Friday, December 15, 2017

UCHAMBUZI WA MATHAYO 24:2-51

*UCHAMBUZI WA MATHAYO 24:2-51*
Na Mwl Proo
0762879363

©2015

MATHAYO 24:2-51

1.)HUU MWISHO UNAZUNGUMZWA NI MWISHO UPI?

2.)JE UNYAKUO WA KANISA NDIO UJIO WA PILI WA YESU KRISTO?

3.) KIPI KITATANGULIA UNYAKUO AU DHIKI KUU?

4.) HAWA WATEULE AMBAO SIKU ZA DHIKI KUU ZITAFUPISHWA KWA AJILI YAO NI WATAKATIFU-WAKRISTO (Mathayo 24:20-22)

KARIBU TUJIFUNZE

MATHAYO 24:3 NDIO MSINGI WA MISTARI YOTE 2-51

Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia?

KUNA MASWALI MATATU YA MSINGI
1.TUAMBIE HAYO YATAKUWA LINI
kuhusu nini?kuhusu kubomolewa kwa hekalu na hayo aliyonena mstari wa 2

2.NAYO NI NINI DALILI YA KUJA KWAKO

3.NA YA MWISHO WA DUNIA

KWA HIYO HAPO KUNA MASWALI MATATU TOFAUTI YENYE EPISODES TATU TOFAUTI ZENYE TOFAUTI YA MAJIRA KWA MBALI SANAA

YESU ANATOA MAJIBU YA MASWALI YOTE MATATU
MAMBO YALIYOHUSU SWALI LA KWANZA ALIYAJIBU NA UTIMILIFU WAKE ULIKUWA MWAKA 70 A.D WAKATI KAMANDA TITUS WA DOLA YA RUMI ALIPOUHUSURU YERUSALEMU NA ALIWATENDA KAMA YESU ALIVYOTANGULIA KUTABIRI MARA KADHAA..
SWALI LA PILI LINAULIZA DALILI ZA KURUDI TENA...IKUMBUKWE KUJA KWA MARA YA PILI KWA YESU SIO SIRI INAJULIKANA HADI MWAKA...(YAANI NI MWAKA WA SABA BAADA YA UNYAKUO TUSICHOJUA NI SIKU NA  SAA YA UNYAKUO...LAKINI MARA BAADA YA UNYAKUO  RATIBA YOTE YA EVENTS ZINAZOFUATA SIO SIRI....

KWA HIYO NISEME KUWA YESU ALIJIBU TRIPPLE OCCASSIONS KWA MPIGO NA NDIO MWANZO WA WATU KUJICHANGANYA...YAKO MAMBO AMBAYO HAYALIHUSU KANISA(WAKRISTO) YANAWAHUSU WAYAHUDI... KUANZIA MSTARI WA 4-13  YESU ANAONGEA MENGI LAKINI ANAFUNGA YOTE KWA KUSEMA LAKINI ULE MWISHO BADO

14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
MSTARI WA 14 ANACOMMENT NDIPO ULE MWISHO UTAKAPOFIKA

LAKINI MSTARI WA 15&16 INAANZA KUZUNGUMZA KITU TOFAUTI..INAZUNGUMZIA CHUKIZO LA UHARIBIFU LA DANIEL 9:27  IKUMBUKWE KUNA MATUKIO MENGI KTK UYAHUDI WALIYOWAHI KUYAITA CHUKIZO LA UHARIBIFU
1.)WAKATI MTAWALA ANTIOCUS IV (EPIPHANY) ALIPOSIMAMISHA SANAMU YAKE HEKALUNI IABUDIWE NA KUCHINJA NGURUWE🐖🐖🐖 MADHANAHUNI WALIIHESABU KAMA  CHUKIZO LA UHARIBIFU INGAWA HAYA YALITOKEA KARNE 2 KABLA YA KUZALIWA KWA YESU
2.)JAMBO LA PILI LENYE MAANA YA CHUKIZO LA UHARIBIFU KUSIMAMA PATAKATIFU AMBALO NDILO HASA YESU ALILIFANYIA REFERENCE KTK MATH 24:15 HALINA UHUSIANO NA UNYAKUO WA KANISA BALI UJIO WAKE WA PILI UTAKAOFUATA BAADA YA UTAWALA WA MPINGA KRISTO..TUKIO LA MPINGA KRISTO KUINGIA HEKALUNI  NA KUDAI KUABUDIWA YEYE KAMA MUNGU NDILO LINALOTAJWA KAMA CHUKIZO LA UHARIBIFU
3.)TAFSIRI YA TATU AMBAYO NI YA UFUNUO HAIPASWI KUJENGEWA FUNDISHO NI HII;KWAMBA INAPOFIKA WAKATI MADHABAHU YA MUNGU INAKUWA NI CHANZO CHA KUBARIKI UOVU HILO NALO NI CHUKIZO LA UHARIBIFU NYAKATI HIZI ZA MWISHO... TUNAPOSHUHUDIA BILA AIBU KANISA LINABARIKI HOMOSEXUALITY(GAYS 👭💍💍)LESBIANS 👭💍💍 WAKATI HATA ULIMWENGU WA UOVU UNAYACHUKIA HAYO HILI NI CHUKIZO

SASA TUIANGALIE UPYA HII MISTARI

15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),

16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;

MSTARI WA 16 UNAJULISHA WAZI HAUNA UHUSIANO NA UNYAKUO MAANA TUKIO LA UNYAKUO NI FLASH EVENT(JUST A TWINKLING OF EYE) KUFUMBA NA KUFUMBUA TUU HAKUNA MUDA WA KUTOA AGIZO LA WATU WA UYAHUDI WAKIMBILIE MILIMANI  ETC... HII INATUFUNGUA MACHO KUWA MSTARI WA 17-23 HAILIHUSU KANISA BALI WAYAHUDI..NA HII INATUWEKA WAZI KUWA UNYAKUO UTATANGULIA DHIKI KUU KAMA DESTURI YA MUNGU ILIVYO HAWEZI ANGAMIZA WAOVU NA WENYE HAKI KWA PAMOJA NDIVYO ILIVYO..

TUJIFUNZE HII MISTARI

17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;

18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.

19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!

20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato.

21 Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.

22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.

23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

SASA MPAKA SASA BADO ISRAEL WANAISHIKA SABATO MAANA NI ISHARA YA AGANO LAO LA MILELE NA MUNGU;KWA HIYO UTAONA HAPO JUU KUWA WAKATI HUU WA KURUPUSHANI YA HARMEGEDONI WAKATI WA TABU YA YAKOBO(YAANI DHIKI KUU) WANAAGIZWA CHA KUFANYA..NARUDIA TENA MAELEZO HAYO HAYALIHUSU KANISA LA KRISTO BALI WAYAHUDI.MSTARI  WA 22 UNASEMA KWA AJILI YA WATEULE SIKU ZILE ZA DHIKI ZITAFUPISHWA...HAWA WANAOTAJWA KAMA WATEULE SIO WATAKATIFU WA KRISTO WALA SIO WAKRISTO WALIOACHWA WAKATI WA UNYAKUO JINA HILI SPECIFICALLY LILITUMIKA KUWATAJA WAISRAEL THEY ARE THE "ELECT"

SASA MSTARI WA 30-34 ANAZUNGUMZIA UJIO WA YESU KRISTO MARA YA PILI AMBAPO ATAKUJA KU-INTERVENE MWISHO MWA VITA YA HARMAGEDON NA ZILE DALILI ANATOA SIO ZA WAKATI WA UNYAKUO....
IKUMBUKWE WAKATI WA UNYAKUO YESU ATASHUKA MPAKA KWENYE ARDHI ATAISHIA MAWINGUNI TUTAENDA KUMLAKI NA SIO WATU WOTE WATAMUONA HII YA MATH 24:30-33 INA UHUSIANO NA UFUNUO 1:7 KUWA KILA JICHO LITAMUONA HIYO SIO YA WAKATI WA UNYAKUO BALI UJIO WA PILI...KWA KUSEMA HIVI MAANA YAKE NAJIBU SEHEMU YA SWALI KUWA UNYAKUO SIO UJIO WA PILI WA YESU

SASA TUIANGALIE UPYA HII MISTARI

15 Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),

16 ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani;

MSTARI WA 16 UNAJULISHA WAZI HAUNA UHUSIANO NA UNYAKUO MAANA TUKIO LA UNYAKUO NI FLASH EVENT(JUST A TWINKLING OF EYE) KUFUMBA NA KUFUMBUA TUU HAKUNA MUDA WA KUTOA AGIZO LA WATU WA UYAHUDI WAKIMBILIE MILIMANI  ETC... HII INATUFUNGUA MACHO KUWA MSTARI WA 17-23 HAILIHUSU KANISA BALI WAYAHUDI..NA HII INATUWEKA WAZI KUWA UNYAKUO UTATANGULIA DHIKI KUU KAMA DESTURI YA MUNGU ILIVYO HAWEZI ANGAMIZA WAOVU NA WENYE HAKI KWA PAMOJA NDIVYO ILIVYO..

TUJIFUNZE HII MISTARI

17 naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake;

18 wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake.

19 Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo!

20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato.

21 Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.

22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.

23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.

SASA MPAKA SASA BADO ISRAEL WANAISHIKA SABATO MAANA NI ISHARA YA AGANO LAO LA MILELE NA MUNGU;KWA HIYO UTAONA HAPO JUU KUWA WAKATI HUU WA KURUPUSHANI YA HARMEGEDONI WAKATI WA TABU YA YAKOBO(YAANI DHIKI KUU) WANAAGIZWA CHA KUFANYA..NARUDIA TENA MAELEZO HAYO HAYALIHUSU KANISA LA KRISTO BALI WAYAHUDI.MSTARI  WA 22 UNASEMA KWA AJILI YA WATEULE SIKU ZILE ZA DHIKI ZITAFUPISHWA...HAWA WANAOTAJWA KAMA WATEULE SIO WATAKATIFU WA KRISTO WALA SIO WAKRISTO WALIOACHWA WAKATI WA UNYAKUO JINA HILI SPECIFICALLY LILITUMIKA KUWATAJA WAISRAEL THEY ARE THE "ELECT"

SASA MSTARI WA 30-34 ANAZUNGUMZIA UJIO WA YESU KRISTO MARA YA PILI AMBAPO ATAKUJA KU-INTERVENE MWISHO MWA VITA YA HARMAGEDON NA ZILE DALILI ANATOA SIO ZA WAKATI WA UNYAKUO....
IKUMBUKWE WAKATI WA UNYAKUO YESU ATASHUKA MPAKA KWENYE ARDHI ATAISHIA MAWINGUNI TUTAENDA KUMLAKI NA SIO WATU WOTE WATAMUONA HII YA MATH 24:30-33 INA UHUSIANO NA UFUNUO 1:7 KUWA KILA JICHO LITAMUONA HIYO SIO YA WAKATI WA UNYAKUO BALI UJIO WA PILI...KWA KUSEMA HIVI MAANA YAKE NAJIBU SEHEMU YA SWALI KUWA UNYAKUO SIO UJIO WA PILI WA YESU.IKO MITAZAMO MINGI KUHUSU HILI WENGINE WANASEMA KANISA LITABAKI KIDOGO KUPITIA DHIKI KUU AU LUTAOKOLEWA BAADA YA HIYO DHIKI..MITAZAMO HII INATOKANA KUTOMJUA MUNGU NA KUTOYAELEWA MAANDIKO KWA KINA..SINA HAJA YA JUIJADILI HIYO MITAZAMO MAANA UKWELI UPO WAZI..MAFAFANUZI KAMA YA WASABATO KUHUSU SURA HII NDIO MSINGI MBOVU ULIOVURUGA CHRONOLOGY YA EVENTS ZOTE..KWA HIYO TUWAHUBIRI WOTE UKWELI HUU
SASA KWA UKIFIKA MSTARI WA 36-51 YESU ANAFANYA TURNING POINT MOJA YA AJABU...ANAANZA KUJADILI MAMBO YA UNYAKUO AS A SEPARATE ISSUE.. HAPA TUNAONA NDUGU ZETU SDA WANAUNDA KITU CHAO ILI WAWEZE KUKIKANUSHA VIZURI NACHO NI "SILENT RAPTURE" SISI HATUJAJADILI KAMA SILENT RAPTURE BALI SUDDEN RAPTURE (1KOR 15:51-52;1THES 4:115-16) SASA TUYAFUATILIE HAYA MAANDIKO

36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.

37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

38 Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina,

39 wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

40 Wakati ule watu wawili watakuwako kondeni; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa;

41 wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa.

42 Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu.

43 Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.

44 Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.

NI WAZI KUWA UJIO HUU HAUNA UHUSIANO NA YALE MATUKIO YA MATHAYO 24:17-22
HUU UNYAKUO UMEHUSISHA MWINGINE KUTWALIWA NA MWINGINE KUACHWA HAINA UHUSIANO NA MAMBO YA KUKIMBIA KWETU KUSIWE WAKATI WA BARIDI WALA SIKU YA SABATO..KWA MIJI MINGINE HAPA DUNIANI HATA HAWANA MISIMU YA BARIDI KALI JOTO LINACHEZA 42°C AND ABOVE PIA IKUMBUKWE KUNA IDEAS MBILI YAANI THE END OF THE AGE(IYON) NA THE END OF THE EARTH (COSMOS) SASA HAIPASWI KUCHANGANYA MAWAZO HAYA KABISAA...

MPANGILIO WA MATUKIO NI HUU

1.UNYAKUO
2.UTAWALA WA MPINGA KRISTO+DHIKI KUU
Jumla ya miaka 7 ktk zama mbili za miaka 3.5X2

3.VITA VYA HARMAGEDON
4.UJIO WA PILI WA YESU
5.UTAWALA WA AMANI WA MILLENIA
6.HUKUMU YA MWISHO(WHITE THRONE)

SIJACHAMBUA KILA TUKIO KWA KINA MAANA ISHU ILIKUWA NI ARRANGEMENT OF EVENTS CHRONOLOGICALLY!!

KWA TAARIFA AMBAZO ZIMEACHWA HUMU, ZIPATE KATIKA SOMO LANU LA HARMAGEDONI NA LILE LA YESU ANARUDI.

Mwl Proo
0762879363

alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment