Friday, December 15, 2017

KAINI ALIMWOA NANI?

JE KAINI ALIMUOA NANI?

Ufafanuzi by Mwl Proo
0762879363

NDUGU WAPENDWA BIBLIA HAINA UTATA TUKIAMUA KUIELEWA. AGIZO LA MUNGU LA KWENDA KUZAANA NA KUONGEZEKA LILIBEBA VITU NDANI YAKE. WANAZUONI WA BIBLIA HUSEMA ADAMU ALIISHI MIAKA 50 KABLA YA KUUMBIWA MSAIDIZI EVA. WATOTO WATATU WA KIUME WALIOTAJWA MAJINA WA ADAMU YAAN KAINI ,ABELI NA SETHI WALIZALIWA NDANI YA MIAKA 80 YA NDOA YA ADAMU NA HAWA. ADAMU ALIISHI MIAKA 930 KWA UJUMLA,ILA ALIISHI MIAKA 800 BAADA YA KUMZAA SETHI (MWANZO 5:4) KWA HIYO HAPO NYUMA ALIISHI MIAKA 130 AMBAPO UKITOA ILE 50 YA UBACHELA ALIKAA NA HAWA MIAKA 80. WATOTO WA KIKE HAWAKUTAJWA KABISA...SABABU YA KUTOTAJWA NI KWA SABABU UANDISHI WA KITABU CHA MWANZO ULIFANYWA MIAKA 2600 TANGU UUMBAJI AMBAPO ILIKUTA TRADITIONALLY WANAWAHESABU WANAUME PEKEE. SASA BAADHI YA JEWISH WRITTINGS ZIMETAJA IDADI YA WATOTO WA ADAMU KUWA NI 20. LAKINI TWENDA TUANGALIE KWA KINA HAYA MAMBO YAKOJE. KWENYE DEMOGRAPHIC STUDIES ZIKO THEORIES OF POPULATION ZINAZOONESHA KUWA KWA SASA HAWA WANAWAKE WANAOISHI MIAKA HII MICHACHE MPAKA KUFIKIA KWENYE UKOMO WAO WA KUWEZA KUSHIKA MIMBA(MENOPAUSE) WANAUWEZO WA KUZAA WATOTO 42;LAKINI KUMBUKA UWEZO WA KUZAA(FERTILITY) YA WAKATI HUO ILIKUWA NI KUBWA SANAA KWA HIYO TAKWIMU ZINAONESHA ADAMU NA HAWA KTK MIAKA 800 WALIYOISHI BAADA YA KUMZAA SETHI WANGEWEZA KUZAA WATOTO 1100 (KWA MIEZI 9 YA MTOTO KUKAA TUMBONI) . SASA KAINI ALIENDA KUISHI NCHI YA NODI,KITHIOLOJIA NODI SIO NCHI LAKINI MATAMSHI HAYO KIEBRANIA YANATAJA TU MAHALI ALIPOENDA KAINI ALIPOFANYWA MTORO NA NENO HILO MAANA YAKE NI KWENDA KULALA AU KUTANGATANGA(NOD  MEANS THE LAND OF THE WANDERER) NA ILIKUWA MAILI CHACHE SANA MASHARIKI MWA EDEN (MWANZO 4:16) NA BIBLIA HAIKUITAJA TENA ARDHI HIYO. JIBU LA WAZI NI HILI KAINI ALIMUOA DADA-MDOGO WAKE KTK MOJA YA BINTI ZA ADAMU. JARIBU KUFIKIRI ADAMU AKIWA NA MIAKA 130 NA MKEWE MIAKA 80 WALIMZAA SETHI...SASA KUANZIA HAPO HADI WALIPOFIKA LET SAY ADAM MIAKA 700 NA HAWA MIAKA 650 WALIZAA WATOTO WANGAPI NDANI YA HIYO MIAKA 570? INGAWA JUMLA NI MIAKA 800 WALIISHI BAADA YA KUZALIWA SETHI .NI WAZI KUWA ADAMU AKIWA NA MIAKA 700 KAINI HUKO ALIKO ALIKUWA NA MIAKA ZAIDI YA 600 NA LAZIMA ADAMU ALIKUWA NA MABINTI WENGI WENYE MIAKA KATI YA 25 HADI 570  TENA WALIOSAMBAA SASA UKWELI WA KUWA NODI ILIKUWA MAILI CHACHE SANA NA UKWELI KUWA FERTILITY RATE ILIKUWA SO HIGH HATUWEZI KWEPA UKWELI KUWA KAINI ALIOA DADA MDOGO WAKE.

NB:
MAKATAZO YA INCEST(FORBIDDEN SEXUAL RELATIONS) UHUSIANO WA TENDO LA NDOA KWA NDUGU WA KARIBU (Walawi 19:1ff) YALITOLEWA KWA ISRAEL WAKIWA CHINI YA UTAWALA WA MUSA KATI YA MWAKA 1440 -1400 BC YAANI KARNE YA TANO NA SITA NA TAYARI MABABA ZETU WALIKUWA WAMEISHI KARNE 26 BILA  TOKA ADAMU HADI NUHU HADI IBRAHIMU HADI KUTOKA UTUMWANI HAIKUWA DHAMBI NDIO MAANA WATU KAMA WAKINA YAKOBO WALIOA WATOTO WA WAJOMBA ZAO TENA ALIOA LEA NA RAHEL WALA HAIKUHESABIWA KUWA NI HATIA;ILA DHAMIRI ILIWASUTA HASA KAMA MTU ALISHIRIKI HILO TENDO LA KIRUMI MAHALI AMBAPO BABA YAKE AMEGUSA(RUBENISM);NA MUNGU ALIJIFUNUA KWAO KWA UFUNUO WA HIVYO MDOGO ILA SASA TUPO KWENYE MAXIMUM REVELATION (Matendo 17:30 ).KWA HIYO NISEME BIBLIA IPO CLEAR KABISA

Mwl Proo
0762879363
0718922662

alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment