KWA NINI UOVU UPO WAKATI MUNGU MWENYE NGUVU ZOTE ALIYE MWEMA SANA YUPO??
Na Mwl Proo
UOVU(EVILS) INAAJUMUISHA(MORAL EVILS NATURAL EVILS KAMA MAGONJWA NA DISASTERS)
KATIKA KUJIBU SWALI LETU TUTAHUSIANISHA NA SCHOOL OF THOUGHTS NA WORLDVIEWS KADHAA
KITHIOLOJIA KTK KUITAFUTA NAFASI YA MUNGU MWENYE HAKI KATIKATI YA UOVU LAZIMA TUPITIE CONCEPT OF THEODICY
The word Theodicy means "justifying God in the face of evil"
Katika CHRISTIAN THEODICY yako mambo manne ya mjadala
1.Swala gumu la uovu(The issue of evil)
2.Uovu unatia changomoto swala la kuwepo kwa Mungu(Theism)
3.Kama Mungu ana upendo wote(all loving) lazima atakuwa na shauku ya kuuvunja/abolish uovu wote
4.Kama Mungu ana nguvu zote(all powerful) lazima awe na uwezo wa kuutangua uovu
Katika hoja hizo 4 kumeinuka majibu/responses mbalimbali kama
*Agustinian Response
*Ireanean Response
*Modern Process Theology
*Practical Theodicy
Kwenye Contemporary Christian Science husema uovu ni kitu tu cha kubuniwa tu kwenye akili ya mwanadamu(Evil is an illusion of human mind)
SASA TUANGALIE HIZO DEFENCES NNE;ZIMETAJWA KAMA DEFENCES KWA NAMNA ZINAVYOJIBU SWALA LA UOVU
1.AGUSTINIAN RESPONSE
Hii imebezi ktk swala la anguko la mwanadamu
Shule hii ya mwanadamu inaungwa mkono na wanazuoni kama Stephen Davis na Alvin Plantinga
Stephen Davis aliweka nguzo mbili za kuelezea tatizo la uovu
i.)evil exists
ii.God is all powerful and perfectly good
👆🏽👆🏽👆🏽Misingi hiyo miwili inatupeleka kwenye mzizi wa Agustinian Response to evil iitwayo "Freewill Defence" Uamuzi huru wa kuhagua.
*Nini maana ya kuwa huru?(What does it mean to be free?)
-Human beings are not cohesed to do things;but free to choose what to do
*Therefore God cannot be blamed on the evil's existence
Maana ya maneno hayo ni kwamba Wanadamu hawajaumbwa na shinikizo la kufanya vitu lakini wako huru kuchagua ya kufanya
Na hivyo Mungu hawezi kulaumiwa kwa uwepo wa uovu.
2.IRENEAN RESPONSE
Hii defence ya Evil iliyoasisiwa na John Hick...imebezi ktk ukweli wa mabadiliko ya uumbaji endelevu ya kumkamilisha mwanadamu ktk maisha yasiyo makamilifu... yaani mwanadamu anatoka kwenye sura/IMAGE na kuwa kama Mungu/LIKENESS a gradual change from Image of God into Likeness
Utetezi wake juu ya uovu
A.Mungu alikusudia kuumba ulimwengu ulio bora sana
B.Akaumba ulimwengu wenye freewill ambapo viumbe vyenye utashi (rational creatures)wako huru kupenda na kuchagua
*Mungu hawezi laumiwa kwa sababu ya uovu wa dunia;ni wanadamu waliuchagua
*Mungu anapenda uhusiano ambao wakati wote unatoa uchaguzi(CHOICES)
*Uovu ni kitu kilichofanywa na mwanadamu
CENTRAL QUESTION
Uovu uliwezaje kuingia duniani kwa mara ya kwanza????
-Kama mwanadamu alichagua uovu ina maana hakuwa mkamilifu kimienendo tangu kuumbwa(Morally imperfect)
*God made human spiritually immature,morally neutral to choose either good/evil
3.MODERN PROCESS THEOLOGY
Hii sitaijadili sana maana ina mawazo yanayokinzana sana na ukweli ..Hii imebezi ktk wazo kuwa Mungu ni mwenye nguvu ila sio nguvu zote kiasi cha kuweza kuukomesha uovu;God is challenged by evil
4.PRACTICAL THEODICY
Ktk approach hii ya kuujibia uovu ina misingi mitatu iliyoasisiwa na Forsyth na Dorosthee D
Soelle
#Kazi ya ukombozi ya Kristo;kama majibu ya kuuweza uovu aliouchagua mwanadamu
#Mwanadamu hawezi kumhesabia haki Mungu(Human cannot justify God kwamba yupo sahihi au la au kumtetea in the face of evil)
#God justifies Himself
Yuko mtu aitwaye Gregory Boyd(Open Atheist) yeye aliendeleza hii preactical theodicy
Akasema hatuwezi kuelewa uwepo wa uovu duniani na kuanzisha majibu sahihi ya kuhusu uovu na haki ya Mungu ktk hilo mpaka tutakapofahamu kuwa kuna vita duniani kati ya Mungu/malaika zake Versus Shetani/malaika zake
Pia lazima kufahamu uhalisia wa Shetani na Vita ktk roho
GOD'S LOVE&SIX THESES
Zilizotolewa na G.Boyd
1.Love must be freely chosen
2.Love involves risk
3.Love and freedom means we are responsible for one another
4.The power to influence for the worse is proportionate to the power to influence for the good
5.within limits,freedom must be irrevocable
6.Our capacity to choose freely is not endless
Mwl Proo
0762879363
alltruth5ministries@gmail.com
No comments:
Post a Comment