Friday, December 1, 2017

LUCIFER

*LUCIFER/LUSIFA*
By Mwl Proo
0762879363

Imekuwa ikinenwa kuwa Shetani kabla ya anguko aliitwa kwa jina hili, lakini katika vyanzo vingi vya kiyahudi vimetaja majina ya malaika hata waasi, na jina lililotajwa na vyanzo vingi ya huyu anayetajwa Lucifer ni Samael. Ok huenda lisiwe jina lake kamili akiwa katika hali ya malaika wa daraja la kerubi, Though it is awkward expectation kutaka kukutana na jina Lucifer katika vyanzo vya kiyahudi, since hilo jina sio la lugha yao, lakini kwa sifa ambazo vyanzo vingi vimeeleza vinafanana sifa ya neno Lucifer.

Neno Lucifer הֵילֵל= (Hebrew)hêlêl/heylel maana yake mwenye mwangaza (ambaye ndani yake hutoka nuru , katika Isaya kulitajwa kama "Helel ben Shahar " (mwana wa asubuhuhi/nyota ya Asubuhi) kwa  kigiriki ἑωσφόρος (heōsphoros (bringer of light) au mwenye kuleta mapambazuko (Bringer of dawn). Lakini matamshi ya Luci-fer yanatoka kwenye Latin-Vulgate likihusianushwa na sayari (Planet Venus) Lakini baada ya anguko lake hana sifa hiyo tena, ingawa anayo nuru, anao utukufu, anazo nguvu hakunyang'anywa ila vyote vililaaniwa...

Na jina la Devil/Satan yaani Mwovu/Mshtaki ni matokeo ya uasi wake toka katika nafasi aliyokuwa nayo kama Kerubi afunikaye (Ezekiel 28:14), Jina Lucifer limejitokeza katika KJV Bibles pale Isaya 14:12

NB:-
In prophetic symbolisms, stars speak of angels (Rev 12:4,, Ayubu 38:7).

Barikiwa...

No comments:

Post a Comment