Sunday, December 17, 2017

UKISASA HAUPASI KUBADILI VIWANGO VYA KIROHO

_ALL TRUTH PILLARET_ Na Mwl Proo 0718922662/0762879363

*MODERNITY CANNOT ALTER DIVINITY*

"Mood" ya kiinjilisti iko activated.🔨🗡💊💉

Wapenzi ukweli usiponenwa unatoa nafasi ya uovu/uongo kushamiri. Nawaomba vijana wa kisasa mje hapa. *Ukisasa* haubadili standards za *ukiroho(spirituality)*.Mie sijaleta ugomvi ule mwanamke asivae trouser👖 kwangu hayo mahubiri yako too *_local_*  maana mahubiri hayo yanafit sehemu moja nikikupeleka Canada huwezi yahubiri,so hayo naacha kwa leo. Ila vijana wa kileo mnahitaji dawa💉💊 ,sijui nani kawaloga,pamoja na kukiri mmeokoka mmebuni life style ya kwenu tuu ya kuendelea na dhambi   na kujificha,na *toba*  za kijanja za kutomaanisha wala kutokuwa na mpango wa kuacha(nia ya dhambi). Vijana wa kisasa wanajificha☂ kwenye Praise&Worship Team sijui Musicians🎤🎸🎼🎷🎹 halafu unakuta wanaendelea na *UZINZI* na *UASHERATI* na *UCHAFU WOTE WA KUTAMANI* ,ila hawa watu ni wepesi wa kutumia sentensi na maneno kama *USIHUKUMU* (Mathayo 7:1) andiko ambalo mnalibadilisha maana ili kujikinga msihojiwe🛡,mtu kazini wee na mabinti weee au wakaka mpaka ule mkono wa Mungu wa uvumilivu ulio mficha kwa muda(Ufunuo 2:21) unaondolewa anakuwa dhahiri,Ukimuuliza mpendwa vipi mbona tuhuma za uasherati&uzinzi sanaa???? Anakuwahi *"USIHUKUMU"* , *"NO ONE IS PERFECT"*  Shiiiiiindwa Shetani😤
Hivi hiyo NEEMA inayookoa/inayosamehe bila kubadilisha mmeitoa wapi? HIVI WENZANGU MNAOKAZANA KUSEMA NO ONE IS PERFECT MNATUMIA  ANDIKO GANI?? MAANA NAJUA HII WARUMI 3:23 NDIYO SABABU ILIYOMSHUSHA YESU ILI KTK UKAMILIFU WAKE TUFANYWE KAMILI, BY THE WAY MUNGU HAWEZI AGIZA KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI (Mathayo 5:48) KWA HIYO KILA UNAPOTUMIA NGAO🛡 YA NO ONE IS PERFECT NI KAMA UNA MTUKANA YESU NA MSALABA WAKE. YAANI ULIISHI MIAKA 26 NJE YA WOKOVU UKIWA BIKRA TENA HUKUWA UMEOKOKA,BIKRA YAKO UMEKUJA KUIONDOLEA KWENYE WOKOVU NJE YA NDOA. SIKILIZENI VIJANA WA KISASA,KUNA STANDARDS FOR HOLY LIVING, HIZO HAITAJALISHA UNAISHI MAREKANI AU MPITIMBI AU MLILA YOYO SONGEA VIJIJINI BADO UNAPASWA KUWA NDANI YA STANDARDS,

*_HAKUTA KUJA KUTOKEA WAKATI,AMBAPO UZINZI NA UASHERATI UTAKUWA ETI JUST A NORMAL THING YAANI UNAZINI JUMAMOSI UNAPIGA MAGOTI PEMBENI MWA KITANDA 🛐🚼NA TOBA YA GERESHA ILI UWAHI MAIKROFONI 🎤UIMBISHE SIFA NA KUABUDU_*
NA VIJANA WAKIKUTA MCHUNGAJI ASIYE PIGILIA  NYUNDO🔨🔨KUKEMEA UZINZI/UASHERATI BASI WANAJAZANA HAPO HATARI .
Kuna mtu anahoji kwani dhambi uzinzi tuu, kwani kuna dhambi kubwa na ndogo? Hayo nitayajibu kwenye next post.
LAKINI LEO NAWAPASHA KWELI HII,HUTAPATA HASARA YOYOTE KWENDA KWA MKEO AU MMEO UKIWA BIKRA(WHO NEVER HAD SEX KABLA) ,TULITAZAMIA KANISANI TUKUTANE NA VIJANA WA KIKE NA WA KIUME AMBAO WAMEJITUNZA LABDA TU WALE AMBAO KWA BAHATI MBAYA WALITUMIKISHWA KTK UZINZI KABLA YA KUZALIWA UPYA. LAKINI CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA WANA WA NURU WANATEMBEA NA GIZA LA UZINZI DAAH 😔😔 HIVI MNAJUA KUWA UCHAFU WA UZINZI NA UASHERATI UNAYAFANYIA *_"CHARGING_"* 🔋🔌MAJESHI YA GIZA  😒😒

UKIFANYA UZINZI,UKATUBU,MUNGU ANAKUSAMEHE TU WALA HAKUMBUKI, ILA UJUE INAWEKA LIKOVU (1FALME 15:5,MITHALI 6:33)

TAFADHALI SANA VIJANA WA KILEO,ISHINI MORDEN LIFE KTK MAVAZI ,THE USE OF TECHNOLOGY TANI YENU 📱💻MWE WA KISASA HASAA,LAKINI SIO UKISASA WA KUBADILI TABIA ZA UTAUWA KWA MATENDO YA GIZA YASIYO ZAA

*_#team#uzinzi#kosa#kuu#ayubu31:9-11#_*

3 comments:

  1. Ahsante hii Nondo chungu inayoponya @alltruth

    ReplyDelete
  2. Ahsante hii Nondo chungu inayoponya @alltruth

    ReplyDelete
  3. Halleluya!! Napata nondo za ajabu Sana, MUNGU WA UWEZA WOYE, AENDELEE KUKUTUMIA KWA VIWANGO.

    ReplyDelete