Friday, December 15, 2017

CUARESMA

KWARESMA ILITOKA WAPI..? INA UHUSIANO NA UKRISTO?

Mwl Proo 0762879363

CUARESMA(spanish) alternatively KWARESMA, KUWA NA ULE MFUNGO HAKUNA SHIDA TATIZO NI KWAMBA MOST OF THE PRACTICES  NI  YA UPAGANI 100%  HAIHITAJI UTETEZI WOWOTE.
NAOMBA KWA DAKIKA CHACHE NIELEZE KWA UCHACHE KUHUSU KWARESMA... HATUWEZI KUJITOA AKILI KWA KUSUDI... YAKO AMBAYO TULIYAKOPI KWENYE UPAGANI ILA YANA SYNOPSIS NA MAMBO YETU YA UKRISTO HAYO NI TOFAUTI NA HILI LA CUARESMA HASA PRACTICES ZAKE

MAADHIMISHO YA KUFUNGA 40 KABLA YA EASTER SEASON (AMBAYO NAYO SIO PASAKA BALI MAADHIMISHO YA ISTHAR-GODESS OF FERTILITY WA BABYLON) HAINA AGIZO LAKE KIBIBLIA WALA MITUME HAWAKUWAHI KUOBSERVE HIKI KITU...KTK HISTORIA MIAKA 1000 TANGU YESU AFUFUKE HAKIKUWAHI KUADHIMISHWA..

KILIZUKA DURING VIKINGS CONQUEST HUKO EROPA..

SASA TUWE NA UTULIVU KIDOGO NIELEZE YALIKWENDAJE HADI TUKAWA NA HIKI KITU KWENYE CATHOLIC CHURCH

THIOLOJIA YA KIEVANGELI INAUTAUMBUA WAKATI WA MWAKA 476-1453 BK KAMA WAKATI WA MIDIEVAL PERIOD AMBAO PIA HUUTAJA KAMA DARK PERIOD; NI WAKATI KANISA LILIKUWA NJE NA MAONGOZI YA ROHO... LIKAONGOZWA KAMA TAASISI YA KISERIKALI..

SASA KULIKUWA NA DINI YA KIPAGANI IITWAYO NORDIC PAGAN RELIGION ILIYOKUWA NA MUNGU WAKE AITWAYE NORSE god;Au ODIN IBADA KWA MUNGU HUYU ILIHUSISHA KUPAKA JIVU SIKU YA JUMATANO.. JINA LAKE JINGINE HUYU ODIN/NORSE NI YGG YENYE MAANA YA ASH YAANI JIVU...MATAMSHI YA JINA YGG NI AGNI AMBALO LINAFANANA NA LA MUNGU WA DINI FULANI HUKO INDIA IITWAYO VEDIC INDIAN RELIGION...HUYU MUNGU ANAITWA IGNIS YAANI INDIAN FIRE GOD🔥 NENO IGNIS NDILO LINALOLETA NENO LA KINGEREZA IGNITE /IGNITION NDIYE MUNGU MWENYE MAMLAKA YA KUSAMEHE DHAMBI ...NA MAJIVU YALIHESABIWA KAMA DAMU YA UTAKASO KWA MUNGU WA KIHINDI VEDIC GOD AITWAYE SHIVA... KUNA UHUSIANO FULANI WA KIPINDI CHA SIKU 40 KATIKA HABARI ZA BIBLIA KAMA MFUNGO KAMA WA YESU...LAKINI HII YA CUARESMA INAFUATA "LENT" HII LENT NI SEASON OF 40 DAYS KATIKA ILE DINI YA KIPAGANI.. KWA HIYO HAKUNA UTETEZI JUU YA KUPAKWA JIVU, KWA KUWA INAPINGANA NA MAELEKEZO YA YESU KWA WAKRISTO JUU YA FASTING NA PENITENCE... YESU ANAWATAKA WAKRISTO WAKIFUNGA WANAWE NYUSO NA KUJIPAKA MAFUTA SIO JIVU ILI WATU WAZIONE NYUSO ZETU KATIKA FURAHA NA CHANGAMKO WALA SIO KUFANYA SHOW-OFF..

KAMA NI KUFUNGA FUNGA HUWEZI KUWAIGA WAYAHUDI ETI KWA KUWA MODEKAI ALIFANYA....

NB:
CHRISTIANITY IS NOT JUDAISM, THOUGH IT BEGAN AS A SECT IN JEWISH RELIGION

Mwl.Proo

alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment