MAJI WAFANYEJE?THERE IS NO ALTERNATIVE, ALTERNATIVE NI KTK Q'URAN.
KATIKA YOTE YAKIWEPO MAJI TELE TUNAPASWA KUBATIZWA SIO KWA SABABU TUNA DHAMBI BALI KUITIMIZA HAKI YOTE.
MT 3:15
*_|15| But answering him, Yehoshua said, Permit it now, for thus it is to fulfill all Tzidkat Hashem_*
*LAKINI MTU ASITUNISHE MISULI KWAMBA ALIZAMISHWA KWENYE MAJI, HUKU MATENDO YAKE BADO NI YA GIZA.*
ASANTENI KWA KUFUATILIA
Mwl Proo
0762879363
alltruth5ministries@gmail.com
No comments:
Post a Comment