Friday, December 1, 2017

UKWELI KUHUSU KRISMASI!

*UKWELI KUHUSU KRISMASI/CHRISTMAS*

*_Mwl Proo expounds_*
*0762879363 (WhatsApp)*

1st edition ©2015

Revised in ©2017

Haleluya!

*UTANGULIZI*
Nimeona vyema, kuyaandika haya kwa majira haya, ili kila kitu kijulikane kwa namna kilivyo. Kumekuwa na pande zenye hoja kinzani kwa mambo haya. Ni muhimu kukumbuka mambo yahusuyo majira na nyakati, tangu uumbaji yamekuwa ni maswala ya kufanya fixation tuu. Kalenda za Mwezi (Lunar Calendar) na zile za Jua na mwezi (Lunisolar Calendar), zenye kuzingatia mwezi mdogo (Cresent Moon)๐ŸŒ™ au Mwezi-Mkubwa (Full Moon)๐ŸŒ”, ambazo zilizingatia siku ambazo mwezi huizunguka dunia kwa siku 29.5305891203704 *(Synodic Month)*, wakati pia dunia hulizunguka jua kwa siku 356.24218967 *(Tropical year)*. SASA MAMBO YOTE YAHUSUYO MAJIRA YAMEKUWA YAKIHUSISHA KUFIX GAPS. MWAKA 45KK MTAWALA JULIUS CAESAR, ALITAMBULISHA KALENDA MPYA YENYE SIKU 365. ILE ROBO SIKU ILIYOPO KATIKA 365.25, ILITAFUTIWA NAMNA YA KUFIDIWA MWEZI WA PILI WA KILA MWAKA WA NNE, NA KUUFANYA MWAKA WOOTE UNAOGAWANYIKA KWA NNE, KUWA MWAKA MREFU (leap year). LILE GEPU LA ROBO SIKU KWA MWAKA, LINAKUWA SIKU NZIMA KILA NDANI YA MIAKA 128. HIVYO WAKATI WA KALENDA MPYA ALIYOIAGIZA PAPA GREGORY, USIKU WA TAREHE 04/10/1582), ILILENGA KUONDOA HUO UTATA, AKAAMURU KESHO YAKE, IANZE KUTUMIKA KALENDA MPYA IITWAYO *Gregorian Calendar*. KESHO YAKE WATU WALIAMKA ASUBUHI, BADALA YA KUWA TAREHE *05/10/1582*, IKAWA TAREHE 15/10/1582. WALIZIRUKA SIKU 10 ILI KUFIDIA GEPU LA SIKU 10 ZILIZOPOTEA TOKA MWAKA 45KK MPAKA MWAKA HUO 1582, KWA SABABU KILA MIAKA 128 KUNA SIKU MOJA INAKUWA IMEPOTEA. HAYA MAMBO YANAFANYIKA KWA CALENDA YOYOTE ILE. WAYAHUDI MWEZI OCTOBER 2017, WAMEUANZA MWAKA MPYA 5778, UTAKAOMALIZIKA 20/09/2018 KWA HII KALENDA YETU. NA WAO PIA WANA MASAA 6.40 YANAYOPOTEA, YANAYOWAGHARIMU KUONGEZA SIKU KWENYE MIEZI MIWILI KILA BAADA YA MIAKA 231.

*MAANA NA HISTORIA*
Mwl Proo
Neno Krismasi/Christmas ni muunganiko wa maneno mawili, Christ na Mas, ambapo Neno la pili Mas ni form ya Old English ya neno *Mass*, ikiwa na maana ya kusanyiko, na Neno Christ ni Xristos yaani masihi. Kumekuwa ule ufipisho wa Xmas unaolalamikiwa kwamba is an offence. Ingawa ni ufipisho halali kabisa, maana herufi X kwa kiyunani ni *Chi* kama linavyotumika hapa *ฮงฯฮนฯƒฯ„ฯŒฯ‚*, na ndio ufupisho sahihi wa Neno Xristos. Lakini kwa kuwa herufi hii humaanisha mambo matatu (X-Sacred/Kitakatifu, X-Profane/Kisicho safi/Unholy/Uasi na pia X-Unkown/Isiyojulikana). Kwa maana hizo, kama inaonekana kuleta utata basi ikiachwa sio mbaya lakini huo ndio usahihi.

Kwa mara ya kwanza Krismasi ilisherehekewa tarehe 25/12/336 CE (Common/Current Era). Wakati wa Mtawala wa Rumi Constantino,  Emperor wa kwanza, aliyekubali kuwa Mkristo. Na baadaye Papa Julius I, akaitangaza rasmi kuwa maadhimisho ya Kuzaliwa kwa mwokozi yatakuwa katika siku hiyo. Kutokana na ukweli kuwa, tukio hilo halikuwa recorded exactly lini Yesu alizaliwa, ila majira yanaweza kukadiriwa kabisa. Kulikuwa na masherehekeo mengine ya kuzaliwa kwa Yesu just as an Epiphany, katika Early Christian writtings inaonesha January 6 ndiyo iliyokuwa ikisherehekewa, lakini hiyo ilihusiwa nyakati za kubatizwa kwa Yesu. Nitarejea hapa badaye kuweka sawa.

*HISTORIA YA DECEMBER 25*
Kulikuwa na sherehe katika Rumi ya kipagani, iliyofahamika kama *Saturnalia*, ambayo katika Julian Calenda ilionesha huadhimishwa juma la wiki linaloanzia 17th Desemba mpaka 23rd Desemba, lakini kinara chake kilikuwa 25th Desemba. Sherehe hii ilimhusisha mungu wa kilimo (deity Saturn), ambayo inahusisha historia kubwa ya kuhitimisha msimu wa autumn kuingi winter, na neno hili *Satus* lina maana ya kupanda/sowing. Katika zama zile ilisherehekewa kwa kufanya mambo mbalimbali ya kipagani, kama kucheza kamali/dicing kutabiri mtawala mpya wa Saturnalia, kuvaa mavazi ya nusu uchi, kupeana zana za ndege walio katika viota, mabwana kuwakarimu watumwa, mapambo ya miti, watu waliruhusiwa kufanya uovu bila kufikishwa kwenye mkono wa sheria. Mfano mtumwa  alikuwa huru hata kumtakana bwana wake bila adhabu, mtu angeweza hata kumsaka mtu aliyemtamani siku nyingi akambaka bila kufikishwa katika mkono wa sheria.

SASA WALE CHURCH FATHERS, WALIAMUA KUGEUZA MAMBO, ILI WAKRISTO WASIJEINGIA KATIKA MTEGO HUO WA WIKI YA SATURNALIA. HIVYO KUFANYA KINARA CHA SATURNALIA KIWE KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWA MWOKOZI BADALA YA KUYATUMIA MAJIRA HAYO KWA UOVU. MAJIRA YA SATURNALIA 25 DECEMBER SI MUDA KAMILI WA YESU KUZALIWA, MAANA TAREHE HIYO HAIKUHIFADHIWA POPOTE, INGAWA WAKO WASOMI WANAOSEMA KUWA ILIKUWA NI MWEZI WA TISA. IKUMBUKWE ILE LUKA 1:26 HAIJADILI MWEZI JUNI WA GREGORIAN CALENDAR WALA JEWISH CALENDAR, BALI NI MWEZI WA SITA TANGU ELIZABETH ASHIKE MIMBA. KALENDA YA WAYAHUDI IKO TOFAUTI NI HII YA KWETU YA SASA, WAO MWEZI OCTOBER 2017, WAMEUANZA MWAKA 5778 MWEZI NISANI. SASA KWA HABARI YA UCHAMBUZI ZAIDI PATA SOMO LANGU JINGINE LIITWALO *UKWELI KUHUSU PASAKA (lipo katika blog yangu na ukurasa wa fb)*.

UKRISTO/CRISTIANITY HAIKUPASWA KUWA DINI IN SUCH, ILA NI SWALA ZIMA LA UFUASI WA KUMFUATA YESU, NA KUWA KAMA KRISTO. BUT AS A RELIGION WE EXPECT THIS, THAT WILL DEVELOP ITS TRADITIONS. YALE AMBAYO YATAKUWA YALICHUKULIWA KIMAKOSA NI MUHIMU YAACHWE, HASA YALE YENYE KUKINZANA NA NENO LA MUNGU. KUMEKUWA NA UPANDE UNAOSEMA KWAMBA HII HAKUIAGIZA MUNGU. KWA MIMI NIKISIKIA HIYO KAULI NAJUA NI MATOKEA YA KUKOSA ELIMU TU, I CALL IT FOOLISH ARGUMENT, MAANA MUNGU HUYU WA BIBLIA, ANAFANYA KAZI NA WANADAMU (Rumi 8:28). KWA KAULI HIYO UTAPASWA KUIKATAA NA BIBLIA, MAANA NI HAOHAO CHURCH FATHERS NDIO WALIOKUBALIANA KUYAHIFADHI MAANDIKO NA BARUA ZOTE ZA AGANO JIPYA, TENA WALE *NICENE FATHERS*, NDIO WALITUSAIDIA SANA KUKAA KUCHAMBUA VITABU NA BARUA 367, ILI VIBAKI HIVI TULIVYONAVYO VYA AGANO JIPYA, TENA WAO NDIO WALIO-PRECLUDE ILI KUSIFANYWE ADDITIONS, SASA UNAYEKATAA BILA KUELEWA, KATAA NA KAZI ZAO HIZO NZURI BASI. IPO HIVI, CONTENT YA KUWA NA TAREHE YA KUWAAMBIA VIZAZI VYOTE KWAMBA, KUNA MWANADAMU ALIZALIWA, AKAFA NA AKAFUFUKA NAYE NI YESU, HAKUNA TATIZO LOLOTE, CHRISTMAS SHOULD ONLY AIM AT TELLING THE WORLD, JESUS CHRIST IS THE SAVIOUR. KAMA KUNA OTHER DEVELOPED TRADITIONS ZINAZODHANIWA KUKINZANA NA BIBLIA HIZO ZAWEZA ONDOLEWA. YALE YETU KAMA MEZA YA BWANA ETC, NI YETU WENYEWE HAYANA HATA SIKU YAKE KWENYE KALENDA. LAKINI THIS IS FOR OTHER PEOPLE TOO (Wafilipi 2:4). KAMA SIKU YA KRISMAS INGEENDELEA KUSHEREHEKEWA SARTUN MUNGU WA KILIMO NA MAVUNO, BASI INGEKUWA UPAGANI 100%, LAKINI KAMA THE CONTENT IS ONLY CHRIST, HAPO HAKUNA UPAGANI *_BECAUSE IT IS THE CONTENT THAT COUNTS_*. HATUNA UHUSIANO NA SATURNALIA BALI MAJIRA NI YALEYALE.

YAKO MAMBO MENGINE SI YA LAZIMA SANA, ILA HAYO NAYAITA *CHRISTIAN DEVELOPED TRADITIONS*.

1.MAMBO KAMA CHRISTMAS TREES (Fir trees ๐ŸŽ„๐ŸŽ„), YALIYOIBUKA HUKO ULAYA MIAKA 1000 ILIYOPITA. AMBAPO KATIKA MAPAMBO YA MITI YALITUMIWA KWA MARA YA KWANZA HUKO TALLINN (Estonia) 1441, NA HUKO RIGA (Latvia) 1510 MITI HII YA *CHERRY NA HAWTHORN*, ILITUMIWA NA WATU WAPANDA FARASI HUKU WAMEBEBA MATAWI NJIANI๐ŸŒฒ๐ŸŒฒ๐ŸŒณ๐ŸŒณ.  NA HISTORIA INAONESHATU WA KWANZA KULETA MTI NDANI SITTING ROOM ALIKUWA MARTIN LUTHER (German Preacher). ALIKUWA KATIKA FOREST USIKU AKAWA ANAZITAZAMA NYOTA⭐⭐⭐ ZINAZOIANGAZA MITI๐ŸŒฒ๐ŸŒณ๐ŸŒด๐ŸŒฟ, AKAANA KUTAFAKARI YENYE ALIPOACHA MING'AO YA MBINGUNI NA KUZALIWA KATIKA HOLI NA NG'OMBE MAJIRA HAYO, KATIKA KRISMASI YA FULANI KARNE YA 16.

2.FATHER CHRISTMAS๐ŸŽ…๐Ÿฝ๐ŸŽ.
YUKO ASKOFU AITWAYE NICHOLAS ALIYEISHI KARNE YA NNE, HUKO ASIA NDOGO MAHALI PAITWAPO MYRA AMBAYO SASA NI UTURUKI. MTU HUYU KARNE ZA BAADAYE CATHOLIC CHURCH ILIMTANGAZA KUWA MTAKATIFU (Santa Claus/St.Nicholas).  ALIKUWA TAJIRI SANA, MAANA WAZAZI WAKE WALIKUFA MAPEMA NA KUMWACHIA FEDHA NYINGI NA UTAJIRI. SIFA YAKE KUBWA ILIKUWA NI UKARIBU WA KUZUNGUKA MTAANI, KUTOA MISAADA KWA MASKINI AKIWA AMEBEBA VIFURUSHI ๐ŸŽ…๐Ÿฝ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŒฟ(Stockings).  NAYE ALITIWA GEREZANI ZAMA ZA ADHA YA KANISA CHINI YA DIOCLETIAN, MA KUFA 6/12/352. BAADAYE MIFUPA YALE ILIIBWA MWAKA 1087 NA KUPELEKWA ITALY. KWA HIYO HII NAYO IKAWA TRADITION, YA KUHAMASISHA MATENDO MEMA (CHARITY/ALMS GIVING), WAKATI HUO WA KRISMASI KAMA ALIVYOFANYA ST.CLAUS.

HAYO NA MENGINE KAMA (Chriatmas Eve ya Usiku mmoja kabla ya Krismasi, na Christmas Carol/Carola (Ambayo asili ya neno hilo la kifaransa maana yake dancing๐Ÿ‘ฏ) ,  NI MIONGONI MWA MAMBO AMBAYO YOTE NI DEVELOPED TRADITION. CONTENT YA KRIMASI IKIJAA HIZO TRADITIONS PEKEE BILA KUWA NA KUSUDIO LA KUUTANGAZIA ULIMWENGU, KUWA YESU ALIZALIWA, ALIKUFA NA ALIFUFUKA ITAKOSA MAANA YAKE.

*HITIMISHO*
Jambo la kwanza na la msingi, kwa Mkristo hakikisha kwanza *_UMEOKOKA KWELIKWELI_*. Hakuna maana yoyote ya kujihusisha na mambo ya dini, either unachallenge kuwepo kwa matukio haya au unayasherehekea, kama hujaokoka *WORKDONE IS EQUAL TO ZERO*. Anza na wokovu kwanza, mwamini Yesu uokoke, upokee Roho wa Kristo, ili yoyote yenye athari kwenye imani yako kwa Mungu, utaweza kuyaepeuka. Kwa wale wanaoona maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu ni upagani, wawe huru tu kutoiadhimisha, lakini kwetu sisi ukija ibadani siku hiyp hiyo hakuna upagani wa Saturnalia kabisa. Na pia nawakumbusha ili imani yenu iwe na maana aminini tu wokovu mwokoke, maana hata mkichuja hiyo sherehe, nado mnayo mapokeo yenu mengine mengi *unbiblical*, ni basi tuu hili linauhusiano na viongozi wa Catholic church ambao mnawakataa daima.

Kwa maswali zaidi

Mwl Proo
0762879363
0718922662

alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment