*WAREKABI*
Na Mwl Proo
0762879363
_Mjumbe wa Matengenezo_
*```Haleluya Haleluya!```*
Kamwe usichoke kujifunza, maana hakuna mwisho wa kutunga vitabu na Mungu anaagiza kuwa tuendelee kumjua (Mhu 12:12, Hos 6:3).
Leo Bwana amenipa kusema nawe kuhusu utii, wenye viwango. Kuna kutii kwingine hakuna viwango, na mtumishi mmoja alituambia, _*"Kutii nusu, ni kutokutii"*_.Yaani kama kuna ibada sita kanisani, ukaamua kwenda tatu tu, yaani umetii nusu, ni kutotii tu. Nadhani hilo liko wazi sana. Saul Ben'Kish katika 1Samwel 15:1-25, Alipokea agizo la kuwaua waamaleki wote na viumbe vingine ikiwemo mifugo. Ila yeye akalichakachua agizo. Akarudi amemwacha hai Agagi mfalme na baadhi ya mifugo iliyonona, eti hawa nitamtolea Mungu sadaka, *(KUTII NI BORA KULIKO HIZO SADAKA)*.
NB:-
*MTU HATA UKITUMIKA KWA UPAKO MWINGI, KUTII NI LAZIMA*
MNAMKUMBUKA YULE NABII ASIYE NA JINA KWENYE BIBLIA? AMETAJWA KAMA MTU WA MUNGU TOKA YUDA (1Falme 13:1-32). ALITOA UTABIRI JUU YA MADHABAHU, MBELE YA MFALME YEROBOAM, NA UNABII WAKE KUHUSU YOSIA ATAKAYEZALIWA ULITIMIA. UPAKO MWINGI JUU YA HUYU MTU WA MUNGU ULIFANYA HATA UKIMNYOSHEA TU KIDOLE 👉🏾😾, MKONO UNANASA HIVYO HIVYO. LAKINI KUTUMIKA KATIKA UPAKO WA HIVYO, USIPOTII UNAPOTEA TU NAAM UTAKUFA KAMA WAFAVYO WAPUMBAVU, MKUMBUKE ABNERI, ALIPEWA MAELEKEZO,ASITOKE MJINI, HAKUYATII NAYE AKAFA KAMA AFAVYO MPUMBAVU, WAKATI NI JEMEDARI ALIYEVIPIGA VITA ZAIDI YA MIA BILA KUSHINDWA. HUYU MTU WA MUNGU TOKA YUDA, ALIPOKEA MAELEKEZO YA MUNGU, ASIGEUKE NYUMA, ASISALIMIANE NA MTU NJIANI, ASINYWE KINYWAJI WALA MKATE 🍷🍞. LAKINI AKAKUTANA NA USHAWISHI. WA NABII MZEE, AKASHINDWA KUTII. MNAJUA KUWA ALIISHIWA KUUAWA NA SIMBA🦁.
*MOYO WA SOMO*
TUNASOMA KISA KITAMU CHA WAREKABI (Yer 35:1ff). HUU UKOO UNATUPA FUNZO KUBWA. UKIPOKEA AGIZO LA KIMUNGU UNAPASWA KULITII LOTE, BILA KUBADILI KITU, BILA KUSIKIA NI NANI ANAYEKUPA NJIA YA KUCHEPUKA NJE YA AGIZO. WANA WA YONADABU MWANA WA REKABU, WALIPEWA MAELEKEZO KATIKA MAISHA YAO WASITHUBUTU KAMWE KUONJA MAJI YA ILALA (POMBE/KILEO 🍺🍻), WALA WASITHUBUTU KUPANDA MBEGU, WALA KUJENGA NYUMBA, WAO NA VIZAZI VYAO HATA MILELE. SASA WAKASHANGAA NABII YEREMIA WANAYEMHESHIKU, KAWALETA KATIKA CHUMBA, KAWAWEKEA MABAKULI YENYE VILEVI 🍺🍻😞. HAWAKUJALI ANAYEWAAGIZA KUNYWA, WAKAWA WATII KWA AGIZO LAO LA KIKUHANI, LA KUTOKUNYWA KABISA..... *MSIGUSE+MSISHIKE+MSIONJE* (KOLOSAI 2:21)
HAWA NI WATU WA MFANO SANA, KWAMBA HATA NABII TUTAMTII KAMA MAELEKEZO YAKE HAYAKINZANI NA KATIBA KUU YA MUNGU, NA MCHUNGAJI YEYOTE TUTAMFUATA TU KAMA NA YEYE, AMEMFUATA KRISTO KATIKA HAYO AAGIZAYO (1KOR 11:1).
KUNA WATU KWA SABABU YA UTII WALIINGIZWA KATIKA KITABU CHA KUMBUKUMBU CHA MBINGUNI _the guiness book of heaven (Eze 14:14,20)_, MBINGUNI KIPO KITABU HICHO (MAL 3:16).
Sasa leo hii Mungu anatutaka tuwe na full obidience. Tumekuwa watu wa *COMPROMIZE* ili kwenda sawa na dunia. Mungu anatuagiza kusema, Msifungiwe nira na wasioamini (2Kor 6:14), Mtume Paulo aliweka msingi wa ndoa kwa waamini kuwa, kama ni kuoa baada ya kuamini, unaweza kuoa aliyeamini/ndugu katika Bwana tu (Aliyeokoka). Lakini tunapata wachakachuzi wenye kutii nusu, wanamsaidia Mungu maarifa, ili wamwelimishe... They Go beyond what was written (1Kor 4:6b).
LEO HII UTASHUHUDIA MTU AMEOKOKA, ANAOA MTU ASIYEAMINI WOKOVU AU HATA MWISLAMU KABISA, KWA UTETEZI KWAMBA ATAMBADILISHA, AU NAYE ATAMUOKOKESHA. THE DEADLIEST AND THE MOST TERRIBLE. NI PALE WATU WANAWEKA MPANGO KUWA, ILI TUOANE BASI NA WEWE OKOKA🙊, TWENDE KANISANI KWETU! 🤔 FAKE ON FORGERY. NANI KAKUELEKEZENI, KAMWE HAITANGULII NDOA ILI IWALETEE WOKOVU, HAKUNA KUOKOKA ILI KUIFUATA NDOA. KWENYE WOKOVU TUNAKUJA KWA KUVUTWA NA MUNGU, TAFUTA SOMO LANGU LA _*"TUPO HUKU; TULIVUTWA"*_
Waweza lupakua hilo somo hapa kwa hii link
http://alltruthjohn1613.blogspot.com/2016/09/tupo-huku-tulivutwa.html
SASA STYLE YA KUINJILISHA KUPITIA NDOA HAIPOGO, LABDA KAA MLIONA, UKAOKA BADAE, ILA HICHO MNACHOKIFANYA NI UISLAMU, HUKO WAKIFANYA UMISHENARI (DAW'AH), INARUHUSUWA KUTUMIA NDOA KUSILIMISHA WATU KWA ALLAH, ILA HUKU KWA YEHOVA-BWANA HATUJI KWA KYWA KUNA BINTI UNAMHITAJI KUMWOA, NEVER!!!!
SASA WAPENDWA MNACHAGUA NINI? KUMTII MUNGU AU KU-COMPROMIZE NA DUNIA? KATIKA NYAKATI HIZI ZA MWISHO, YESU ANATAFUTA WATU WENYE TABIA TA KUTII KAMA RECABITES, WAO WAKIPOKEA AGIZO HAWALITII NUSU. MENGINE YOTE SHARTI YAJI-ADJUST KWENYE NJIA KUU YA UTAKATIFU, NA SIO SISI KUCHAKACHUA MAAGIZO AS WE SEE IT FIT. KUNA WATU WANAJITAHIDI KUTII. MPAKA WANACHUMBIA, THEN WANAAMUA KUTII NUSU, KATIKA UCHUMBA WANAMALIZA KABISA MCHEZO AS IF NI WANA NDOA, UNASHINDWAJE KUVUMILIA THAT SHORT TIME?? KUMBUKA KUTII NUSU NI KUTOKUTII.
MUNGU AKUSAIDIE KILA MMOJA, JIZOEZE KUTII, SIO KUTII NUSU. UKIONA MAHUBIRO YA HIVI HAYAKUBARIKI, UJUE WEWE NDIWE MHUSIKA MKUU, BWANA ANAKUVUTA UJE KWENYE STANDARD!!
Mwl Proo
0762879363
alltruth5ministries@gmail.com
No comments:
Post a Comment