Saturday, December 16, 2017

UKWELI KUHUSU MALAIKA WALIOHUSIANA KIMWILI NA WANADAMU(CHIMBUKO LA WANEFILI)

*UKWELI KUHUSU MALAIKA WALIOHUSIANA
KIMWILI NA WANADAMU(CHIMBUKO LA
WANEFILI):*

*By Mwl Proo 0762879363*

WAPENDWA, NOW I CAN GO ON EXPLAINING SOME GREAT STORIES BEFORE AND AFTER ADAM, BEYOND THOSE FEW YOU KNOW FROM THE BIBLE, AND THESE ARE THE BASICS FOR ALL OTHER STORIES IN THE BOOK OF GENESIS.
WAPENDWA BIBLIA INARUHUSU KUTUMIA OTHER SOURCES ZENYE KUTOA MAARIFA ZAIDI JUU YA MAMBO YA BIBLIA,UKIKATAA MAARIFA, NA MUNGU ANAKUKATAA WEWE (HOSEA 4:6b). SASA BIBLIA NI COLLECTION OF BOOKS,VITABU VINGI HASA VYA AGANO LA KALE, HAVIKUANDIKWA NA MTU MMOJA, BUT NI COLLECTION&COMPILATION YA INFORMATION FROM DIFFERENT SOURCES...
MFANO KUNA WAKRISTO WANADHANIA KITABU CHA ZABURI CHOTE KILIIANDIKWA NA
DAUDI, NO!!! HAPANA WAPENDWA KITABU CHA ZABURI NI SURA TU KADHAA NDIZO NYIMBO ZA DAUDI, NYINGINE ZIMEKUSANYWA KWENYE FASIHI ZA KIYAHUDI. SO ZIKO NYIMBO ZA WANA WA ISRAEL ZA TANGU ENZI ZA KINA MIRIAM, ZA WANA WA ASAFU,WANA YEDUTHUNI, WANA WA HERMAN...MFANO ZABURI 77&78 ZILITUNGWA MIAKA KARIBIA 480 KABLA YA DAUDI KUZALIWA... WHAT DO I MEAN, BIBLIA IMEMEGA KIDOGO CHA KUFAA FROM OTHER SOURCES...
SASA LAZIMA TUAMINI HAYAJAANDIKWA YOTE YOHANA 21:25

BIBLIA INAKIRI KWA TAARIFA ZAIDI ZA STORI
ZAKE GO AND REFER SOMEWHERE ELSE.  MFANO 2FALME 8:23 TENA KITABU MASHUHURI KIITWACHO YASHARI
AU JASHAR NDICHO AMBACHO STORIES NYINGI ZA BIBLIA ZIMEKOPIWA FROM,,HIKI KITABU KIMETAJWA KTK 2SAMWELI 1:18
WAPENDWA NILIKUWA NAWEKA MSINGI TUU, ILI KAMA NITANUKUU VITABU VINGINE MSIVYOVIJUA MSIPATE SHIDA. KWA LEO NITANUKUU ZAIDI KITABU AMBACHO NAKIKUBALI SANAAAAA..
KITABU HIKI BIBLE SCHOLARS (WANAZUONI)
WOTE HAWAJUI KWA NINI HAKIKUJUMUISHWA KTK VITABU VYA BIBLIA VILE 66 CANONICAL
BOOKS, INGAWA WAYUHUDI NA KANISA LA
ETHIOPIAN ORTHODOX CHURCH(TEWAHEDO)
WANAKITUMIA KAMA VERY IMPORTANT SOURCE, NA HILI KANISA LA ETHIOPIA KWAO NI CANONICAL BOOK NA WAMEKI COMPILE KATIKA BIBLIA ,WAO WALIKIPATA ENZI HIZO QUEEN OF SHEBA ALIPOMTEMBELEA SULEIMAN...

SO HIKI KITABU MAARUFU KAMA "THE BOOK OF ENOCK" NDICHO NITAKACHOTUMIA KUFAFANUA, THE BOOK IS NAMED AFTER THE MAN,WHO WALKED WITH GOD (MWANZO 5:24) [11:48, ZAMA ZA YAREDI BABA MZAZI WA HENOKO ZINA BEBA HISTORIA NZITO
SAANA,AMBAZO NI CHANZO CHA KILA STORI
KTK ZAMA ZA NUHU. BIBLIA IMEMTAJA HENOKO KWA KIFUPI SANAAA,BUT ZAMA ZAKE KULIKUWA NA MENGI TWENDENI TUYATAZAME PAMOJA,POLENI AMBAYE KIZUNGU HAKIKUBARIKI SANAA,MAANA
NUKUU ZOTE WILL BE KIINGLISH,BUT
MAFAFANUZI YANGU YATAKUWA KISWAHILI
KTK KITABU CHA HENOKO 6:1-8
INA STORI KAMA YA MWANZO 6:1-8 BUT THIS IS MORE ANGELIC, INAONESHA KATIKA ZAMA ZA YAREDI BABA'AKE HENOKO,MALAIKA 200
WALIKUBALIANA KUSHUKA KWA DUNIA NA
KUJICHANGANYA NA WANADAMU,HAPA NDIPO AMBAPO YUDA ALIKOPI MAELEZO YA (YUDA 1:6) ,WALIPOONA KUNA WADADA/BINTI ZA WANADAMU WANAVUTIA (MWANZO 6:2) NDIPO WAKASHAURIANA, MWANAONAJE
TUJITWALIE,TUWAOE,TUZAE NAO WATOTO?
SEMJAZA KIONGOZI WAO AKASEMA NO,TUKIFANYA HIVYO, I MYSELF WILL HAVE TO PAY PENALTY,LA SIVYO LET US SWEAR AN OATH PAMOJA.. BASI HAWA MALAIKA 200 WAKAFANYA KIKAO (SUMMIT ON MOUNT HERMON),VIONGOZI WAO NI HAWA
HAPA KWA MAJINA
1.SEMIAZAZ
2.ARAKIBA
3.RAMEEL
4.KOKABIEL
5.TAMIEL
6.RAMIEL
7.DANEL
8.EZEQEEL
9.BARAQIJAL
10.ASAEL
11.ARMAROS
12.BATAREL
13.ANANEL
14.ZAQIEL
15.SAMSAPEEL
16.SATAREL
17.TUREL
18.JOMJAEL
19.SARIEL
HAWA NDIO VIONGOZI WA HAO MALAIKA MIA 200 SASA IKUMBUKWE HAWA HAWAKUWA MALAIKA WATIIFU KWA MUNGU, NI WAZI KUWA WALIKUWA SEHEMU KATIKA WALE WALIOASI PAMOJA NA SHETANI. KATIKA MWANZO 6:2-4 IMEWATAJA KAMA WANA WA MUNGU,THIS IS THE GENERAL TERM FOR ANGELS,NDIO MAANA BIBLIA YA ASILI(GREEK) IMETAJA "ANGELUS ES DEUS" IKIMAANISHA MALAIKA WA MUNGU, SASA MSTARI 4 KTK MWANZO 6 UNASEMA BASI WALIKUWEPO WANEFILI DUNIANI(NEPHILIM THE
FALLEN ANGELS) KWA NINI ASEME DUNIANI, COZ HAPAKUWA MAHALI PAO KWA ASILI (2PET 2:4,YUDA 1:6) WALIYAACHA MAKAO
YALIYOWAHUSU.... AMBAO TUKO PA1,NA MNAHISI KUANZA KUELEWA KATIKA KITABU CHA HENOKO 7:1-6 TUNAONA HAYA YAFUATAYO, MALAIKA WALE 200
WAKIONGOZWA NA SEMJAZA BAADA YA
KIAPO,WANAOA WANADAMU,THEN THESE ANGELS
TAUGHT MEN TO DO
CHARMS,ENCHANTMENT,CUTTING ROOTS AND THEY MADE THEM ACQUAINTED WITH PLANTS, NITATOA MCHANGANUA MZURI HAWA MALAIKA VIONGOZI 19 WALIFUNDISHA WANADAMU MAMBO YAPI KILA MMOJA. MATOKEO YA "ILLICIT RELATIONSHIP"
KATI YA MALAIKA NA WANADAMU NI HAYA
BINTI ZA WANADAMU WAKASHIKA PREGNANCIES, WHERE BY WAKAZAA GREAT GIANTS WHOSE HEIGHT MEASURED 3000ELLS. HAYA MAJITU AMBAYO NI HYBRID NDIO SOURCE YA WALE WANEFILI WA MWANZO 6:4, HAWA WANEFILI HAWAPO KWENYE GENERAL GENEOLOGY YA MWANZO 5:3-32, THE REASON BEHIND NI KWAMBA HAWANA HUMAN FATHERS BALI BABA ZAO NI MALAIKA WALIOACHA MAKAO YANAYOWAHUSU (YUDA 1:6)
TENA WALISHUKA TU ENZI ZA BABA'AKE
HENOKO... HAWA WATOTO MAJITU WALIOZALIWA WALIKULA VYAKULA VYOTE HADI WANADAMU WAKASHINDWA KUWASUSTAIN ZAID,WAKAANZA KULA
WANADAMU,IKUMBUKWE HAWA MAGIANTS
WALIKUWA NA MAUMBILE MAKUBWA THAN BOTH ANGELS NA MEN. AFTER KITAMBO
KIDOGO,WAKAASI NA KU VIOLATE JUU YA
WANYAMA,HAYAWANI,SAMAKI NA BADAE KULANAWAO KWA WAO.... NAOMBA MNIFUATILIE KWA MAKINI HAPA...
TABIA ZOTE CHAFU, NA MAMBO MAKUBWA YA UJUZI NI HAWA MALAIKA,NDIO WALIWAFUNDISHA WANADAMU... KATIKA ENOCH CHAPTER 8, TUNAMUONA MALAIKA AZAZEL WHO TAUGHT MEN TO MAKE SWORDS,KNIVES,SHIELDS AND
BREASTPLATED AND MADE KNOWN TO THEM THE METALS, HAPA KUNA UKWELI WA LAZIMA MAANA ZAMA ZA TUBALI-KAINI (MWANZO 4:22) NDIPO
CHUMA DISCOVERY ILITOKEA, NDIO ZAMA ZA
HAWA MALAIKA, PIA ALIFUNDISHA THE WORK OF ART TO MAKE BRACELETS,ORNAM
ENTS,ANTIMONY,BEAUTIFYING OF EYELIDS,COSTLY STONES AND COLOURING OF TINCTURES,MATOKEO
YAKE,KUKA-AROSE TOO MUCH UNGODLESSNESS AND THEY COMMITTED FORNICATION/UZINZI POINT TO NOTE MNAO ENDEKEZA MAPAMBO
EXCESSIVELY,ALIYEBUNI HADI KOPE ZA KICHINA NI HUYU MALAIKA KTK KUTAFUTA KULETA SEXUAL AROUSAL ISIYOZUILIKA
BADO TUPO PA1?
SEMJAZA TAUGHT
-ENCHANTMENTS
ROOTS CUTTING
ARMAROS TAUGHT
RESOLVING OF ENCHANTMENTS
BARAQIEL TAUGHT
ASTROLOGY
KOKABEL TAUGHT
CONSTELLATION
EZEQEEL TAUGHT
KNOWLEDGE OF CLOUDS
ARAQIEL
SIGNS OF THE EARTH
SHAMSIEL TAUGHT
THE SIGNS OF THE SUN
SARIEL TAUGHT
THE COURSE OF MOON
RESULTS YA UWEPO WA HAWA MAJAMAA
MEN PERISHED ,THEY CRIED AND THEIR CRY WENT UP TO HEAVEN
WHAT'S NEXT ?
KEEP IN TOUCH
WAPENDWA HAYO NI BAADHI YA MAMBO
YALIANDIKWA KTK HENOKO SURA YA NANE...
NGOJA NILIJIBU SWALI LA AWALI, HAWA
MALAIKA WAKO WAPI? IKUMBUKWE HAWA WALI WALIKUWA NI MALAIKA BUT WALIJIWEKA KWA MFUMO WA KIBINADAMU
90% HUU NI UWEZO AMBAO HATA MAJINI
FORMER ANGELS,WANAO HATA SASA.. WALILETA UCHAFU DUNIANI,BUT MUDA WA GHARIKA HAWAKUANGAMIA HATA MMOJA KATI YA WALE 200 ,WALIPOONA MAFURIKO/GHARIKA WALIJITRANSFORM TO ANGELIC FORM AND ESCAPED THE FLOOD... BUT MUNGU HAKURUHUSU WAEPUKE ALIWANASA WOTE,(2PETRO 2:4,YUDA 1:6) AKAWAFUNGA KWENYE GLOOMY DUNGEON IN HELL ,LIITWALO TARTARUS WAKISUBIRI
HUKUMU, HILI SHIMO LIMETAJWA KWENYE
BIBLE... LABDA NIKATISHE KWA LEO NIMALIZIE NA ISHU MOJA THEOLOGICAL REFLECTION: ISHU YA HAWA MALAIKA KUJIMIX NA WANADAMU,ULIKUWA NI MPANGO MADHUBUTI WA SHETANI ILI KUVURUGA KUSUDIO LA MUNGU LA MWANZO 3:15,MAANA SIKU YA ANGUKO GOD PROPHESIED OF THE SHILOH,MESSIAH KING TO COME WHO WILL SAVE THE HUMANITY,AND HE WILL BE BORN OF WOMAN,KIGEZO CHA HUYO ATAKAE UFIA ULIMWENGU MUST BE MWANADAMU
PURE BUT WITHOUT SIN,SO HAWA MALAIKA
WALIKUJA WAKA CROSS-BREED NA WANADAMU, THE PURE GENES WERE NO MORE,BUT MUNGU AN OMNISCIENT GOD WHO DECLARES THE END FROM THE MWANZO (ISAYA 46:10,42:9) ALIJUA,NDIO MAANA ALIFUTA KABISA WALE WA ENZI ZA
NUHU, AKABAKIZA WANADAMU 8,KUNA ISHU TATA KUWA BAADA YA GHARIKA KUNA WANEFILI WALIONEKANA TENA KTK KITABU CHA HESABU 10:33. SIKU INGINE, MAANA INAFANYA NIKUBALIANE NA WASOMI KUWA GHARIKA HAIKUWA DUNIA YOOOOTE,BUT THE MOST INHABITED PARTS OF THE WORLD INCLUDES NEAR,MIDDLE AND FAR EAST OF ASIA,THE OTHER PLACES ZILIKUWA EITHER NO HABITANTS AU WATU KIDOGO SANAAAAAAAA, HIYO NI MOJA YA SHULE YA FIKRA, NA YA PILI NI ILE AMBAYO JAMII YA WATU WAKUBWA KWA MAUMBILE KUITWA WANEFILI (IN JEW TRADITION) KUENDELEA KUITWA KWA JINA LILE. TAARIFA ZA KINA KUHUSU WANEFILI, AMBAZO HAZIPO KATIKA KITABU CHA HENOKO ZIPO KATIKA KITABU CHA YASHARI, NILICHOKITAJA JUU KIDOGO.
KWA LEO INATOSHAAAA.

mwl proo 0718922662/0762879363

alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment