Friday, December 1, 2017

YESU KRISTO ANARUDI!

*YESU KRISTO, ANAKUJA!*

*_Mwl Proo_*
*0762879363*

Wapendwa wasomaji, pokeeni Salamu kwa jina la Yesu. Wengi wameona jina la ujumbe, na wamewaza kwa haraka juu ya mahubiri ya siku za mwisho, waliyoyasikia mno, hadi wakayakinai. No! nakusihi leo usome hapa then make a turning point, leo hii fanya maamuzi mapya, kata shauri, maana kuna watu watakuja kupata hasara za nafsi zao, na hawataamini kitakachowakuta. *USIWE MIONGONI MWAO*.

Wapendwa Yesu Kristo anarudi, narudia kukaza kusema Yesu anakuja kulichukua kanisa. Huu sio muda wa kupiga hesabu za kibinadamu, kusema bado kuna watu hawajahubiriwa (Math 24:14), huu sio muda wa hayo majibu, kumbe unajipa moyo wa kuendeleza miradi yako na uwekezaji wako wala sio kumhubiri Yesu. Yesu Kristo anarudi wapendwa. Hatuhitaji kuanza kukagua ishara zozote, wengi juzi wameona taarifa ya ishara ya angani huko Yerusalem ☁☁🎺🎺,wameshtushwa mioyo kwa muda. Rafiki zangu iwe ni kwa ishara hizo au pasipo ishara yoyote ya angani au ardhini, Yesu Kristo anarudi, nawashuhudia hili katika kweli ya Roho Mtakatifu. Bahati mbaya wengi wanachanganya sana maelezo ya Mathayo 24. Nakusihi tena, pitia somo langu linalohusu *UFAFANUZI WA MATHAYO 24:2-51)*, unyakuo wa kanisa sio ujio wa pili wa Yesu wakati wa Harmagedon. Dalili zinazochunguzwa na watu kwa bidii, nyingi sio za unyakuo wa kanisa unaoelezwa kwa uzuri (Mathayo 24:36-51). Tukio hili ni la ghafla (Sudden), kufumba na kufumbua (1Kor 15:51-52), sio kwamba ni Secret event kama wanavyoliweka watu fulani, ili waikosoe injili ya kweli. Haiwezi kuwa siri kamwe, kama nilivyoelekeza katika somo langu la *UMILELE*, taarifa za watu kutoweka/kupotea zitakuweko kila mahali *(MISSING REPORT)*, kila tv, redio na gazeti📺📻📰🗞 habari itakuwa hiyo tuu. Tukio hili wapendwa liko karibu sana, hakuna ajuaye the exact date, lakini tupo nuruni we can sense it, kwamba No more time, wana wa Isakari walikuwa wakitambua nyakati (1Nyak 12:32), Sisi wana wa nuru, pamoja na kuwa UNYAKUO utakuwa kama kuja kwa mwivi (Math 24:41-44), Paulo anasema kwetu haitakuwa kama mwivi kabisa kabisa kwa maana tupo nuruni (1Thes 5:4-5). Hatuhitaji kujua tarehe, na Nabii atakayejigamba kuijua tarehe kamili ni *MWONGO*, Man has got limit, hata awe rafiki wa Mungu mara milioni ya Ibrahim, ana kikomo cha taarifa, na yako mambo ambayo Yesu aliwaambia mitume, *SI KAZI YENU KUJUA MAJIRA WALA NYAKATI, BABA ALIYOYAWEKA KATIKA MAMLAKA YAKE MWENYEWE*, Haimhitaji mwanadamu kujua hivyo vitu, maana katika udhaifu wako kama mwanadamu ukiyajua utayaropoka tu, ili utukuzwe, maana hizi ni zama za uovu, nyakati za hatari, ambazo watumishi wametamani waushiriko utukufu wa Mungu, ambao alisema hatampa mtu mwingine wala sanamu haziwezi ku-share naye utukufu. Watu wa madhehebu fulani walijibidiisha kuingilia mamlaka za majira na nyakati wa unyakuo waliingia porini na kupotea. Walikuwa bize na makokotozi (calculations) za majuma sabini ya Daniel, Wakawa bize na barua ya Artashasta ya mwaka 490, Bize na mwaka 34AD kama kianzio cha mahesabu, wakaishia kusema Yesu angerudi 1883, hakurudi, wakaongeza mwaka mmoja 1844, hakirudi, wakubuni uongo kufunika huo uongo. Hatuhitaji mahesabu ya tarehe hapo, lakini haya tunayoyashuhudia sasa na ufunuo unaotokana na kukaa nuruni, we clearly know *IT IS TIME!*. Vuguvugu linalovuma duniani sasa, linameficha kitu, wasomaji wa maandiko mtastuka tuu. Kuna mambo ambayo yanaenda kutokea duniani, na kibiblia, lazima yatokee *In the absence of church*. Ni wazi lolote linaweza tokea, sitaki kuleta shuhuda za watu ninaowaamini, ambao Bwana amewakonyeza kuwa *IT IS TIME!*,ili msipate nafasi ya kuchallenge, lakini wapendwa nawashuhudia kwa dhahiri, BWANA ANAKUJA. Wapo wenye kudhihaki, wanasema haaaaa tangu enzi za mitume, walisalimiana Maran Atha (Kiaramu, wakimaanisha Bwana anakuja, mpaka leo kimya). Soma hapa

2 Petro 3 : 4
*_na kusema, Iko wapi ahadi ile ya kuja kwake? Kwa maana, tangu hapo babu zetu walipolala, vitu vyote vinakaa hali iyo hiyo, tangu mwanzo wa kuumbwa._*

TENA NAWASHUHUDIA, DALILI KUBWA NI HII HAPA YA KUJISAHAU, KUONA MAMBO YOTE YAKO KAMA YALIVYO, *BUSINESS AS USUAL*, KULIKO HATA HAYO MATARUMBETA YA MAWINGUNI HUKO ISRAEL, UKIZINGATIA SWALA LA UNYAKUO WA KANISA, ISRAEL KAMA TAIFA SIO WAHUSIKA WAKUU, BALI WAKRISTO WAMFUATAO MWANAKONDOO WA MUNGU WALIOPO HUKO, WATAHUSIKA NAO KAMA VIUNGO KWENYE MWILI WA KRISTO, YAANI KANISA. SOMA HAPA CHINI

Mathayo 24

*_37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu._*
*_38 Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina,_*
*_39 wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu._*

YAANI HIYOAPO JUU, NDIO TULIPASWA KUANGAZA ZAIDI, SILETI IMANI ZA KINA KIBWETELE, KWAMBA MWISHO UMEKARIBIA, THEN WE PUT OURSELVES INTO FIRE🔥🔥, YALE NI MAPEPO YA KUZIMU YALIVAMIA. LAKINI BWANA ANAKUJA WAPENDWA, ZIFUANI NGUO ZENU, MVIKWA MAVAZI YA HARUSI (Math 22:12), HAKUNA ATAKAYENYAKULIWA AKIWA NA MAVAZI MACHAFU, AU YENYE MAWAA. KONA KONANA UBABAISHAJI KWENYE WOKOVU YANACHAFUA VAZI LAKO LA HARUSI. HUU SIO WAKATI, WAKATI TAFUTA KWA BIDII YESU AWE BWANA WAKO HASWAAAA. UNALOLIJUA NAFSINI MWAKO KWAMBA LINAKUTENGA NA YESU, LISHUGHULIKIE MARA UKIMALIZA KUSOMA UJUMBE HUU. KAMA JAMBO LINAKUKOSESHA KUMWONA MUNGU SASA, UNATARAJIAJE UNYAKUO???

*TAHADHARI*

Kama dini yenu sijui dhehebu, halikufundisha usahihi wa imani hii ya unyakuo, *THAT IS NOT AN EXCUSE MEN!!!* KAMA ULIFUNDISHWA ELIMU YA SDA, HAKUNA KINACHOENDELEA BAADA YA KUFA, THAT WON'T BE AN EXCUSE KABISA! KAMA ULIELEKEZWA  KUMWOMBA MARIA MAMA WA MWILI WA MWANADAMU YESU KRISTO, UKAMSOGEZA YESU PEMBENI, MKASAHAU HATA MAMA YAKE ALISEMQ, ATAKALOWAAMBIA HUYU (Yesu) LIFANYENI, UTAACHWA MCHANA KWEUPE, NA HATA WAKATI WA HUKUMU YA NWISHO NAYE ATAWAKANA. HAKUNA EXCUSE KWAMBA ULIKUWA CHINI YA NABII WA UONGO AKAKUPOTOSHA, AKAKUPA MAELEKEZO YASIYO YA MUNGU, LAZIMA TUU UTAACHWA, HAKUTAKUWA NA NAFASI YA APOLOGY MUDA WA UNYAKUO, UTAACHWA MENGINE UTAKUJA KUJIELEZA SEVEN YEARS BAADAYE UKIWA UMEKAANGWA VYA KUTOSHA WAKATI WA DHIKI KUU. I AM TELLING JESUS CHRIST IS COMING FOR HIS CLEAN CHURCH, MAKANISA YALIYOJICHANGANYA YATALIA!!!⛪⛪💒🏛😭😭😭😓😓😓😓😪😪😪😪WALOKOLE MLIO-COMPROMIZE NA ULIMWENGU, MTALIA KWA UCHUNGU MKUU, MAANA NINYI NDIO MNAIFAHAMU KWELI VIZURI TUU.

MIMI YESU KABLA YA KUNIOKOA, ALINIONESHA TUKIO LA UNYAKUO MARA TATU NDANI YA MIEZI SITA. NA UKWELI NI KWAMBA KWA NDOTO ZILE AMBAZO NILIONA TUKIO LOTE KWA UKAMILIFU WAKE, NDIZO ZILIKIMBIZA NIKAOKOKE. NILIJISHUHUDIA NIMEACHWA, NA NILIONA NA WENGINE WALIOCHWA. NILICHOJIRIDHISHA KATIKA NDOTO ZILE AMBAZO ZILIKUWA NI ZA HAKIKA, NA TAFSIRI ZAKE NI THABITI, NI HIKI; HAKUNA MECHANISM YOYOTE UNAYOWEZA KUITUMIA, KUJISAIDOA UPAE. IT IS AUTOMATIC, WANAOSTAHILI KUPAA WATAPAA WATAPOKEWA NA MAWINGU KUMLAKI BWANA MAWINGUNI, TUKIO LA UNYAKUO NILILIONA KABLA YA KULISOMA KWENYE BIBLIA, NA NILIPOOKOKA NIKAKUTA BIBLIA, IMELIELEZA VILEVILE (1Thes 4:14-18).

NA WAKATI WAKATI WA TUKIO HILO KUTAKUWEPO HATA NA WAISLAMU NA WAPAGANI, WATAKOSEMA MMMMMH 🤔🤔🤔 JESUS WAS REAL!!!! LAKINI HAKUTAKUWA NA NAMNA YOYOTE. NIMEONGEA SIJAWAPA MAANDIKO, SASA TUSOME HAYA HAPA CHINI

1Thesalonike 4 : 16 *_Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza._*

Matendo 1 : 11
*_wakasema, Enyi watu wa Galilaya, mbona mmesimama mkitazama mbinguni? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda juu mbinguni, atakuja jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda zake mbinguni._*

Waebrania 10 : 37 *_Kwa kuwa bado kitambo kidogo sana, Yeye ajaye atakuja, wala hatakawia._*

NAWASHUHUDIA WAPENDWA, HAKUNA JAMBO LA UCHUNGI, LITAKALOFANYA USAGE MENO KWA KULIA, KAMA UKIGUNDUA UMEACHWA, NA YALIYOKUFANYA UACHWE UNAYAJUA. NAWASIHI WAPENDWA KWA MACHOZI😪😪😪 MTAFUTENI YESU, PUT YOUR HOUSE IN ORDER, KWA SASA TAFUTA UHUSIANO MZURI NA MUNGU KULIKO WAKATI WOWOTE ULIWAHI KUUTAFUTA, HAKIKISHA JESUS IS REAL IN YOU. HAKIKISHA HAKUNA NENO LA LAUMU JUU YAKO. UWE NA MOYO SAFI BILA KOSA KABISA, IMANI YETU INAAMINI JUU YA KUTOKUWA NA KOSA NA KUUSHINDA ULIMWENGU KABISA KABISA (Filipi 1:10). USILIACHE NENO NA KUTENDEA KAZI USHAURI WA WATUMISHI FEKI WA KWENYE WHATSAPP, HUU SIO WAKATI WAKE. NIMEAIKITIKA KUONA MAMA AMBAYE NI MTUMISHI, ANAJITAHIDI KUTETEA KUWA KUNA MAZINGIRA AMBAYO KUCHEPUKA HAKUEPUKIKI, YAANI KWENDA KUFANYA TENDO LA NDOA NJE YA NDOA. AKASEMA KWA MFANO MKE WAKO AMEPATA TATIZO AMBALO HUWEZI KUKUTANA NAYE, AU MME AMEPOOZA MWILI HAUTIKISIKI, SASA UTAVUMILIA MPAKA LINI, ANAJITAHIDI KWENYE HILO GRUPU LA NDOA KUTIA MKAZO HUU KWA VIONJO  VYA KIDUNIA, AKINOGESHA STORI ZAKE. USIWASIKILIZE HAO, WENGINE NI VYOMBO VYA GHADHABU, NI WANA WA JEHANAMU, UKIIKIMBIA KWELI, ILI UHALALISHE KUCHEPUKA, SIJUI NDOA YA MITARA, SIJUI KUACHA MKEO NA KUOA WAPYA KILA SIKU, HAYO YATAKURUDIA KICHWANI HIVI KARIBUNI. NIMEKUSHUHUDIENI HAYA KWA NIA SAFI YA KRISTO, SINA HILA NDANI YANGU. NAKUPA SHAURI FANYA MAAMUZI SASA, IWE YESU YESU YESU YESU YESU NA SIO KITU KINGINE MUDA UMEKWISHA.

Nimenawa mikono yangu sasa.

Mwl Proo
*0762879363*

alltruth5ministries@gmail.com

1 comment: