*_WALA HANA HABARI_*
🇲 🇼 🇱 🇵 🇷 🇴 🇴
*0762879363* (whatsapp)
Nakusalimu katika jina kuu la Yesu Kristo. Mungu kuna anataka kusema nawe.
Hosea 7 : 9
~*_Wageni wamekula nguvu zake, naye hana habari; naam, nywele za mvi zimeonekana huko na huko juu yake, naye hana habari._*~
Hakuna hatari kama mambo ya hatari au yenye athari-hasi,yakawa yanafanyika kwako ukiwa ~```huna habari```~ ! NI HATARI SANA!
Ayubu 14 : 21 *_Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao._*
👆🏼👆🏼Huyu mzazi kama angekuwa aware-of hiyo hali ya wanawe kuifikilia heshima huenda angesaidia hata kwa mawaidha ili wasishushwe viwango,lakini *hana habari*.
Kama Saphira angekuwa na habari ya kilichomkuta mmewe,angebadili msimamo,lakini alikuwa *hana habari*.
Matendo ya Mitume 5 : 7
*Hata muda wa saa tatu baadaye mkewe akaingia, naye hana habari ya hayo yaliyotokea.*
Kuna maarifa umeyakosa,unafanya vitu kimakosa,vinakuzuia baraka zako lakini huna habari..
Mithali 5 : 6 - Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga *wala hana habari.*
SASA UJUMBE WA MUNGU NI HUU. HAKUNA SIRI KTK ULIMWENGU WA MWILI ZINAZOBAKI KUWA SIRI KTK ULIMWENGU WA ROHO,HATA ZILE ZINAZOITWA SEHEMU ZA SIRI SIO KTK ULE ULIMWENGU MWINGINE. RAFIKI YANGU MMOJA AMBAYE MACHO YAKE YA KIROHO 👁👁YAKO SHARP ALIINGIA KWA DALADALA 🚌 ALIKAA KARIBU NA BUS-CONDUCTOR(KONDA) ILA MACHO YAKE YA KIROHO YAKAONA SEHEMU ZA SIRI ZA KONDA ZIMEJAA MADONDA YA KUTISHA,INGAWA HAMJUI WALA HAWAJAI KUONANA AKAMNONG'ONEZA NA KUMWAMBIA *_YESU ANAWEZA KUKUSAIDIA VIDONDA VYAKO VIKAPONA_* ALISHTUKA MAANA VIKO SEHEMU ZA SIRI NA HAJAMWAMBIA MTU
YAKO MAMBO MENGI UNAYAFANYA KWA SIRI,UKIWA UNADHANI UPO SIRINI KUMBE WALIOPO KTK ULIMWENGU WA ROHO WA NURU NA ULE WA GIZA WANAKUONA. UNATOA MWANYA KWA WALE MAADUI WENYE KUIHARIBU NAFSI *~hakikisha unapata somo langu liitwalo nafsi iliyojengwa pekee ndiyo inayoshinda~* WAWEZE KULA NGUVU ZAKO ZA KIROHO NA KUHARIBU YALE YA THAMANI ULIYOYARITHI KWA KUWA NDANI YA YESU.
TUURUDIE HUU MSTARI WA SOMO
Hosea 7 : 9 *_Wageni wamekula nguvu zake, naye hana habari; naam, nywele za mvi zimeonekana huko na huko juu yake, NAYE HANA HABARI._*
UNAPOKUWA KWENYE MAHALI PASIPO NA WATU(SOLITARY PLACE) SIO NAFASI YAKO YA KUFANYA YASIYOFAA.USIJIAMINISHE KWA KUWA UMEFUNGA MLANGO🚪🔐 UPO BAFUNI AU BEDROOM 🛀🏽🛌🖼🛋UKAONA HIYO NI NAFASI YAKO YA KUFANYA *~MASTURBATION~* (PUNYETO🙊) HAKUNA UNAYEMFICHA NDUGU,KUKAA GHETO NA KUJIFUNGIA ILI UTAZAME PORN-VIDEOS AU UKAWA NA JUHUDI ZA KUWEKA SECURITY CODES KWENYE KILA FOLDER LA 💻NA📱 HAKUNA UNAYE MFICHA ZAIDI YA KURUHUSU MAADUI WA KIROHO WALE NGUVU ZAKO *_WALA HUNA HABARI_*. HIVI KUKAA NA PICHA YA BINTI YUPO UCHI KWENYE ELECTRONIC DEVICES ZAKO INAKUFAIDIAJE KWA MFANO HATA UKIJITAHIDI KUIFICHA KWA KUTUMIA HIYO PICHA MAADUI WANAKULA NGUVU ZAKO NAWE HUNA HABARI,UNAJICHELEWESHA KUFIKIA VIWANGO VYAKO WALA HUNA HABARI, NGUVU ULIZOZIPATA PALE ULIPOSHIRIKI MAOMBI YA MFUNGO/FASTING YA MWEZI MZIMA NA ILE LEVEL/DARASA ULILOPANDISHWA KIROHO VYOTE VINALIWA MARA MOJA TU,ILIPOJIFICHA KUTAZAMA/KUINGALIA VIDEO YA UCHI (INTENTIONALLY) YAANI ULIPOKAA UKAHISI UNAIENJOY KULE KTK ULIMWENGU MWINGINE ULIKUWA UNARUDISHWA DARASA AMBALO ULISHAVUKA NAWE HUNA HABARI,NI KAMA MFUNGO WA MAOMBI ILIKUWA UNAFANYA *_MARK TIME TUU_* , ETI KWA KUWA MPO NA MCHUMBA WAKO MAHALI PASIPO WATU AU PENYE GIZA,UKAHISI HUONWI NA HIVYO UKAJIHALISHIA KUFANYA USIYOPASWA UKADIRIKI HATA KUMPAPASA MATITI🙊,HUKUSALIMIKA BRO MACHO YA BWANA YALIWATAZAMA👀 (MITHALI 15:3,11) KWA MUNGU USIKU NA MCHANA VYOTE NI SAWASAWA,ULIPOTEND HAYO HAFU UMEJIKAZA KISABUNI,KUMBE WALE MAADUI WA KIROHO WANAKUFUATILIA WAPI UTAANGUKA,WALIUTUMIA MWANYA HUOHUO KULA NGUVU ZAKO WAKAKUFYONZA NA KUKUSAZA MKAME *_WALA HUNA HABARI_* NDIO MAANA YALE MAOMBI YENYE UVUVIO WA MWENDOKASI YAMEENDA LIKIZO,UKIJARIBU KUJIOMBESHA KWA NAMNA ILE UNACHOKA KWA DAKIKA 5 NA KUISHIA KUIKATA SAUTI TU.
*"YOUR PRIVACY(WHEN YOU ARE ALONE) SHOULD BE DEDICATED TO THE LORD"*
WAKATI UKIWA PEKE YAKO,NI WAKATI WAKO MZURI WA KUENJOI UWEPO WA MUNGU,WENGI WALIOTEMBELEWA NA MUNGU(ANNUNCIATION=DIVINE VISITATION) ZILIWAKUTA WAKIWA PEKE YAO AT SOLITARY PLACES
NUHU ALIPOKEA MAELEKEZO YA KUJENGA SAFINA WHEN HE WAS AT SOLITARY PLACE,SO DID IBRAHIMU KULE MAMRE, YAKOBO PALE LUZ,NA USIKU ULE ALIOSHINDANA NA MALAIKA Mwanzo 32 : 24 - *Yakobo akakaa peke yake;* na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri. PIA MUSA KTK MLIMA HOREBU,GIDEON KTK UWANDA WA KUPURIA,SAMWELI HEKALUNI,MKE WA MANOA SHAMBANI N.K
UKIWA KTK USIRI(PRIVACY/ALONE) NI WAKATI WAKO WA KUENJOI UZURI WA MUNGU NA SIO KUJIFURAHISHA KWA UCHAFU KWA KITAMBO TU NA KUJIPATIA HASARA. TUMIA MUDA HUO KUOMBA,KUSOMA NENO,KUTAFAKARI WEMA WA MUNGU AU FANYA SHUGHULI ZAKO TU ZA KIJAMII
Marko 1 : 35
*Hata alfajiri na mapema sana akaondoka, akatoka akaenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko.*
FANYA MAAMUZI SASA,SEMA *_SASA BASI_* SEMA *_YATOSHA SASA_* KUZUNGUKA KWENYE KAMLIMA KA KURUHUSU MAADUI WALE NGUVU ZANGU,SASA AMUA KUSHTUKA. AZIMIA KUACHA MATENDO YA KWANZA,INAWEZEKANA KABISA. MUNGU YUPO TAYARI KUKUSAIDIA KTK MAISHA MAPYA UNAOYATAMANI AKUPE MIANZO MIPYA,ILI AKUTAKASA KABISA.NARUDIA TENA INWEZEKANA,MIMI NI KIJANA LAKINI SMARTPHONE NINAYOITUMIA📱 HAINA NGUVU KUNIZIDI HAIJAWAHI KUTUMIKA ETI KUINGIA G🌏🌍GLE KU-SEARCH VIDEO ZA NGONO NO NILIFANYA MAAMUZI NA KUSEMA NOO👐🏽,KAMA UNADHANI HUWEZI KUACHA MASTURBATION POKEA UKWELI HUU UNEWEZA UKAWEZA MARA MOJA TUU,NA HIYO NGUVU IPO JUU YAKO TANGU SAA HII,HIYO MICHEZO MICHAFU KAMA MASTURBATION NILIFANYA MAAMUZI MWAKA 2004 NIKIWA MWANAFUNZI WA SEKONDARI,HUU MWAKA WA 12 SIJAWAHI KUJARIBU WALA SITAKI TENA NACHUKIA(MITHALI 8:13) NAANZAJE KWA MFANO?? YAANI NIFANYE HAYO HAFU NICHUKUE DIARY📕KUANZA✍🏽KUANDAA MAHUBIRI KAMA HAYA,HUO NI USANII WA FIRST CLASS
YESU KRISTO AKUTIE NGUVU TANGU SASAUNASULIWE KTK NGOME HIYO NA HIY NIRA IKATWE KWA JINA LA YESU,MAADUI WASIKUPATE HATA KUZILA NGUVU. YOU WILL NO LONGER BE UNAWARE(2KOR 2:11)
Mwl Proo
0762879363(whatsapp only)
alltruth5ministries@gmail.com
No comments:
Post a Comment