*W͟͟E͟͟W͟͟E͟͟ U͟͟N͟͟I͟͟F͟͟U͟͟A͟͟T͟͟E͟͟ M͟͟I͟͟M͟͟I͟͟*
*_ʍϖʆ Թɾσσ_*
*_+255762879363 (ϖհαtςαԹԹ σηʆу)_*
BWANA YESU ASIFIWE SANA. KWA KITAMBO KIDOGO NALIWAACHA, LAKINI SASA TUENDELEE KUISIKIA SAUTI YA NENO LA MUNGU.
Petro Mtume, alianza kujishughulisha na businesses zisizo mhusu, maana aliona gere juu ya Yohana, yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda zaidi (With brotherly Love). _Ikawaje? Tusome....._
Yohana 21
*_21 Basi Petro akamwona huyo, akamwambia Yesu, Bwana, na huyu je?_*
*_22 Yesu akamwambia, Ikiwa nataka huyu akae hata nijapo, imekupasaje wewe? Wewe unifuate mimi._*
Baada ya kuona Yohana anamfuata Yesu, alitamani kuona at least Yesu akimpiga bit, kwamba _*hey punguza kunizongazonga!!*_😡
Mstari wa 22, Yesu anaigeuza nia ya Petro toka kwenye kuhangaika na mambo ya watu na kumpa _*One great Agendum*_, kwamba, hata nikitaka Yohana Ben'Zebedee aishi bila kufa, hilo linakuhusu nini wewe???? Yu've gat ''one&only'' business, *WEWE UNIFUATE MIMI*, baaasi!
Mwanzoni mwa juma lililopita, nilipoingia tu ofisini, Staff member mmoja akanidaka kwa taarifa fulani, haikuwa na lengo zuri sana. Akaniambia, "Kuna mchungaji kafariki huko Nigeria,alikuwa na wake (wives) 86"😀. Taarifa hiyo nilijua imelenga kuonesha kuwa watu wote tu wana dhambi, tusijifanye kuwa wakamilifu wala watakatifu sanaaaaaa, hata wachungaji nao wote tu wana dhambi zao. Nikamjibu hilo nimelisikia, lakini ni muhimu kufahamu ni mchungaji wa nini, maana hata huko Nigeria kuna occults na traditional religions nyingi, zote zina so called *_priests_*.
LAKINI NIKAMKAZIA MACHO SASA NA KUMWAMBIA, IMANI YETU IPO KATIKA KUMFUATA YESU TU, HATA TUKIPATA TAARIFA KUWA ASKOFU WA KIPENTEKOSTE ABAMBWA/AFUMANIWA NA MABINTI WAWILI GUEST HOUSE, HILO HALITUHUSU KIASI CHA KUYUMBISHA IMANI ZETU. WALE TUNAOWAPAMBA KWA KUWAITA MABABA WA KIROHO (curently wanaitwa dadies/dads), WAO SIO MFANO WETU WA MWISHO. BABA WA KIROHO NI JAMBO LA KIBIBLIA (1Kor 4:15), LAKINI BIDII YETU YA KUWAFUATA ITOKANE NA JITIHADA ZAO ZA KUMFUATA NA KUMUIGA YESU KWA YOTE (1Kor 11:1). KAMA BABA WA KIROHO AKICHAKACHUA NJIA ZAKE, KATIKA HAYO AKAE PEMBENI, *HATUTAMFUATA!*
Very unfortunate, mababa wa kiroho walijijaza nafsini mwa watu wao, kuliko kuwajazia Yesu. Kiasi kwamba hata wakifanya scandals za wazi, hawa watoto wa kiroho, wanachojua wao ni kusema tu msimhukumu.... hali wakisahau Biblia inaturuhusu kufanya hukumu ya haki (Yoh 7:24). Hukumu ya haki inafanywa na wenye kuijua kweli, wazoevu wa maneno ya imani. Wakiona mambo ambayo sio, wanalinganisha na ile kweli, kisha wanasema hili na hili hapana.
NDUGU WAPENZI, NI KWA HERUFI KUBWA NAWAANDIKIA KWAMBA HAKIKISHA WEWE BINAFSI, UNAMFUATA KRISTO YESU, HILO TU! HAKUNA SIASA ZINGINE, YESU ALIPOKUWA AKIWACHAGUA MITUME ALIWAAMBIA *_NIFUATE!!_*, HAIKUWA SWALA LA KUONGAZANA NAYE BARABARANI TU, BALI WAJIFUNZE KWAKE, KISHA WAENENDE VILEVILE KAMA YEYE ALIVYOENENDA (1Yoh 2:6). KATIKA ZAMA HIZI ZA HATARI, AMBAPO KILA MTU ANAJISTUKIA KUWA HAYUPO SAHIHI, NA KUTAFUTA AUHENI KWA KUPATA LIST YA WENGINE WENYE MAANGUKO KUSEMA, SIPO PEKE YANGU, HUU NDIO WAKATI WA KUSHIKAMANA SANA NA ULE UTIMILIFU WAKO (Ayu 2:9), BWANA AJISALIZIE WATU AMBAO HAWAJAPIGA GOTI KWA BAALI KWA MAANGUKO YA DHAMBI, HUU NDIO WAKATI WA KUSHIKA SANA ULICHO NACHO (Ufunuo 2:25, 3:11).
Niliwahi kuaddiwa kwenye grupu la watumishi, na niliona humi majina ya watumishi wengi tuu, na wengine wanafahamika sana. Kukatokea mjadala wa kumjadili mtumishi mwingine aliyeanguka kwenye uzinzi. Mtu mmoja akajitokeza kusema, acheni kuhukumu, nani humu ambaye amezini na mmoja tu?. Swali lake halikuuliza ambaye hajawahi kuzini, bali ambaye amezini na mtu mmoja tu.... Kukawa na kimya muda mrefu, kuashiria kwamba wote kwa namna moja au nyingine wanashiriki matendo ya ngono isivyowapasa. I expected, mmoja ajitokeze at least aseme, "Nilizini kabla ya kuokoka, baada ya kuokoka I never fell". Nilijikausha kimya ili nishangae na kujifunza zaidi..
Ni jana tu katika mjadala mmoja juu ya tuhuma za mtumishi fulani, akajitokeza mtumishi mwingine akasema, _*"Mbona mnaongea mambo ya watu, kwani kuna mtu aliye sawa sikuizi?"*_. Maswali haya si tu yanaashiria hali mbaya kwa wana wa Mungu, bali ni wazi watu wameacha kumfuata Yesu. Kusemwasemwa vibaya, sio kiashiria cha wewe ni mti wenye matunda. Lazima ushuhudiwe vyema, uwe na uwezo wa kusimama mahali popote na uulize kama Yesu, ni nani humu ndani ananishuhudia uovu? Na asipatikane, zibakie ni zile za uzushi ambazo watu hawawezi hata hata kuziongea ukiwepo.
*HOJA YANGU YA MSINGI*
*INAPOFIKA WAKATI KILA MTUMISHI UNAYEMSIKIA, MTUME SIJUI NABII AU MWINJILISTI N.K, WANA USHUHUDA NA RECORDS ZA KUANGUKA, _LET IT NOT BE YOU/ISIWE WEWE!_. INAPOTOKEA SASA KILA MAMA MCHUNGAJI ANATUHUMA ZA KUANGUKA NA WASHIRIKA, _LET IT NOT BE YOU/ISIWE WEWE!_. INAPOTOKEA WATU WALIOKOKA WENGI WANAVUNJA NDOA ZAO KWA KILA SABABU, TOO MUCH DIVORCING AND REMARRING, _LET IT NOT BE YOU/ISIWE WEWE!_. TUNAPOSIKIA SCANDALS ZA KILA NAMNA ZA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI, _LET IT NOT BE YOU/ISIWE WEWE!_. UWE NA BIASHARA MOJA TUU KUMFUATA YESU, JESUS CHRIST ALONE IS OUR MODEL, USIDESEE/KUANGALIZIA MAISHA YA KIROHO KWA WALIOSHINDWA, ILI KUJITIA MOYO KWAMBA NI WENGI MLIOANGUKA. WEWE MFUATE YESU. INAWEZEKANA KABISA KUISHI MAISHA BILA UASHERATI NA UZINZI, INAWEZEKANA KABISA WANANDOA KUTOCHEPUKA KABISAAA, INAWEZEKANA KUISHI MAISHA MASAFI BILA UCHAFU WA KUTAMANI, INAWEZEKANA KABISAAAAA KUOANA NA MCHUMBA WAKO MKIWA HAMJAWAHI KUGUSANA*
Mwl Proo
0762879363
0718922662
alltruth5ministries@gmail.com
No comments:
Post a Comment