Saturday, November 11, 2017

WAMEBUNI MAVUMBUZI MENGI

*WAMEBUNI MAVUMBUZI MENGI*

```Na Mwl Proo```
*~Mjumbe wa Matengenezo~*
0762879363

Haleluya Haleluya!!

Mambo yote tunayoyaona duniani sasa yamejaa uchovu usioneneka, no matter how majestic and splendid they may appear. Fahari ya mwisho kabisa kwa mwanadamu, ni kuwa na Mungu maishani mwake.

Mhubiri 1 : 8 
_*Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.*_
KWA HIYO UONAPO MIJI MIKUBWA YENYE GHOROFA ZA KUTISHA KAMA DUBAI🏨🏢🏦 KUNA SAA INAKUJA HUO MJI UTASAZWA MAGANJO MATUPU,MAANA BIBLIA INASEMA NA NYUMBA KUBWA ZITAKUWA NA MWISHO (Amos 3:15).

Mungu alimuumba mtu/mwanadamu ktk viwango vya ukamilifu, ila yeye mwenyewe akabuni mambo ambayo siyo kabisa!👐🏽

Mhubiri 7 : 29  _*Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamebuni mavumbuzi mengi.*_

☝🏾☝🏾Huyo mtafiti mashuhuri, baada ya kutafit mambo mengi anasema akagundua jambo moja,kuwa Mungu alimuumba mwanadamu *mnyofu*. Neno hili mnyofu linatajwa kiebrania kama *יָשָׁר*
yaani _*yashar (yaw-shawr) yaani uprightness,perfection,straightforward*_ Neno hili linatoa maana ya moja kwa moja ya lile andiko la Mwanzo 1:27,31. Ndio maana mavumbuzi mengi yanayohusishwa hapo sio ubunifu mwema bali inarejelea ktk Mwanzo 3:6-7,Rumi 3:23,5:12 etc. Mambo kama ibada za sanamu(idolatry), ndoa za mitara (polygamy), ndoa za watu wa jinsia moja (homosexuality) na yote yafananayo na hayo yanaitwa mavumbuzi mengi yaliyo kinyume na ile hali ya unyofu/yashar tuliyoumbwa nayo.
TULIPOUMBWA KTK HALI YA YASHAR, THAT MEANS WE WERE SPIRITUALLY MATURE AND MORALLY PERFECT (WAKOMAVU KIROHO NA WAKAMILIFU KIMIENENDO), SASA MWANADAMU KWA MOYO WAKE MDANGANYIFU, (Yeremia 17:9)  ANABUNI MWENYEWE VITU AMBAVYO DAAH 😰, MOYO WA MWANADAMU UNAWEZA KUBUNI MAMBO, LAKINI KAMA MTU ATAKUWA AMEFURIKA NENO JEMA (ZABURI 45:1) LA MUNGU, BASI MOYO WAKE UTABUNI MAZURI, LAKINI KILA AMBAYE MOYO HAUJAFANYWA MADHABAHU YA MUNGU UTABUNI MAVUMBUZI MENGI YA UOVU.

Nehemiah 6 : 8
*_.............Hakukufanyika mambo kama hayo uyasemayo, lakini kwa moyo wako wewe mwenyewe umeyabuni._*

WANADAMU WAKIISHAFIKIA UMRI WA MATURITY NDIPO TIMBWILI LINAANZA, UNAWEZA UKATAMANI WATU WANGEBAKI WATOTO DAIMA, NA NDIO MAANA ANAYEUPOKEA UFALME ANAPASWA KUWA MFANO WA MTOTO.  TUSOME  HAPA

Mwanzo 8 : 21 *_........Bwana akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake;_*

Mwanzo 6 : 5
*_Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote._*

☝🏾☝🏾HAPO NDIPO MZIZI WA YOTE, WANADAMU WAMEKUWA WAKIJARIBU KILA JAMBO AMBALO HALIFAI WANATAKA WAONE NA HUKO KUTOFAA KWAKE. YAKO MAMBO AMBAYO LEO NITAYAJADILI HAPA HUTAAMINI,LAKINI LENGO WEWE UBAKI SALAMA.

HADITHI MBALIMBALI ZILIZOANDIKWA KUHUSU NYAKATI ZA NUHU NA GHARIKA,ZINAONESHA MAVUMBUZI MENGI YALIYOBUNIWA NYAKATI HIZO, MBALI NA UKWELI KUWA WALE MALAIKA WALIOJIVIKA MIILI WALIINGILIANA KIMWILI NA WANADAMU,LAKINI WANADAMU PIA WALIFANYA VITU VYA AIBU SAWASAWA NA YALE AMBAYO BADAE YALIIBUKA TENA HUKO SODOMA NA GOMORA. WANADAMU MBALI NA KUFANYA NGONO HATA WALIO WA JINSIA MOJA,LAKINI KULIONEKA VIUMBE AMBAVYO NI MCHANGANYIKO (HYBRIDS) KULIONEKANA VIUMBE AMBAVYO HUWEZI KUSEMA NI WANYAMA AU WATU, NDIO MAANA MIUNGU YA UYUNANI MINGI IMECHANGANYIKA, SANAMU INAWEZA KUWA JUU PUNDA CHINI MTU,UA MWILI  WA NDAMA NA KICHWA KINASURA TOFAUTI. NENO LA KIGIRIKI LINALOTAJA UZINZI/FORNICATION KAMA ULE WA SODOMA NI
_*ekporneuo*_ IKIWA INATAJA INCEST&ADULTERY(UHUSIANO WA NGONO KWA WATU WA DAMU MOJA YAANI MTOTO ANASHEA NA BABA MWANAMKE MMOJA/NA UKAHABA WA AINA ZOTE). PIA NENO HILO LINATAJA NGONO YENYE *_STRANGE FLESH_* NDANI YAKE KUNA HOMOSEXUALITY (NGONO YA JINSIA MOJA) NA BESTIALITY (NGONO KATI YA WATU NA WANYAMA👨🏾👦🏽👧🏽👩🏻👉🏾👉🏾🐺🐴🐄🐕). NDIO MAANA UTAKUMBUKA WALE WANAUME WA SODOMA WALIMTAKA LUTU AWATOE NJE WALE WAGENI WANAUME,ILI WANAUME WAFANYE NAO NGONO NA WANAUME WENZAO. SASA NI HAYO NDIYO YALIISHUSHA ILE GHADHABU YA MUNGU.

HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA (MHUBIRI 1:8-10), KAMA ILIVYOKUWA SIKU ZA NUHU NA NYAKATI ZA SODOMA (MATHAYO  24:37ff) NDIVYO ILIVYO SASA.

Warumi 1:26-27

*_26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;_*
_*27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.*_

☝🏾☝🏾ROHO ILEILE YA KUVUMBUA UOVU,NDIO INATENDA KAZI. MAMBO YA KUBADILI MATUMIZI YA ASILI (YAANI VITU VIWE KTK ORDER SAWA NA UUMBAJI *_YASHAR_*, MAMBO YA BESTIALITY NI KAZI YA PEPO WACHAFU KUBADILI MATUMIZI YA ASILI,KWA MFANO KWA WALE AMBAO WAMEWAHI KUATHIRIWA MIAKA YA NYUMA, NA PORNOGRAFIA(SINEMA ZA NGONO) WANAJUA HILI VIZURI MAANA NAMI NILIWAHI KUWA KUWA NA KIFUNGO HICHO HUKO KALE KABLA BWANA HAJANIFUNGUA KABISA KABISA, WANAJUA KUWA SEX SCENES AMBAZO MWANAMKE ATAREKODIWA ANAFANYA NGONO NA PUNDA AU MBWA 🐴🐕 ANALIPWA PESA NYINGI KULIKO HATA AKIWA ANAFANYA NA MWANAMME. MATAIFA MENGI YA ULAYA IKIWEMO DENMARK NA MATAIFA MENGI YA MAREKANI KUSINI YALIHALALISHA SEXFARMS (ZOO-PORN) AMBAPO KUNA BUSTANI AMBAZO WATU WANAINGIA NA KULIPIA ILI KUFANYA NGONO NA WANYAMA. NA HAYO MAMBO WANAYAONA YA KAWAIDA KABISA, WAMEBUNI MAVUMBUZI MENGI!!

HAYA MAMBO MACHAFU YANALENGA KUWAFARAKANISHA WANADAMU NA MUNGU, ILI AGEUZE USO WAKE MBALI NDIO MAKUSUDI YA SHETANI YANAVYOFANIKIWA SANA. TAASISI ZA WAABUDU SHETANI KAMA ILLUMINATI/FREEMASONRY 🔯 NDIO WAFADHILI WAKUBWA WA SINEMA ZA NGONO ILI ZIWE BURE KWA WINGI KTK WEBSITES ZOTE INGAWA WEWE MKRISTO UNAYENUNUA AU KU-DOWNLOAD TU BADO NAWE UMESHIRIKI KUISAPOTI HIYO KAZI, NA UMETOA PESA YAKO KWA NJIA YA MBs. NDIO MAANA NI MUHIMU KUHAKIKISHA HILI UMELISHINDA NA UMETOKA KABISA HAPO,SIO USHINDI WA MIEZI MIWILI MITATU,HAPANA UTAKAPOOFANIKIWA KUIVUNJA NGOME HIYO HAITAKUWA HIVYO.

SASA SHETANI AMEWEZAJE  KUZIHARIBU NDOA SANA KWA MAVUMBUZI HAYO, JAPANINA MATAIFA KADHAA UINGEREZA WAMEBOBEA KTK UTENGENEZAJI WA SEX-MACHINE, SEXROBOTS, SEXDOLLS/TOYS WAMEUINGILIA MPANGO WA MUNGU KUHUSU NDOA. WATU HUKO ULAYA WANANUNUA MANUKANI KAMA  KUNUNUA SIMU WANANUNUA VIFAA MBADALA VYA NGONO YA MTU KWA MTU, NA UTAKAYEHITAJI USHAHIDI UNIONE INBOX. NIKUONESHA BABA ANAYEISHI NA SEXROBOT KAMA MKE KABISA, NA AMEONDOA RATIBA YA KUOA. WANAWAKE WENGI WA KIZUNGU HAWAONI TENA HAJA YA MME MAANA WAMEKAA NA SEX-MACHINES MAJUMBANI AND NOTHING NEW TENA. SHETANI AMEFANIKIWA KUHARIBU TAASISI MUHIMU NDOA, HUKU KWETU YANAFIKA SIKU SIO NYINGI.
KWA SASA MPAKA NDOA ZA KILOKOLE ZIMEBAMBIKWA NA MAJANGA KWA NINI, KUNA SHIDA AMBAZO WATU HAWASEMI TUU. KWA KUWA KUNA ELIMU ZA SHETANI ANAZODAI ETI NI KUBORESHA TENDO LA NDOA KUMBE ANAKAMATA NAFASI AHARIBU KABISA. WAKO WANAUME KWA KUIGIZA SINEMA ZA NGONO AMBAZO ZINA 85% YA VITU FEKI NA VYA KUEDITI WAMETAKA WAMEISHIA KUZIHARIBU NDOA. KTK KUBADILI MATUMIZI YA ASILI, KAZI AMBAYO INACHOCHEWA NA PEPO WACHAFU. BADALA YA WANAUME KUWAINGIA WAKE KTK VIUNGO VYA ASILI YA HILO WAO WANASEMA NO! NGOJA TUJARIBU NA KWINGINE, HIVYO WANATESA WAKE ZAO NA HAO WANAWAKE WANASHINDWA KURIPOTI HILO POPOTE ILI WASIZIHARIBU NDOA. NA KWA WALE WANAWAKE AMBAO SIO *_BAND-WAGON_* WANAOWAAMBIA WAZI "THUBUTU!!!" 👌🏽😡 SASA WANAUME HAO HUTAFUTA MAKAHABA HUKO NJE ILI WATIMIZE DHAMBI HIYO YA KINYUME NA MAUMBILE, AMBAPO MWISHOWE NI KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME KABISA NA WENGINE WANAPATA SHIDA AMBAYO IMEZIDI SANA MIJINI KWA SIKU ZA USONI. YAANI MIRIJA FULANI INAZIBWA NA UCHAFU, THEN MWANAUME ANATESEKA SANA KIASI CHA KWAMBA HAWEZI TENA KUIHUDUMIA NDOA YAKE. HAYO YANAPOTEKEA SHETANI  ANAKUFAA KUCHEKA😂😂😂. MBAYA ZAIDI ETI NA NDOA ZA WALOKOLE ZIMO HUMO KTK HAYO MAJANGA. *_WEWE MWANAUME ULIYEOKOKA, NA UNAMLAZIMISHA MKEO UMWINGIE KINYUME NA MATUMIZI YA ASILI, BE SURE OF THIS, MUNGU ATAKUHUKUMIA ADHABU!!!_*

KUNA VITI VINGINE NILITAKA KUELEZA, LAKINI NI AIBU KTK PUBLIC POST KAMA HII, LAKINI NDUGI YANGU MSOMAJI UNAYONAFASI YA KUJITAKASA SANA,MUDA DUNIA INAENDELEA KUWA ENHANCED EVIL SCHEMES (MAVUMBUZI YA UOVU ULIOBORESHWA)  WEWE UKAJITAKASA SANAA. TD JAKES ALIPOULIZWA ANAZUNGUMZIAJE SWALA LA MAREKANI KUPITISHA KISHERIA, NDOA ZA JINSIA MOJA? ALITOA JIBU MOJA TU, *_"LET THE WORLD BE THE WORLD, AND LET THE CHURCH BE THE CHURCH"_*

NIMEMALIZA!!!!!
Mtu akiweza kulipokea neno hilo alipokee

Mwl Proo
0762879363(ATG whatsapp group's Admin)

alltruth5ministries@gmail.com

No comments:

Post a Comment