Sunday, December 17, 2017

JE! KUOKOKA NI HAPA HAPA DUNIANI, AU BAADA YA KUFA KUONDOKA DUNIANI?

*JE! KUOKOKA NI HAPA HAPA DUNIANI, AU BAADA YA KUFA KUONDOKA DUNIANI?*

By Mwl Proo
0762879363

HALELUYA WAPENDWA. NAAMINI MNASONGA
MBELE KWA IMANI. NIMESIKIA KAULI ISEMAYO DUNIANI HUWEZI KUOKOKA, HAKUNA MTAKATIFU DUNIANI, KUOKOKA MBINGUNI HAPA TUNAONG'OKA TUU, NO ONE IS PERFECT. JE HOJA HIZI ZIKOJE KIBIBLIA?

IN THE GRAECO-ROMAN WORLD + OLD
TESTAMENT, WOKOVU (SOTER) ULIJULIKANA KWA MAANA HIZI, KUSHINDA VITA, KUWA NA AMANI FROM ALL EXTERNAL THREATS AND FEARS, HALI NZURI YA UCHUMI AMBAPO UTAWALA UNA UWEZO WA KUFANYA PROVISION YA MAHITAJI YA RAIA WAKE VIZURI, NA PIA KUWA FREE FROM DISEASES
AND AFFLICTIONS. SASA TUANGALIE KWA NYAKATI ZETU. BADO KIMAANA NI KITU KILEKILE, ALIYEOKOLEWA TOKA KATIKA HATARI AMEOKOKA. PATA PICHA MPO KATIKA MELI IMEANZA KUZAMA, WAKAJA WAOKOAJI MKATOLEWA KTK MELI IZAMAYO,NINYI MMEOKOKA (MDO 28:1)
SASA NI KWA NAMNA HIYO HIYO KAZI KUBWA YA YESU NI KUOKOA JINA LA YESU=YAHSHUA=YESHUA=YOSHUA=YASUE=JESO LINA MAANA YA MWENYE KUOKOA, JINA LA YESU NI JINA LA KAZI (MISSIONARY NAME) MATH 1:21 KAZI KUBWA YA YESU ILIKUWA NI KUOKOA KILICHOPOTEA( LUKA 19:9-10),
WOKOVU NI JAMBO LA WAKATI MTIMILIFU WA WAAMINI,YAANI TUMEOKOLEWA TAYARI,HATA KAMA KUTAKUWA NA TAFSIRI NYINGINE ZA KUTAJA TUKIO LETU LA KUICHA DUNIA PIA TUTAKUWA TUNAOKOLEWA,
HAIWEZI KUUFUNIKA UKWELI KUWA
TUMEOKOLEWA KWA NEEMA(EFE 2:8)
HAKUNA MTU ANAYEPASWA KUUSUBIRI
WOKOVU, AU KUSUBIRI KUOKOKA,PAULO ANASEMA TULIOKOLEWA KWA TARAJA, LAKINI SASA TUMEOKOKA, MAANA NI NANI ATARAJIE KITU ANACHOKIONA?(RUMI 8:24) KUNA WATU WANATAKA KU-NEUTRALIZE KWELI YA INJILI KWA KUSEMA, TULIOKOKA, TUNAOKOKA NA TUTAOKOKA, ILI KUPUNGUZA NGUVU KWAMBA WATU WANAPASWA KUMWAMINI YESU WAOKOKE!
SOMA HAYA MAANDIKO YANAYOTHIBITISHA
KUOKOKA NI SASA,HAPA DUNIANI,THEN
TUENDELEE
TITO 3:4,2:11, 2KOR 2:15,LUKA 19:9-10,
2TIM 1:8-9,MDO 11:14,1TIM 2:3,
LUK 1:77,MDO 2:47B,1KOR 10:32-
33,2KOR 6:2,KOL 1:13,1TIM 1:15,RUMI 8:24, EFES 2:8
NDUGU WAPENDWA HAKUNA HAJA YA KUKATAA KUWA WOKOVU NI SASA, KWA KISINGIZIO DUNIANI HUWEZI KUISHI MAISHA MATAKATIFU. MBINGU ZINAONA WATAKATIFU DUNIANI (ZAB 16:3) BY THE WAY ISHU YA KUWA MTAKATIFU NI KWA UWEZESHO WA ROHO MTAKATIFU, UKIISHA KUOKOKA HATA GENETICAL MAKE UP YAKO INAKUWA YA MUNGU (1YOHANA 3:10,5:4) ,
UWEPO WA,MAANDIKO HAYA (MHUBIRI 7:20,1
YOHANA.1:8) HAUZUII UKWELI KUWA KUOKOKA NI SASA. YOHANA ALIPOSEMA TUKISEMA HATUNA DHAMBI TWAJIDANGANYA ALITUMIA "WE-
LANGUAGE" NI JAMBO LA LUGHA YA KUWAITA
WATU KTK TOBA HAKUWA NA MAANA KUWA MUDA ANAANDIKA ALIKUWA ANA DHAMBI AU KUTENDA DHAMBI NA NDIO MAANA (1YON 2:1-2) AKAWEKA SAWA KUWA NIMEWAANDIKIA HAYA ILI MSITENDE DHAMBI. MIMI NINAENDIKA HAYA
NASHUHUDIA WOKOVU NI SASA(2KOR.6:2)
NILISIKIA HABARI ZA YESU NIKAENDA NA
KUMWAMINI,TANGU MWAKA 2004 HATA SASA NIMESHUHUDIA WOKOVU NI HALISI .BAADA YA KUOKOKA NILIACHA MAISHA YA DHAMBI KABISAA,SIO KWA SABABU NAOGOPA JEHANAMU,LA HASHA,UZAO WA MUNGU NDANI
YANGU UMENIPA KUCHUKIA DHAMBI KABISAA
(1YOH.5:4,MITH.8:13),YALE AMBAYO YESU
ALIYASHUHUDIA/KUAHIDI KWA WATAKAO
MWAMINI NIMEISHI NIKIYASHUHUDIA YOTE
(MARKO.16:16-18). SAA YA WOKOVU NI SASA NA SIKU YA WOKOVU NI SASA. NILIWAHI KUSIKIA WATU WAKISEMA HAPA DUNIANI KUNA KUONGOKA TUU SIO KUOKOKA KWA SABABU UNAWEZA TENDA DHAMBI. NENO KUONGOKA HALIJATUMIKA SANA KWENYE BIBLIA YA KISWAHILI ILA MAENEO HAYA(MATH 13:5,18:3,MARK 4:12,LUKA 22:32,MDO 15:3), LAKINI NENO LA
KIEBRANIA TESHUVA AU LA KIGIRIKI
APOSTREPHOS IKIWA NA MAANA KUONGOKA NI KURUDI AU KUGEUKA AU KUREJEA. SASA
TUSISUMBULIWE NA LANGUAGE USE. YESU KRISTO AMETUOKOA,NAMI SIWEZI KUBALI NIAMBIWE WOKOVU BADO WAKATI NAUSHUHUDIA KWENYE MAISHA YANGU.PIA IKUMBUKWE KUWA UTAKATIFU NA HAKI YETU IPO KATIKA YESU (2KOR 5:21),KWA HIYO MUNGU ANAUTAZAMA UTAKATIFU WETU KUPITIA DAMU YA YESU ILIYOTUNUNUA(1KOR.6:20) ,HATA SENTENSI YA "NO ONE IS PERFECT" HILI NI TUSI KWA YESU,WANADAMU WOTE WALITENDA DHAMBI NA KUPUNGUKIWA UTUKUFU..........(RUMI.3:23) HILI NDILO JAMBO LILIMTOA YESU MBINGUNI. BIBLIA INASEMA "BE PERFECT AS YOUR FATHER IN HEAVEN IS PERFECT" (MATHAYO.5:48),BIBLIA HAIWEZI KUAGIZA JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI. NA UKWELI NI KWAMBA "WE ARE MADE PERFECT IN THE PERFECTION OF CHRIST" , HATA KAMA KUNA MTU AMEOKOKA AKAJIKWAA (YAKOBO.3:2) HAIONDOI UKWELI KUWA KUOKOKA NI DUNIANI NA KUISHI MAISHA MATAKATIFU KABISAAAA. IMANI YETU NI KUZALIWA MARA YA PILI, KWA ROHO NA KUUSHINDA ULIMWENGU KABISA (YOH.3:7,1YOH.5:4)

NB:
BAADA YA KUOKOKA LAZIMA UACHE MAISHA YA DHAMBI,NA NGUVU IPO YA KUKUSHINDIA.
USITENDE DHAMBI KWA MAKUSUDI IN THE FULL KNOWLEDGE (EBRANIA.10:26))
NIMEWANDIKIA HAYA ILI MSITENDE DHAMBI,NA KAMA MTU AKITENDA DHAMBI TUNAYE MWOMBEZI KWA BABA(1YOH.2:1)
MWAMINI YESU UOKOKE LEO,UUSHINDE
ULIMWENGU NDILO JIBU LA KUIONA
MBINGU,MAFUNDISHO YA UONGO YA PURGATORY (TOHARANI) KUWA KUNA MAHALI BAADA YA KUFA UTAKUWEPO KWA MUDA NA UTAPATA NAFASI YA KUTUBU,HILO FUNDISHO SIO LA BIBLIA (EBRANIA.9:27) UMEWEKEWA KUFA MARA MOJA BAADA YA KIFO HUKUMU.
ASANTE KWA KUFUATILIA

MWL PROO
0762879363
alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment