Saturday, December 9, 2017

FUNDISHO LA DELIVERANCE

*FUNDISHO LA UKUMBOZI(DELIVERANCE)*
*_Upi ulipaswa kuwa usahihi wa fundisho hili? Nini ambacho kinafundishwa kimakosa?_*

Na Mwl Proo
0762879363(whatsapp only)

SHALOM!

Neno "komboa" linaleta maana tamu zaidi tukiliangalia kwa upana toka kwa lugha zingine (Hebrew:-Pedut) (English:-Redeem)
Maana yake ni hii.....

*To recover ownership of something by buying it back

*Liberate by payment or a ransom

*To set free by force

*To clear,release from debt/blame
*To restore the reputation or honour
Kwa habari ya ukombozi wa nafsi tujifunze mambo manne ya msingi kuhusu ukombozi

*A.KWA NINI UKOMBOZI*
*Dhambi,uovu na makosa yalitupa kuuzwa,tusiwe mali yake Mungu,nafsi zetu ziliuzwa
Isaya 50:1,52:3

*Tangu Adamu wanadamu wote waliokufa baada yake walienda kuzimu,maana dhambi ilibadilisha ownership...Watu walitofautiana tu wapo eneo lipi la kuzimu either Sheol,Gehenna au penginepo maeneo mengine ya kuzimu ni kama Abussos,Chasm,Tartarus (Luka 16:19-26,Zabur 16:10,Ufun 9:1,
Na ndio maana kufufuka kwa Yesu kulihusisha transmigration ya wale waliokuwa huko Sheol watoke kwenda mbinguni(Math 27:51-53)

*B.)MUNGU ANAWEZA NA ANATAKA KUTUKOMBOA*
Zaburi 72:14,34:22,Yer 32:11,Ayu 33:28,Hoses 13:14,Omb 3:58

*C.)KWA KUWA TULIUZWA ILIKUWA LAZIMA TUNUNULIWE,YAANI LAZIMA ITOLEWE FIDIA(RANSOM)*
Ufunup 5:9-10,14:4,Mdo 20:28,1Kor 7:23,6:20

*D.)UKOMBOZI HUU NI KWA NJIA YA YESU,DAMU  YAKE NA MSALABA*

Ebra 9:15,9:12(Once for all),Gal 3:13,Luk 24:21,1:64,1Tim 2:6.Kol 1:14,Efes 1:7

SASA TUKISOMA HAPO JUU KWANZA MAANA YA NENO KOMBOA/REDEEM/PEDUT INALETA TAFSIRI TANO ZILIZO TAMU

1.maana ya kwanza,ni kurejeza umiliki wa kitu kwa kukinunua tena

2.maana ya pili,ni kuweka huru kwa nguvu ya kulazimisha(aliyeshikilia hataki) but inakuja nguvu kubwa kuliko yake(Math 12:29) inamtweza nguvu yeye then kilichoshikiliwa kinaachiliwa huru
3.Kufuta au kusawazisha deni au laumu(lawama)

4.Tafsiri ya tatu ni kuweka huru kwa malipo au fidia...
5. na tafsiri ya tano ni kurejeza sifa au heshima

KWA AMBAYE UMEMALIZA HUO UTANGULIZI WA UKOMBOZI

UTAELEWA KUWA,YAKO MAKOSA(DHAMBI/UOVU) TRANSPASSES/TRANSGRESSIONS/SINS/EVILS/INIQUITIES AMBAZO KISHERIA ZINAKUUZA KWA UPANDE MWINGINE
KOSA LA MTU MMOJA ADAMU(RUM 5:12ff)  LILIKIINGIZA KIZAZI CHAKE NA ULIMWENGU  WOTE KTK KUTENGWA NA MUNGU

JITIHADA ZOTE ZILIZOFANYWA KABLA YA DAMU YA YESU ZILIKUWA KIONGOZI CHA MUDA TU(GAL 4:23ff) WALA DHAMBI HAZIKUSAMEHEWA IN SUCH ZAIDI YA KUWA COVERED KWA NAMNA FULANI

YESU KRISTO,DAMU NA MSALABA WAKE WAS/IS THE REAL DEAL KWA HABARI YA ILE FIDIA/RANSOM ILIYOTAKIWA  ILI KUSHUGHULIKIA KABISAAAAAAAAAA

IT IS *ONCE FOR ALL*

SASA KAZI AMBAYO YESU ALIIFANYA ,YAANI UPATANISHO (MAANA MUNGU ALIKUWA NDANI YA MWANADAMU YESU KRISTO,AKIUPATANISHA ULIMWENGU NA NAFSI YAKE) KWA HIYO *ATONEMENT/RECONCILIATION* ILIYOFANYWA NA YESU ILIKUWA NI PERFECT WORK AMBAPO DHAMBI ZOTE ZILIPATA SULUHU... MUNGU ALIKWISHA UPATANISHA ULIMENGU NA NAFSI YAKE KWA KIFO CHA MWENYE HAKI YESU(2KOR 5:21) ALIYEFANYIKA DHAMBI ILI SISI TUWE HAKI YA MUNGU

ULIMWENGU(WATU WALIOMO NDANI YAKE) WAMEPEWA WOKOVU (WENYE UKOMBOZI BURE) THEY ONLY NEED TO REACH IT OUT

NA MUNGU ALIFANYA MAAMUZI MAGUMU YA KUWAUMBA WANADAMU NA VIUMBE WOTE HATA WA ROHONI,NA KUWAPA UHURU WA KUCHAGUA.... *FREEWILL/FREEDOM OF CHOICE* HAKUNA SHURTI YA KUAMINI AU KUKATAA

ILA KILA MWANADAMU AKIUAMINI WOKOVU WA YESU(THAT ETERNAL REDEMPTIVE WORK IKO NDANI YA HIYO FIDIA YA MAUTI YA YESU) KWA HIYO ANAKUWA AMETOLEWA FIDIA  YA DENI AMBALO LILIKUWA LINAWAPA HAKI KISHERIA SHETANI AND HIS AGENTS KUWA HURU KUFANYA CHOCHOTE MAISHANI MWAKO

*KWELI NAMBA MOJA*

MTU ALIYEWEKWA HURU KWA KUIKUBALI FIDIA YA MAUTI YA YESU HAPASWI KAMWE KUGUSWA NA YULE MWOVU(1YOH 5:19)

MTU ANAWEZA KUGUSWA KAMA ATADUMU KTK UCHANGA WA KUTOONGEZEKA KATIKA MAARIFA NA MADARAKA YA MUNGU (NDIO MAANA NI MUHIMU APATE MAZIWA *_YASIYOGHOSHIWA_*

UKOMBOZI SIO TUKIO LINALOJITEGEMEA,BALI UNAPOAMINI KABISA MOYONI MWAKO KWA HABARI YA FIDIA YA MUNGU KWA MAKOSA YALE YALIYOKUUZA KWA ADUI NA KUMPA HAKI KISHERIA KUKUTAWALA,ILE HATI INAFUTWA KABISAAAAAA

Kolosai 2

13 Na ninyi mlipokuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutokutahiriwa kwa mwili wenu, aliwafanya hai pamoja naye, akiisha kutusamehe makosa yote;
14 akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani;
15 akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo.

NAOMBA KUSAHIHISHA HOJA INAYOTOLEWA NA WENGI

HUSEMA; UKIOKOKA NDIPO MIZIMU NA MAADUI YANAANZA KUKUFUATILIA...

SASA ILI IKAE SAWA TUIWEKE HIVI

HAPO MWANZO ULIKUWA CHINI YA MILKI YAO ,KWA HIYO WALIKUTESA,WAKAKUOTESHA NDOTO ZA KUKIMBIZWA NA MADUDU YA AJABU MAANA NAFSI YAKO ILIKUWA MALI YAO KIHALALI

BAADA YA KUOKOKA(KOLOSAI 1:13) UMEHAMISHWA TAYARI

WAKIRUDI MAADUI HAWAJI KUKUTESA BALI KUFANYA VITA NA WEWE MAANA UMEONDOLEWA KULE NAO WANAJUA..

ILA WANAHISI KUWA HUENDA KTK ULE UCHANGA HUENDA UNAWEZA UKAAMUA KUIACHA ILE NJIA

MIMI PROSPER KADEWELE NI USHUHUDA HAI

KABLA YA KUOKOKA NILIKUWA HURU MBALI NA HAKI,SHETANI ALINITESA KAMA MTUMWA WAKE

NILIPOFANYA SHAURI LA KUMWAMINI YESU MWAKA 2004 KAMA AMBAVYO YESU ALINIITA KWAKE KWA NJIA YA NDOTO,NA NILIMUONA NDOTONI NA UJUMBE WAKE MPAKA SASA NAUKUMBUKA,NDOTO ILIKUWA NDEFU SIJASAHAU NENO HATA MOJA.

KUOKOKA KWANGU HAKUKUMFANYA ADUI ANIACHE ,ILA PIA KILE CHETI NILICHOKABIDHIWA *_CERTIFICATE OF REDEMPTION_* HAKIKUMPA NAFASI SHETAN OPTION YA KUNITESA HAPANA,HAIWEZEKANI TENA,ALICHOWEZA KUFANYA SHETANI NI KUFANYA VITA NA MIMI MPAKA LEO HII HAJAWAHI KUSHINDA NA HAJAWAHI KUSITISHA VITA

KWA AMBAO MMESOMA KIJITABU(MINI-BOOK) KUHUSU VITA VYA ROHONI, MMEONA SHUHUDA ZANGU NYINGI MNO

BAADA YA HAPO NILIANZA KUYAONA HATA MAJINI NIKIWA BWENINI... SITASAHAU SIKU MOJA SAA NANE USIKU NATOKA KUSOMA,NILIPOPANDA  KITANDANI TUU NIKAANZA KUHISI BARIDI NA JOTO KWA MPIGO,NILIPOFUNUA MACHO NILIONA CEILING BODY INAYOTENGANISHA CUBICALS BWENINI IKIPEPERUKA KAMA KITAMBAA,NA NIKAONA DUDE KUBWA👹 LENYE MIKIA KAMA PWEZA🐙

NIKAANZA MAPAMBANO AMBAYO HAYAJAWAHI KUISHA...SASA HII VITA SIO KIASHIRIA CHA KWAMBA NINAHITAJI UKOMBOZI, ILA NIMEKUWA BIDHAA ADIMU YA KUWAONGOZA WENGI KWENYE UKOMBOZI WA YESU

VIUMBE VYA ULIMWENGU WA ROHO HAVIKO THAT MUCH *DULL* WAKAWA BUTU KIASI CHA KUIGNORE PROCESSES ZINAZOLETA BADILIKO LA UMILIKI KTK ULIMWENGU WA ROHO

MAANA THAT SIDE OF SPIRITUAL REALM MAMBO YAKO HALISI KULIKO HUKU NJE KTK CORPOREAL WORLD

SWALA LA MSINGI ULIUPATAJE WOKOVU... THIS WILL BENCHMARK THE FIRST DIFFERENCE....

NDUGU WAPENZI..... NAOMBA NIWEKE WAZI HAPA PAMOJA NA ZILE OTHER CHRISTIAN RITUALS (KAMA UBATIZO-Marko 16:16)
*LAKINI WOKOVU WETU UNAPATIKANA KWA KUAMINI*!!!!!!

KWENYE PACKAGE YA WOKOVU🎁(redemption is not a separate entity)

SASA NATAKA KUKAZIA MKAZO HAPO WITH THE PRACTICAL KNOWLEDGE SIO CURRICULUM ZA KWENYE MAKANISA

Rumi 10

9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
10 Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.

Sasa wapendwa hapa tunaona MOYO❤NA ULIMI 👅VIKIWA VYA MUHIMU SANA KTK PROCESSION YA SALVATION

SASA TWENDE SAWA

UNAWEZA KUWAONGOZA WATU 10 KWA BWANA ILI WAMWAMINI WAUPOKEE WOKOVU, LAKINI KATIKA HAO SITA WAKAPOKEA PACKAGE YA WOKOVU🎁 YENYE  TOTAL DELIVERANCE NA WAKABAKI WANNE PAMOJA NA KUSEMA TUPO TAYARI KUMWAMINO YESU, AU TUNAMWAMINI YESU SASA(CONFESSION)  LAKINI WAKABAKI HAWAJAPOKEA TOTAL DELIVERANCE

SHIDA IKO WAPI?? NI YESU PACKAGE YAKE YA WOKOVU IPO NUSU????

NAOMBA TWENDE KWENYE ANDIKO LA MSINGI SANA LINALO TOFAUTISHA HAWA WATU 10 TUKAPATA SITA AMBAO WALIPOAMINI WAKAFUNGULIWA NA VIFUNGO VYAO HAPO HAPO,NA TUKAPATA WANNE WAMESEMA KWA VINYWA TUNAAMINI ILA WAKABAKI NA VIFUNGO VYAO

Waebrania 4 : 2 - Maana ni kweli, sisi nasi tumehubiriwa habari njema vile vile kama hao. Lakini neno lile lililosikiwa halikuwafaa hao, kwa sababu halikuchanganyika na imani ndani yao waliosikia.

Mwandishi huyu wa Waebrania,anatupa tofauti kubwa ya watu ambao wametengenezwa kwa the same material waka product mbili tofauti

ANASEMA NENO TULILOHUBIRIWA SISI, NDILO WALILOHUBIRIWA WAO
ILA WAO HALIKUWAFAA (HALIKUFANYA ILE KAZI YAKE ILIYOKUSUDIWA) MAANA HAWAKULICHANGANYA NA IMANI

SASA TUMEONA KUWA KAMA MTU AMESIKIA NENO LA INJILI YA KWELI KISHA AKAAMINI KABISA MOYONI MWAKE NA AKAYAKIRI YALE ALIYOYAAMINI (ILE INAYOITWA SALA YA TOBA IMELETA ATHARI KUBWA TUU) MAANA WATU WANATAMKISHWA MAMBO HAWAJAAMINI KABISA...KUMBE WALIPASWA BAADA YA KUSIKIA NENO (RUMI 10:17) MIOYO IKAAMINI (HAKI) VINYWA VIKAYAKIRI YALE WANAYOYAAMINI(WOKOVU)

SASA MTU AMBAYE KAFANYA KWA USAHIHI SIO KWA EXTERNAL COMPULSION AKAWA COMPELLED....HUYU MTU ANAUPOKEA WOKOVU AMBAO TAYARI UNA PACKAGE YENYE VITU VYOTE NECESSARY FOR SALVATION INCLUDING REDEMPTION

SASA HUYU MTOTO ALIYEZALIWA SASA ,ULE UPANDE ALIOTOKA LAZIMA UJE UTEST HUKU KAMA ATAKUTANA NA MAZIWA SAFI🍼🍼🍼 SIO NENO AMBALO LIKO *PEDDLED*(ghoshiwa) ATAANZA KUKUA KTK MAARIFA NA MADARAKA YA MUNGU,ILI WAWE WALIOMFANYA MTUMWA SASA WASIWEZE TENA KUMGUSA

ILA HUYU MTU AMBAYE AMEFUATA TARATIBU TU ZA DINI YENU, ILA KIUKWELI HAKULIPOKEA LILE NENO NA KULICHANGANYIA NA IMANI BADO KATIKA ULE ULIMWENGU MWINGINE ATAONEKANA WAZI KUWA HUYU BADO👌🏽👌🏽

NDIPOSA MTU AMASEMA AMEOKOKA ILA UKIKEMEA ANATUPWA NA MAPEPO.
MAPEPO YAKIKUANGUSHA *IN TRANCE* NI KIASHIRIA CHA WAZI BADO UKO *POSSESSED* UNAMILIKIWA.
KUMBUKA MAANA YA KOMBOA/REDEEM NI REJEZA UMILIKI KWA KUKINUNUA TENA KITU

SASA HUYU MTU KWA KUWA KULITOKEA SHIDA JINSI ALIVYOPOKEA(UFU 3:3) ATAHITAJIKA LAZIMA AFANYIWE KITU CHA ZIADA ILI UMILIKI URUDISHWE HAPA NDIPO KWENYE MZIZI WA FUNDISHO LA UKOMBOZI

SASA KWA MFANO MIMI,SIKU NILIYOAMUA KUOKOKA TAREHE 29/8/2004 NIKIWA PUGU SEKONDARI, NILIANDIKA KWENYE BIBLIA YANGU KUWA MUNGU UNUSAIDIE MWEZI HUU WA NANE USIISHE NIWE NIMEPATA WOKOVU, NILIANDIKA HIVYO MWANZONI MWA MWEZI.

NA HIYO JUMAPILI ILIKUWA YA MWISHO, SO NIKAONDOKA SHULE NAELEKEA KANISANI, NJIA NZIMA NASEMA LEO NAMTAKA YESU MOYONI MWANGU

SASA KWA SABABU YA IMANI ILIYOKUWA NDANI YANGU ILIYOTOKANA NA KULISIKIA NENO LA KWELI YA KRISTO,
NILIPOINGIA IBADANI TUU, NGUVU ZILINISHUKIA ZA HATARI,KULIKUWA NI MAOMBI YA SADAKA

LAKINI NGUVU ZIKANIKAMATA KWA AJABU,NILISHIKWA VIUNGO VYOTE NA GANZI ISIYO NA MFANO  IKAJA VIBRATION KALI SANA,AMBAYO HIYO IKANINENESHA KWA LUGHA MPYA ZA ROHONI KWA NAMNA YA AJABU (THE SWEETEST EXPERIENCE EVER BEEN ENJOYED)

MIMI NILIKWISHA AMINI MOYONI MWANGU SIO KWA UTARATIBU ULE WA KILOKOLE WA KUSALISHA TOBA MTU MOYO WAKE HAUJAAMINI KWA KWELI (NA HUYU ATAKUWA NA SABABU  YA KUHITAJI MSAADA MWINGINE)

NILIENDA MBELE KWA AJILI YA ZILE TARATIBU ZA KUOMBEWA LAKINI ROHO MTAKATIFU ALIJAA NDANI YANGU VYA HATARI ILI KUNIZAA UPYA (THE HOLY SPIRIT GETS INTO US KWA KAZI YA RENEWAL&REBIRTH)

SASA THAT DAY NILITOKA TOKA MIKOCHENI MPAKA MWENGE NIKIWA NATEMBEA KWA MGUU NAPITA KUNENA KWA LUGHA NJIA NZIMA

IMANI YANGU ILIINUKA KWA HARAKA SIKU HIYO HIYO, NAKUMBUKA SIKUWA NA NAULI YA KWENDA MBEZI BEACH...NIKIWA NAENDELEA KUNENA KWA LUGHA NIKASEMA KWA KISWAHILI MUNGU NATAKA KUOKOTA HELA...HALAFU NIKASOGEA PEMBENI MWA BARABARA NAJIANDAA KUOKOTA HELA NA KWELI MACHO YANGU YAKAONA PESA CHINI, NIKACHUKUA  NA KWENDA KITUONI

NILIENDELEA KUNENA KWA LUGHA SHULENI,NILITAMANI KUPITA  SEHEMU ZISIZO NA WATU ILI NIENDELEE KUENJOI KUNENA KWA LUGHA

WAKATI HAYO YANAFANYIKA,NIKAGUNDUA MAGONJWA YALIYOKUWA YAKINISUMBUA YAKA🔓YENYEWE NIKAANZA KUENJOY TOTAL FREEDOM IN CHRIST

SASA LIKO JAMBO AMBALO LINATAFSIRIWA KIMAKOSA HUKU VIKICHANGANYA NA   SWALA LA UKOMBOZI...

HAKUNA MTU ANAYEOKOLEWA (SIO KUOKOKA KIDINI NA KIMAPOKEO) AKABAKI ANADAIWA... DAMU YA YESU INALIPA FIDIA

MTU BAADA YA HATUA KAMA YANGU YA KUUPOKEA WOKOVU

NAPASWA KUUKULIA HUO WOKOVU(1PET 2:2)

HATUA YA MUHIMU ENDELEVU NI KUKAA KTK UTAKASO

1THES 4:7

1 Wathesalonike 4 : 7 - Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso

SWALA LA CLEANSING(SANCTIFICATION) LITAKUWA ENDELEVU NA HALINA MWISHO

SASA KAMA NILIKUWA NA VITABIA FULANI VICHAFU KWA KUIKULIA ILE NEEMA NITAENDELEA KUTAKASWA

NA MUDA NGUVU TAYARI IPO

KWA MFANO MIMI NILIKUWA NINA KATABIA MARA CHACHE CHACHE KUJICHUA(MASTURBATION) KWA NGUVU ZA ASILI NILIKUWA NAJITAHIDI KUACHA HATA MIEZI MITATU NASHINDWA TENA,LAKINI BAADA YA KUOKOKA...HUU MWAKA WA KUMI NA MBILI SIJAWAHI HATA KUJARIBISHA HIYO MASTURBATION IKOJE

KWA HIYO NINAENDELEA KTK *CLEANSING* HATA NIFIKIE KIMO CHA CHEO CHA UKAMILIFU WA KRISTO

NINAPOENDELEA NA HIYO CLEANSING NDIPO AMBAPO ADUI ATAJARIBU KUPENYEZA MAMBO YAKE, LAKINI KWA SASA KAMA MKOMAVU SIO TENA MNYWA MAZIWA🍼🍼 BALI NATAFUTA MIHOGO,NGUNA,MIFUPA🍚🍖 KAMA ADUI AKITAKA KULETA VILE VIFUNGO VYA KWANZA SIHITAJI MTU AJIPATIE UMAARUFU,NIKIHISI KUNA PANDO SIO LA BABA NALING'OA....ILA YULE AMBAYE NGUVU ZAKE NI CHACHE (MITHALI 24:10) NA KIWANGO CHA MAARIFA NA MADARAKA YA MUNGU ANAWEZA HITAJI MSAADA WA WALIO NA NGUVU

SASA TUJE KWENYE KITU KAMILI. NILIWAHI KUFUNDISHA KUWA NAFSI ZA WANADAMU HUWEZA KUUZWA

NA MMEWAHI KUSIKIA KUWA KUNA FAMILY SPIRITS
(ROHO ZA FAMILIA)
HAKUNA KITU HICHO NI YALEYALE MAPEPO TUUUU

SEMA UNAKUTA MABABU NA MABIBI KWA MANUFAA YAO AU KWA SABABU YA KUMILIKIWA WANAAMUA KUJIUZA NAFSI ZAO NA NAFSI ZA UZAO WAO.
SASA UNAWEZA KUTA WANAWAKE WOTE WANA MATATIZO YA UZAZI
YAANI YALE MAROHO YALIYOINUNUA FAMILIA, YAMEWEKA HIYO SHIDA

MTU ANAYEUPOKEA WOKOVU KWA NAMNA SAHIHI YAAJI ALIAMINI YUPO MKOMBOZI YESU THEN AKAKIRI YALE ALIYOAAMINI,HUYU MTU KUNAFANYIKA CANCELLATION YA ILE HATI YA MANUNUZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO *RIGHT AWAY*

WALE WALIOSHIKILIA HATI MILIKI YA NAFSI YAKO WAKIIONA ILE DAMU YA UKOMBOZI ULIYOIAMINI UKAIKIRI BASI UNAKOMBOLEWA( *SET FREE BY FORCE* )

KWA HIYO KAMA KULIKUWA NA KIFUNGO  CHA UZAZI WEWE ULIYEOKOLEWA HAKITABAKIA KULINGANA NA JINSI ULIVYOPOKEA...
ILA KAMA  ITAONEKANA UNAKIRI ULIOKOKA NA BADO TUNASHUHUDIA UNATESWA, BASI WEWE UTAHITAJI MSAADA ZAIDI WA KIROHO AND THAT IS WHAT IN SO MANY WAYS; REFERS TO DELIVERANCE PRAYERS KWA HIYO HAPO SHIDA SIO KUWA WOKOVU PACKAGE YAKE ILIPUNGUA KITU LA HASHA !! (JOHN 19:30) YESU ALIPOSEMA IMEKWISHA ALIJUA KUWA THE REDEMPTIVE WORK ILIYOMLETA AMEIKAMILISHA AKASEMA *_IT IS FINISHED_*

SASA FUNDISHO LA DELIVERANCE KWA EXCEPTIONAL CHRISTIAN KIMAKOSA LIMEKUWA EXTREMELY EXAGGERATED KULIKO UKWELI HALISI WA INJILI... NA SEHEMU NYINGI LINAFUNDISHWA  KWA UONGO NA KIBURI CHA WATUMISHI, KIASI CHA KUONYESHA YULE KRISTO ALIYESULUBIWA HAKUFANYA  KITU KAMILI.

NA WATAWEKA MKAZO WA NAMNA AMBAYO ITAKUFANYA UWAHITAJI ZAIDI HAO WATUMISHI KULIKO *THE CRUCIFIED CHRIST*

MWENZANGU ALIWAHI KUTEMBELEA MAHALI FULANI KANISA LA MANABII

WAKAMUULIZA UMEOKOKA? AKASEMA NDIO! WAKAMUUULIZA UMEFANYIWA  DELIVERANCE? AKAWAJIBU BADO KWA ULE MTAZAMO WAO,MAANA ALIKUTA UFUNUO WAO NI MMOJA UNAZUNGUKWA NA KIKOSI CHA WANAMAOMBI WANAFANYA HAYO MAOMBI YA DIZAINI FULANI, HAWAKUACHI HADI UTAPIKE😤😤 SASA AKAONA MUDA WA MAOMBEZI WAHUDUMU WANAJIANDAA NA SPADE(CHEPE) NA NDOO ZA MCHANGA... 😎😎

SASA ALIWATOLEA UVIVU TUU MAANA ALIJUA HAMNA KITU, WANGEPOTEZA MUDA KUMTAPISHA MAANA DENI ZAKE ZA KUFANYA MIZIMU YA MABABU IMTESE, ZILIFAGIWA ZOTE.

NA KAMA KUNA MAROHO YA UKOO, UKWELI NI KWAMBA HAYANA NGUVU KUIZIDI DAMU YA YESU ILI YANITAWALE.

NIKIONA DALILI YA KIFUNGO CHOCHOTE,YAANI ZILE SPIRITS ZIMEKUJA KU-FIGHT BACK...NAYAKUMBUSHA KUWA *GREATER IS THE ONE IN ME THAN ALL YOU DEMONS/EVIL SPIRITS* 1yohana 4:4

KWA HIYO NITAPAMBANA NAZO KAMA MWANA WA NURU NA KUZISHINDA

KAMA NIMEBAKI INFANT  KIROHO BASI NTAHITAJI MSAADA

LAKINI KILA ALIYEAMINI ANAPOKEA HUDUMA YA UPATANISHO...UKIOKOKA WEWE NI MINISTER WA MINISTRY OF RECONCILIATION (2KOR 5:18-19) UNALOJUKUMU LA KUWAELEKEZA WATU WAKAUPATE UKOMBOZI WA YESU ILI WASIMILIKIWE

SASA WATU WAME-NEGLECT USAHIHI WA WOKOVU ULIOBEBA  REDEMPTION, MATOKEO YAKE ROHO ZA KUZIMU ZINAKUWA BADO NA KIBALI ZA KUWAMILIKI THEN HAPO HIYO DELIVERANCE INAYOTAJWA INALAZIMIKA KUWA FUNDISHO KUU ILI KUWANASUA HAWA WAMILIKIWA..SABABU KUBWA NI ERROR ILIYOTOKEA WALIPOAMINI (HEB 4:2)

KAMA UKOO WENU WOTE HAWAOLEWI,UKIOKOA KWELIKWELI YOU ARE NOT THE PART

KAMA UKOO WENU LAZIMA MLISHISHWE UGANGA,UKIOKOA YOU ARE NOT THE PART

NA KAMA UMEOKOKA NA UKAONA KUNA AINA YA KIFUNGO KIMESALIA,YOU HAVE THE POWER TO BREAK THAT YOKE, THAT THE DEVIL HAS IN TRICKERY WAY SUPER-IMPOSED TO YOU....YOU BREAK IT DOWN

MAANA MWAKA AKIWAWEKA HURU MNAKUWA HURU KWELI KWELI (Yoh 8:36)

YAKO MAFUNDISHO YANAYOTAKA KUWAFANYA WATU KUWA WAFUASI WATUMWA, TENA MIOYO YAO IMBEBE MTUMISHI WA YESU KULIKO YESU..BASI WANAACHA GARI🚙 (WOKOVU) WANAJISHUGHULISHA NA SEATS💺💺💺 ZA GARI PEKEE HUO NAO NI UJANJA

MUNGU ATUSAIDIE TUKAE KTK KWELI YOTE

MAFUNUO NI YA MUHIMU ILI KUTUONYESHA MKO HAI KTK ROHO

LAKINI MAFUNDISHO YA KANISA LA KRISTO, KAMWE HAYAJENGWI JUU YA MAFUNUO BINAFSI, NJE YA KWELI YA MUNGU KTK NENO LAKE.

WALIOFUATA HAYO WALIPOTEA

NINAO RAFIKI ZANGU WAFUASI WA NABII MAREHEMU HUYU NAMTAJA TUU(NABII ELIYA MNUO AD2 MUNGU WA MAJESHI) BAADA YA NABII HUYU KUFA NA ALIWAAMBIA HATA KUFA,WAMEVURUGWA KWA SASA WAMEKUWA WABAYA KULIKO WAPAGANI...WACHACHE WAMERUDI KWENYE MAKANISA YAO WALIYOYADHARAU KUWA HAWANA MAFUNUO... WENGINE WAMEACHANA KABISA NA MAMBO YA MUNGU NA WACHACHE WANAENDELEA ILA HAWAJUI TENA WANAELEKEA WAPI

Ufunuo wa Yohana 19 : 10
*.......mimi ni mjoli wako na wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudie Mungu. Kwa maana ushuhuda wa Yesu ndio roho ya unabii*

*USHUHUDA WA YESU NDIO ROHO YA UNABII*

NB:-
MIMI SIPINGI DELIVERANCE, MAANA HATA MIMI KUNA WATU NAWAONGOZA KWA BWANA NA NINASHUHUDIWA KUWA HUYU MTU ANAHITAJI SPECIAL DELIVERANCE, KWANI KUNA VIFUNGO VIZITO VIMEKAMATIA.

Mwl Proo
0762879363
0718922662(calls)

alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment