*MEMO*
_mambo yote yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu (good manner and order)_
1Korintho 14:40
Wanandoa wa ATG kwenu hapa (Married couples )
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Csu6gpSx5KjIEks17QguiM
Wale ambao ni Singles (Bachelors+Bachelorettes, kwenu hapa
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Bqnm7lvJJyz6nQ4KGDnLTl
*_Ndugu wapendwa kigezo cha mtu kuwa kuwa katika subgroup (ATG Singles au Married Couples) ni kuwa member katika main groups yaani ATG1, ATG2, ATG3 au ATG INT'L. Ikumbukwe kama sio admin unapaswa kuchagua group moja tu. Kigezo hiki kimewekwa ili usikose masomo ya neno la Mungu, ambayo hutumwa katika main groups tu na sio kwa subgroups_*
NB:-
Tunajali uhuru wa kuchagua, wapo ambao hawapendi usumbufu wa meseji nyingi za kule main rooms. Hivyo tunatoa uhuru wa member kuhamia anakopenda muda wowote, akiisha kutoa taarifa kwa viongozi.
Kama husumbuki na wingi wa meseji, basi fuata link ya ATG1
👇🏽
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/CsjUJmmrqk18CaaNq9UmcG
Kama unahitaji utulivu kiasi, fuata link ya ATG2
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/3HalVOIyiYi64ZtlXtm0TP
Kama hauhitaji meseji za namna yoyote zaidi ya masomo ya neno la Mungu, fuata link ya ATG3
👇🏽
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/4vpS4ZOQuVJKawrG9njaFs
Na kama hauhitaji posts za kiswahili ila za kiingereza pekee (kigezo cha humu kiwe huelewi vizuri kiswahili au sio lugha yako ya taifa. Fuata link ya ATG INT'L
👇🏽
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/15iTI8YGP7bLOvFDTs5vkv
ALL TRUTH ADMINSTRATION
Bwana Yesu asifiwe mtumishi???
ReplyDeleteHivi hizi link zinafanya kazi mbona. Naona zinagoma kwa sasa???