Saturday, December 16, 2017

KUINUKA KWA UPROTESTANTI

MATERIALS BEYOND BIBLE(Narrated by Mwl Proo- 0763879363)

SERIES II

MEDIEVAL PERIOD(476-1453)BK
@RISE OF PROTESTANTISM(KUINUKA KWA UPROTESTANTI)

TUYAANGALIE MAMBO MACHACHE YALIYOINUKA KUANZIA ZAMA ZA MTAWALA CHARLAMAGNE(800 A.D) THE FRANKISH KING OF HOLY ROMAN EMPEROR .. KULIKUWA NA MAKUNDI MATATU  YALIOUFANYA WAKATI HUU UWE WA NAMNA YAKE..

USKOLASTIKI-FALSAFA YA UANAZUONI (SCHOLARSTICISM) HILI NI JINA LA UJUMLA LA HARAKATI ZA THIOLOJIA ZA MAGHARIBI WALIOKUWA WAKIYATAFITI MAMBO YA UKRISTO KWA UMAKINI NA KISOMI NA WALITAFUTA USAHIHI WA IMANI YA KIKRISTO.. MWANZILISHI WA USKOLASTIKI NI ANSELM(1033-1109) NA WENGINE NI THOMAS AQUINAS(1225-1274) NA WILLIAM WA OCKHAM(1285-1347)

UMISTISISTI(MYSTICISM):
ULIANZISHWA NA BONEVENTURA (1217-1274)

SIFA 3 ZA MYSTICISM
(1.)WALISHUGHULIKA SANA NA UMASKINI,MAOMBI,KUSOMA MAANDIKO NA TAFAKATI(YOGA-DEEP RELIGIOUS MEDITATION)
2.)WALIKUWA NA UZOEFU KIDINI
3.)WALISHIKILIA SWALA LA KUWA NA UMOJA KAMA MUNGU

UMONASTI/MONASTICISM(UTAWA)
HILI NI KUNDI LINALOONESHA IMANI YA KIKRISTO KWA VITENDO VYA KIMWILI.WATU HAWA WALIKUWA MATAJIRI MNO,HII ROHO YA UTAWA ILIWAHI KUZUKA MWAKA 320AD KWA MTU AITWAYE ANTONY,NA KUNA MTU AMBAYE ANAITWA SIMON WA SYRIA(400AD) ALIWAHI KUJENGA MNARA(PILLAR SAINT) WENYE UREFU FUTI 60 NA UPANA FUTI 4 ILI KUJITENGA NA DHAMBI..NA ALIFANIKIWA KUISHI MIAKA 37 JUU YA MNARA.WALIKUWA NA MKAZO KTK POVERTY,CHASTITY(USAFI WA MOYO) NA CELIBACY(KUTOOA)

KANISA NA SERIKALI KTK ZAMA ZA KATI:

*KANISA LILIFANYA KAZI PAMOJA NA SERIKALI YAANI KANISA LILIKUWA NI TAASISI YA SERIKALI

*WATAWA WALILISHUTUMA KANISA KUWA KIBARAKA(STOOGE)

*PIA MFUMO WA UMWINYI(FEUDAL GOVERNING SYSTEM) ULITAWALA
*KANISA NA SERIKALI VILIPOINGIA KWENYE MASHINDANO MAKALI JUU YA NANI MWENYE MAMLAKA ZAIDI PAPA AU MTAWALA WA DOLA(EMPIROR) PAPA AKAANZISHW FUNDISHO LA "MONARCHIAL PAPALISM" YAANI UFALME WA KIPAPA AKIDAI MWENYE MAMLAKA YA KIROHO NDIYE ANAYETAWALA NA SERIKALI

NA PAPA INNOCENT III NDIYE ALIYEONGOZA KUCHAGULIWA  MTAWALA MPYA WA RUMI(1202AD)

PAPA BONIFACE VIII ALIISHI AVIGNON ALIKUWA AMEHAMA TOKA RUMI KWENDA UFARANSA TUKIO HILI LAITWA "BABYLONIAN CAPTIVITY OF THE PAPACY 1309AD (MIAKA 60).. MWAKA 1377 UPAPA UKARUDISHWA RUMI AMBAPO PAPA ARBANO VI ALITEULIWA(ANAKUMBUKWA KWA HARAKATI NYINGI ZA KUHAMASISHA WAKRISTO WAJITETEE KIVITA DHIDI YA UISLAMU

UPINZANI MKUU(GREAT SCHISM):
HILI LILITOKEA WAKATI KULIPOTOKEA NA MAPAPA WAWILI;MMOJA ALIKUWA AVIGNON UFARANSA (POPE CLEMENT VII) NA MWINGINE DOLA TAKATIFU YA RUMI (POPE CHARLES VI) ILI KUPATA SULUHU YA GREAT SCHISM.. BARAZA LA PISA LILIITISHWA NA WAKAAMUA KUWAFUKUZA MAPAPA WOTE WAWILI NA KUMCHAGUA MMOJA MPYA..MAPAPA WALIOFUKUZWA WALIPINGA KUWA THE COUNCIL OF PISA WAS ILLEGAL

KUKAITISHWA BARAZA LA CONSTANCE(1414AD) KUSHUGHULIKIA UWEPO WA MAPAPA WATATU;PIA KUSHUGHULIKA  NA FUNDISHO POTOFU(HERESY) YA JANN HUSS

BAADA YA BARAZA LA BASEL(1431) MATAIFA MENGI YA ULAYA YALIANZA KUPATA UHURU;KUKAWA NA KUKUA KWA ELIMU VYUO VIKUU VINGI VIKAANZA PAMOJA NA PRINTING PRESS(HUMANISM) NA NYAKATI HIZI WASOMI WENGI WALIKUWA NI CLERGY(ORDAINED SERVANTS)

RENAISSENCES!

HII NI HALI YA UPINZANI ILIYOTOKA KWA WATU BAADA YA KUONA ELIMU INATOLEWA KWA WATUMISHI WA KANISA TUU IN SHORT IT REFERS TO INTELLECTUAL REACTION TO THE INTELLECTION DOMINATION OF THE CHURCH

UPROTESTANTI(PROTESTANTISM)
UPROTESTANTI NI UPINZANI DHIDI YA CATHOLIC CHURCH

MAMBO MATANO YALIYOFANYA UPROTESTANT KUINUKA
1)MABADILIKO YA KIJAMII..ELIMU KUFUATANA NA FALSAFA ZA AKINA PLATO,CICERO,ARISTOTLE
2)KUPANUKA UPEO..WATU WA KAWAIDA (LAITY) WA KASKAZINI MWA ITALI WAKIELIMIKA MKAZO ULIKUWA JUU YA (individualism,nationalism and corporeal world-secular)
3)UPINZANI TOKA KWA TAWALA ZA FALME
4.)UBEPARI
5)MAMBO YASIYO SAHIHI NDANI YA KANISA
*SIMONY(KUNUNUA HUDUMA ZA KIKANISA)
*THE SALE OF DISPENSATION AND INDULGENCES

DISPENSATION-HAKI AMBAYO MTU ALIPEWA KWA KULIPIA ILI AWEZE KUTENDA KOSA/DHAMBI KWA RUHUSA YA PAPA MFANO KUOA ZAIDI YA MKE MMOJA

INDULGENC3S- HAYA NI MALIPO YALIYOLIPWA KWA AJILA YA MSAMAHA WA NDUGU ZAKO WALIOKUFA PESA HIZI ZILIITWA PETER'S SPENDING NDIZO ZILIZOJENGA ST.PETER BASILICA HUKO ROME

WANAMATENGEZO WA AWALI:

1.)JOHN WYCLIFFE
HUYU ALIPINGA MASWALA KADHAA;
SWALA LA KANISA KUWA NA UTAJIRI MWINGI WAKATI WATU NI MASIKINI;MAMLAKA YA PAPA(SUPREMACY OF THE POPE);ALIKATAS ZILE VITA ZINAZOONGOZWA NA KANISA;ALIPINGA SWALA LA WATUMISHI KUTOOA(CLERGICAL CELIBACY) NA HUYU NDIYE ALIYEITAFSIRI BIBLIA KWA LUGHA YA KIINGEREZA KITU AMBACHO KILIKUWA KINYUME NA KANISA LA R.C.. WAFUASI WA .WYCLIFFE WALIITWA "LOLLARDS"
MWENDELEZO:
2.)JAHN HUSS(1419-1494AD)WAFUASI WAKE WALIITWA 'HUSSITES'. HUYU ALIKUWA PADRE AMBAYE ALICHUKUA MAFUNDISHO YA WYCLIFFE AKAYASAMBAZA ULAYA ;KANISA LILIMTENGA(EXCOMMUNICATED HIM) KUKATOKEA VITA IITWAYO "HUSSITE WAR"

3.)MARTIN LUTHER
ALIZALIWA 10/11/1483 ALIKUFA 18/2/1546AKIWA EISLEBEN GERMAN
HILO JINA LILIBADILIKA HANS LUDER BAADAE LUDHER BAADAE LUTHER
ALIKUWA
MONK(MTAWA)
THEOLOGIAN
MKUFUNZI WA CHUO KIKUU
BABA WA UPROTESTANT
MWANAMATENGENEZO(CHURCH REFORMER)

MARTIN LUTHER ALIPINGA UWEPO WA SACRAMENT 7 AKATAKA ZIWE MBILI
RC WANAZO HIZI SABA
1)HOLY EUCHARIST
2)UBATIZO
3)PENANCE/KITUBIO
4)HOLY UNCTION
5)ORDINATION
6)COMFIRMATION/KIPAIMARA
7)NDOA
MARTIN LUTHER ALISIMAMIA KUWA WOKOVU UNAPATIKA KWA IMANI TU(SOLA FIDE) YAANI KAZI YA KIDHABIHU YA YESU. PIA ALISIMAMIACMAANDIKO TUU(SOLA SCRIPTURA) NA ALIWEKA MLANGONI THESES 95. MALKIA WA UJERUMANI ALIMSAPOTI LUTHER KWA SIRI..

KANISA LA UINGEREZA:

IKO VITA IJULIKANAYO KAMA "THE WAR OF THE ROSE" ILIYODUMU MIAKA 30.. HII NI VITA YA FAMILIA MBILI ZA KIFALME (KING HENRY VII + KING RICHARD III) FAMILIA ZILIZO PIGANA NI LANCASTER FAMILY VERSUS YORK FAMILY.. HUYU MFALME HENRY VII ALIKUWA NA MTOTO AITWATE ARTHUR(KING HENRY VIII)..UFARANSA ILIPIGANA NA UINGEREZA MIAKA 100 NA WAKATI HUO VITA HII ILIPUNGUZA MAKALI YA VITA VYA FAMILIA ZA KIFALME NA ARTHUR AKAMWOA CATHERINE WW ARAGON JAMBO LILILOPUNGUZA UHASAMA..WATAWALA WA UINGEREZA WALIKUWA EITHER WACATHOLIC AU WAPROTESTANTI

HENRY VIII-RC
EDWARD VI-MPROTESTANT
QUEEN MARY-RC
QUEEN ELIZABETH ALIKUWA MJANJA AKAAPPLY TECHNIQUE IITWAYO "VIA MEDIA" YAANI NJIA YA KATI HAKUWA R.C WALA MPROTESTANT BALI ALIYABEBA YOTE KWA KUPITA KATIKATI

SIFA ZA UPROTESTANTI:

I.)IMANI KUU
-maandiko ndiyo mamlaka ya mwisho(sola scriptura)
-kila mtu ni kuhani anaweza ongea na Mungu
-sola fide-ni kwa imani tuu mwamini anahesabiwa haki

II.)KUKUA KITHIOLOJIA
-waliacha kutoa heshima kwa watakatifu(Veneration of saints)
-cross from crucifix(matumizi ya msalaba usio na kisanamu cha Yesu)
-Theotokos(waliachana na fundisho la Mama wa Mungu)
FIKRA ZA KITHIOLOJIA yaani fundamentalism/liberaism(kukubali mabadiliko) na pentecostalism
III.)MAFUNDISHO
-uhusiano wa moja kwa moja na Mungu
-kila mwamini ana haki ya kutafsiri maandiko
-umishenari kwa sana

HARAKATI ZA KIMISHENARI ULAYA...

ZILIIBUKA KARNE YA 17.. WANAHARAKATI WAPURITANTI(PURITANT MOVEMENT) WALIOLENGA KUWEPO NA KUIONESHA KWA USAHIHI IMANI YA KIINJILI(EVANGELICAL FAITH) HAWA WAPURITANTI WAKASHINDANA NA MALKIA ELIZABETH..MALKIA ALIFANYA NAO VITA WAKAKIMBILIA UHOLANZI(MIAKA 11) BAADA YA HAPO WAKAPANDA MELI IITWAYO MAYFLOWER AU WATERFLOWER KUELEKEA PLYMOUTH(NEW ENGLAND)1620 MAREKANI AMBAKO WALIPANDA KANISA LA KWANZA LA KIPROTESTANT.MIONGONI MWA WAPURITANTI MASHUHURI NI JOHN KNOX NA JOHN HOOPER

NB:
KUANZA KWA KANISA LA KILUTHER NA ANGLIKANI KUNA SABABU ZA KIJAMII NA ZA KISIASA KULIKO KIROHO..MFANO MGOGORO WA UJERUMANI NA ITALY ULIPELEKEA UJERUMANI KUMPA SAPOTI MARTIN LUTHER KUJITENGA ILI WAO PIA WASIWE CHINI YA UTAWALA WA KIPAPA CHINI YA RUMI;PIA MARTINI LUTHER NAYE ALITAKA KUOA NA SHERIA ZA R.C ZINAMKINGA ..BADAE AKAMUO MJERUMANI AITWAYE KATHARINA VON BORA THOUGH AS THE PRIEST WAS NOT ALLOWED UNDER R.C..YEYE HAKUANZISHA DHEHEBU LA ULUTHER BALI WAFUASI WAKE. PIA KANISA LA ANGLICAN LILIANZISHWA NA MFALME HENRY VIII KWA KUWA NAYE ALITAKA KUWA HURU KUTOKA KTK UTAWALA WA KIRUMI CHINI YA PAPA..CHOCHOTE ALICHOFANYA ILIBIDI MPAKA APOKEE BARUA YA PAPA.. HIVYO ALIJITOA NA KUANZISHA DHEHEBU LAKE KAMA DINI YA ENGLAND YAANI ANGLICAN ILI AWE HURU KUOA MKE MWINGINE KULIKUWA NA SHIDA KTK NDOA YAKE YA MWANZO...MENGINE TUTAENDELEA KUJIFUNZA KTK SERIES ZINAZOFUATA

MWL PROO
0718922662
alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment