*HIZI NI NDOTO NYEVU AU MASHAMBULIO YA KIROHO YA NGONO*
*```(Are these wet dreams or spiritual sexual attacks?)```*
~By Mwl Proo~
0762879363(whatsapp only)
Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu! Raha yangu ni kuweka mjadala wenye kufunua siri (Exposition) haijarishi topic itakuwa interesting au la,(I am after impact), kutokana na ujuzi wa kiroho(spiritual experience) nimepewa hili leo,kufungua watu.
Wapenzi Shetani anatabia za ujanja kama 🐍(nyoka) *_Math 10:16_* amejaa mbinu/hila/schemes *_(2Kor 2:11)_* akigundua mbinu zake haziwi exposed,yeye na mawakala wake hufurahia kuzidi ku-captivate watu. Sasa pokea hili unasuke
Bila shaka tumewahi kusikia ndoto nyevu(wet dreams), yule jamaa mjanja 👹ametumia mwanya huohuo kuweka vya kwake. Kwa kuwa mwili una utendaji wake wa kibaiolojia(Biological functioning) hatuukatai ukweli kuhusu wet dreams kwa watu hususani baada ya puberty/adolesence(balehe period).
Je! za namna hii bado ni ndoto nyevu? Uwezo wa nafsi ya mtu aliyeokoka ni mkubwa sana wenye tofauti kubwa kuulinganisha na uwezo wa nafsi ya mtu wa tabia ya asili. Nafsi ya mtu aliyezaliwa upya(nafsi iliyojengwa) inaweza kuyatawala mambo hata ukiwa usingizi,nafsi ikijengwa huwezi kuwa na haya mandoto ya ngono ambayo yako na full sex scene. *_LEO MTANIELEWA TU KWA KWELI_*
Kuna ndoto nyevu halisi,na kuna spiritual/demonic sexual attacks na leo hii nimeshtuka tu usiku BWANA ameniagiza kufanya kazi hiyo kutoafautisha. kuna maneno haya SUCCUBUS/INCUBUS nataka kueleza
*_Succubi_* i.e the spiritual sexual attacks to men yaani wewe mwanaume unaona kadada 👩🏻karembo kamekujia mnananiliu hadi una maliza kabisa
*_Incubi_* i.e the spiritual/demonic sexual attacks to women.. wewe mdada anakujia mkaka 👦🏽mnananiliu na unamaliza kabisa.
SASA SHETANI NA MAWAKALA WAKE KWA KUJUA TAYARI MMELISHWA CHACHU KWENYE SOMO LA BIOLOGY(REPRODUCTION) AMECHANGANYIA VIFUNGO NDANI YA HIYO KITU..
BIBLIA INASEMA NDOTO HUJA KWA SABABU YA SHUGHULI NYINGI(SIO AINA ZOTE ZA NDOTO) ,ILA HIO INATUONESHA UWEZO WA NAFSI KUFANYA REFLECTION YA MATUKIO NA MAWAZO NA KUYATENGENEZEA PICHA NA VIDEO ZENYE KUJA KAMA NDOTO. SASA LIKO KUNDI LA KWANZA LA NDOTO NYEVU AMBAPO NI MATOKEO YA NAFSI KUSHIBISHWA MAMBO MACHAFU,MTU AKILI YAKE HAIJAPUMZISHWA KUTOWAZA NGONO MUDA MWINGI ANAJICHUA/ANAJISAGA AKIWA ANAFANYA *_INTUITION_*
HII INTUITION NI ILE TABIA YA AKILI KUMFIKIRIA YULE MTU AMBAYE UNAMTAMANI SANA KWA MAMBO YA NGONO ILI IKURAHISISHIE KUMALIZA SAFARI YA KUJICHUA/KUJISAGA(YAANI UFIKIE ORGASM) KWA HARAKA. SASA WATU HAWA NDOTO NYEVU HUWAJIA KWA MWENDO KASI MAANA NAFSI ZAO ZIMEJIZOEZA SANA KTK KUYATAFARI MACHAFU HAYO,NA KILA ZINAPOKUJA ZILE NDOTO ZA REFLECTION BASI KWAO LAZIMA IWE YA NGONO NA WATAISHIA KTK *_EJACULATION_* KUNDI LA PILI ZILE HALISI AMBAZO HAIJALISHI UMEJAZWA NA MAMBO YA NGONO NA UCHAFU WA KUTAMANI AU UPO KIROHO ITAKUJA TU WAKATI UTAJISHUHUDIA UMELOWESHA BOXER(WETTING) ILA HAPO NDIPO NATAKA KUTOFAUTISHA SASA. MTU WA ROHONI HAIPASWI KWAKO KUWA KAMA MTU WA TABIA YA ASILI(CARNAL PERSONS) YAANI USINGIZI WAKO UNAJIWA NA FULL SEX SCENES ZINAZOKUPELEKEA KWA HAYO,NO! KUNA SHIDA KWENYE NAFSI... (INA DALILI ZA KUMILIKIWA NA SOME SPIRITS) MIAKA KARIBIA TISA AU KUMI ILIYOPITA,KILA ZILIPOTAKA KUNIJIA NDOTO ZINAZOHUSISHA NGONO ,NILIONA NINA UWEZO WA KUKATAA NIKIWA USINGIZINI HUKOHUKO,AMBAPO TUNAJUA UKILALA YAKO MATENDO AMBAYO INVOLUNTARILY HUWEZI KUYAKATAA AU KUYAKUBALI. LAKINI HIYO SIO KWA WATU WA ROHONI.NAFSI ILIYOJENGWA( *_Jitahidi upate somo langu hilo la Nafsi iliyojengwa_* )INAO UWEZO WA KUAMUA MAMBO HATA USINGIZINI(HAPA SIIZUNGUMZII ROHO/YULE MTU WA NDANI) ,YAANI IKO HIVI,KAMA UNAO UWEZO WA KUKATAA KUSEMA UONGO UKIWA MACHO 👁👁,BASI NGUVU HIYOHIYO KAMA NAFSI UMEJENGWA IKITOKEA NDOTO INA MAHALI UNAPASWA KUDANGANYA,UTAKATAA KUSEMA UONGO(WAKO WENGINE WANADANGANYA USINGIZINI NA WAKIAMKA WANAENDA KUTEKELEZA ULE UONGO PHYSICALLY), KAMA UNA UWEZO WA KUKEMEA PEPO/MCHAWI AKIKUTOKEA PHYSICALLY THE SAME ABILITY WILL COME IN DREAM KAMA NAFSI IMEJENGWA,KAMA UNA UWEZO WA KUKATAA KUFANYA NGONO UKIWA KTK AKILI UPO MACHO👁👁,BASI HATA SEX SCENE IKIJIUNDA VIZURI IKAKUJIA KTK NDOTO,NAFSI YAKO ITAKATAA KULE NDOTONI HATA KAMA ILIFIKIA MAHALI MLIKUWA MNAANDAANA FOR SEX,NAFSI ITAGOMA KULEKULE USINGIZINI. KWANGU MIMI AMBAYE NIMEIJENGA NAFSI WET DREAMS HUJA NA NAAMKA NAGUNDUA KUWA NILI-EJACULATE LAKINI HAIJAHUSISHA UCHAFU WA NGONO,MAANA WENGINE HUWEZA KUKUJIA TENA UNAONA UMEZINI HATA NA MTU UNAYE MHESHIMU. KWA SABABU MOYO WAKO HAUUWEKI KTK KUWAZA NGONO REFLECTION INAKOSA CLEAR PICTURE/VIDEO. HAPO NI SWALA LA KUHIFADHI SPIRITUAL PURITY(ZABURI 119:9) ,HAPA USINILETEE TENA SAYANSI YAKO,WEWE AMBAYE MUDA UNALALA UMEENDA KULALA HUKU UNASOMA KITABU CHENYE MAELEKEZO YA KUFIKISHANA KILELENI(HALAFU NA KUOA HUJAOA-SIJUI NDIO TWISHENI AU REMEDIAL CLASSES),AU UMEENDA KULALA KTK TAFAKARI NZITO YA TAMTHILIA YA MAPENZI FROM📺,WALE WA SEXCHAT 📱💏📲AU WALE AMBAO BADO WAKO NA ILE TABIA ILIYOJENGEWA NGOME NA WAKUU WA GIZA YAANI WATAZAMA PORNOGRAPHY *_WANAANZAJE KUKWEPA MANDOTO MACHAFU YA NGONO KWA MFANO_* ? KWA HIYO TUSITAKE AU TUTAKE UKWELI NI KWAMBA LAZIMA NDOTO NYEVU ZITATOFAUTIANA KWA WATU WA MWILINI NA WALE WA ROHONI KULINGANA NA HALI YA MIOYO/NAFSI.
SASA TUJE KWENYE MOYO WA UJUMBE. NDOTO NYEVU ZINAZO WAKUTA WATU WENGI HASA MAENEO YA MWAMBAO WA BAHARI (COASTAL REGIONS) AMBAKO UTENDAJI WA YULE MALKIA WA BAHARINI PAMOJA NA MARINE SPIRITS KWA UJUMLA UNAKUWA MKUBWA SANA, NDOTO NYEVU ZAO ZIMECHALACHULIWA NA MAJINI NA KINACHOENDELEA KWAO NI SEXUAL ATTACKS SIO NDOTO. ZINAANZA KWA WINGI HIZO NDOTO ZA KUONA UMEJIWA NA MDADA/MKAKA MARA MHINDI MARA MWARABU👩🏻👦🏽 MNADUU WEEE SASA UKISHAZOELESHWA,INAGEUKA INAKUWA NI KAMA REAL ACT,YAANI BAADHI YA WADADA AKIAMKA NA KUJICHUNGUZA KWENYE GENITALS ANAHISI NI KAMA AMEINGILIWA KWELI NA WAKAKA NI VIVYO HIVYO,YAANI ANAKUWA NA KALE KAUCHOVU KA KAZI HALISI NA HATA AKIIKAGUA FIMBO YA UFALME ANAHISI KABISA KUWA NI KWELI ALIMWINGILIA MDADA...IKUMBUKWE HII HAIJI HARAKA,INAKUZOESHA ZILE ZINGINE AMBAZO UTAKUWA UNATETEA NI NORMAL BIOLOGICAL FUNCTIONING OF THE BODY,UKISHAZOELEA MAANA UNAZIFURAHIA THEN NDIPO KIFUNGO KINAJIWEKA WAZI. IKIFIKA YA KIWANGO HIKI NDIPO UKISHTUKA UNAJIHISI KABISA UMEMKOSEA MUNGU NDANI YAKO,HUNA ANI KUAMKA NA KUANZA MAOMBI YALE YA ROHONI,ILA ZILE AMBAZO ZIKO NORMAL HAZINA KIFUNGO CHA KIPEPO,HAZIWI NA SHIDA UNAWEZA AMKA HATA SAA NANE USIKU YOU JUST CHANGE NA KUANZA RATIBA YAKO YA MAOMBI BILA HATA KUJIKUMBUSHIA MAANA IMEPITA WALA HUNA HABARI.
*HALELUYA!*
SASA HII SEXUAL ATTACK IKIWA KTK LEVEL HII USIPOTAFUTA MSAADA WA KIROHO KWA WATUMISHI WENYE NGUVU KUBWA ZAIDI KULIKO YAKO,ITAKULETEA MATATIZO MAANA TAYARI KUNA DALILI YA KUMILIKIWA. UTAANZA KUHISI HAUHITAJI MTU WA JINSIA TOFAUTI,WENGI KIU YA KUOA NA KUOLEWA HUFUTIKA(YALE MAPEPO YANAIFUTA MAANA YANA WIVU NA HAYATAKI KUSHEA NA MTU) ,NA KAMA NAFSI YAKO HAINA NAFASI YA YESU KABISA,BASI UNAWEZA HATA PATA WATOTO WA KIROHO KTK ULIMWENGU WA KIPEPO👶🏾👶🏾.WAKO WANAWAKE WALIKUWA WAKIKABILIWA NA *_INCUBI_* KWA MUDA MREFU WAKAONA AIBU KUSEMA,BAADA YA MUDA WAKAANA KUSIKIA SAUTI ZA VITOTO VICHANGA USINGIZINI NA WENGINE WANAANZA KUOTA NDOTO ZA KUNYONYESHA WATOTO🍼,AU WENGINE KABLA YA HILO HUOTA KABISA WAMEFUNGA NDOA NDOTONI👰🏼💍💍,NA WA JINSI HII SIKU HIYO ANAWEZA KUKURUPUKA USINGIZINI TUU NA KUKAGUA KIDOLENI AIONE PETE. HUTAIONA ILA UNAKUWA UMEINGIZWA KTK NDOA TAYARI HAPO MPAKA UFUNGULIWE KWA MAOMBI NA HIYO NDOA IVUNJWE LA SIVYO,HUTAOLEWA MAANA KILA MWANAUME ATAKUWA AKIKUONA KAMA MKE WA MTU TAYARI. AU HAYO MAPEPO YAKIPENDA KUMTESA MWANAUME FULANI,YATAMTIA USHAWISHII AKUOE ILI YAKAMTESE HUKO NDANI(MWANAMKE UTAMHITAJI MWANAUME KWA SIKU CHACHE BAADA YA HAPO,UTAMCHUKIA MTAKUWA KAMA DADA NA KAKA) *_angalizo_* USIINGIE KWENYE NDOA NA VIFUNGO HIVI,NI LAZIMA UFUNGULIWE KWANZA SO THAT YOU MAY CONSUMATE YOUR MARRIAGE TO THE MAXIMUM🙈
BWANA AWABARIKI MNAPOYATYUNI MAISHA YENU KTK MASAFA YA KIROHO YASIYOSHAMBULIWA NA SEXUAL ATTACKS IN THE NAME OF WET DREAMS ACHANA NA STORI ZA MTAANI ETI HIYO INAKUTOKEA MAANA WEWE NI BALIGH🙊 YAANI KWA KIARABU TUNAITA *_HATTA TUTIQAL RIJAL_* HAKUNA CHA URIJALI KWENYE VIFUNGO...TAFUTA MSAADA KWA YESU PEKEE, MAANA MWANA AKIWAWEKA HURU MTAKUWA HURU KWELI KWELI (YOCHANAN 8:36)
Mwl Proo (Prosper Kadewele)
0762879363
0718922662
alltruth5ministries@gmail.com
Ubarikiwe mkuu:ngoja nami niwafundishe wengine ili kumuumbua huyu shetani na hila zake
ReplyDelete