Friday, December 1, 2017

NYOKA WA SHABA!

*KWA NINI MUSA ALIAGIZWA KUFANYA NYOKA WA SHABA🐍, WAKATI TUNAJUA NYOKA HANA TAFSIRI NZURI KATIKA ROHO.*

By Mwl Proo

ALAMA YA NYOKA/SNAKE/SERPENT INAJULIKANA KAMA ALAMA YA UTABIBU...🐍

HISTORIA YAKE INATOKEA MBALI SANA AMBAPO WAMISRI WA ZAMA ZA KALE SANA WALIITUMIA KAMA SYMBOL YA MUNGU WA DAWA NA UPONYAJI AITWAYE "Asclepius" AMBAYE ALIKUWA NA FIMBO YENYE NYOKA AMEJIVIRINGISHA KTK HIYO FIMBO
.... WAMISRI WA KALE WALIMHUSIANISHA MUNGU HUYU NA MOJA YA MIUNGU WAKUU WA KALE AITWAE "WADJET" . HUYO MUNGU WA DAWA NA UPONYAJI HISTORIA YAKE IKO KWENYE MYTHIOLOGIES ZA ANCIENT GREEK AMBAYO NAIJUA VIZURI, LAKINI NAFUPISHA STORI. SASA KIZAZI KILE CHA ISRAEL CHOTE KILIKULIA MISRI NA WALIZALIWA HUKO..SO WALIKUWA NA MIXED CULTURE KTK KNOWLEDGE, TUNAWAITA EGYPTIAN HEBREW (WAEBRANIA WA KIMISRI) HAWAKUJA CHOCHOTE ZAIDI YA TAMADUNI ZA MISRI, AMBAKO WALIKAA ZAIDI YA MIAKA 265 (SIO MIA NNE KAMA WENGI WANAVYODHANI)..

TUKIO LA "SNAKE OF BRONZE" TUNALOLISOMA KATIKA HESABU 21:6ff, NA LILE LA DECALOGUE DELIVERY (KUTOKA 20:1ff) YAMEPISHANA MIAKA KARIBU 37+, NA LILITANGULIA LA SHERIA INAYOKATAZA KUCHONGA CHOCHOTE MFANO WA SANAMU NA BAADAYE KWENYE TUKIO LA NYOKA, MUNGU AKAMWAGIZA MUSA AFANYE NYOKA WA SHABA. WALE WAYAHUDI WA KIMISRI WALIKUWA WAKIJUA HILO TUU AKILINI MWAO KUWA NYOKA ALIYEVIRINGIKA KWENYE MTI NI ISHARA YA AFYA NA KUPONA, NI KAMA MUNGU ALITUMIA KILE AMBACHO TAYARI WANAELEWA, INGAWA ASILI YAKE ILITOKA KATIKA ULIMWENGU WA KIPAGANI.

SASA MNYAMA HUYU NYOKA 🐍, ANAASHIRA VITU VINGI NA ROHO NYINGI MBAYA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO, LABDA SIFA MOJA TU NZURI NI YA UJANJA/WEREVU YESU AKATUTAKA TUWE KWA NAMNA YA NYOKA (MATHAYO 10:16), LAKINI BADO IN JEWISH AND CHRISTIAN TRADITIONS NYOKA DOES NOT SYMBOLIZE VITU VIZURI (YOHANA 3:14ff) KAMA MUSA ALIVYO.....🐍HIVYO MWANA WA MUNGU NI LAZIMA...

LEO HII WENGI WANAOCHORA TATTOO ZA WANYAMA KAMA NYOKA NA NGE🐍🦂 WANAISHIA KUVAMIWA NA MAPEPO (MAANA HAPO NI DEVIL NA DEMONS LUKA 10:17-19) INGAWA TATTOO KWA UJUMLA WAKE NI UTAMADUNI WA KIPAGANI, MUNGU ALITUKATA SISI (LAWI 19:28 NIV).

UKIMWONA NYOKA NDOTONI, NI MUHIMU UIANGALIE NDOTO, ULIONAJE? YUKO JUU YA MTI, INA MAANA YAKE, YUKO KARIBU NA MAZINGIRA YAKO? INA MAANA YAKE! AMEKUUMA? AMEKATWA NA PANGA, UMEMPIGA UKAMSHINDA AU UKAMSHINDWA? VYOTE VINA MAANA YAKE!

Asante.

No comments:

Post a Comment